bila hako kavideo sikuelewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitaka nikuombe link ila kama ndo hivo acha tu na mi nisijeishia kupiga kimoja
 
Hapo mkuu ungeanza kubadirisha jina kwanza labda na nyeto utaacha ingawa najua ni kazi kweli kweli.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

macson
 
Hapo mkuu ungeanza kubadirisha jina kwanza labda na nyeto utaacha ingawa najua ni kazi kweli kweli.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

macson
Hahahaahah dah jina majanga sio
 
Naombeni msaada nmepiga punyeto kwasasa miaka kama kumi na moja napiga nyeto nmejarbu kuacha lakn nashindwa nkijitaidi wiki moja tu baridi tena madhara yanayonisubua sana 1 nmekonda2sina uwezo wa kujieleza kabsa n MTU wa hofu tu na kuwa na mawazo mengi siwezi paga jambo nkalifanya kikamilifu nafanya nusunusu tu 3nmekua MTU wa kujitenga masaa yote npo pekeangu tu 4 naogopa kutongoza Ata nkijarbu nikwa wasiwasi atakuwapata nashindwa 5 nmepata tatzo la mishipa ya fahamu nkiongea na MTU au nkiwa kwenye mkusanyiko wa watu nasikia makelele tu kinachozugumzwa sikielewi Ata akili nkituliza VP nashindwa kuongea na watu tukaelewana kwa hali hyo nmekua MTU wa kujifungia ndani SNA furaha na maisha kabsa nmekua nkiishiaisha ya kukwepana na watu nahitaji ushauri wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the big dog, Dogo we bado ni kinda sana kwenye fani za watu. Watu wameshapiga si chini ya miaka 20 naaa na bado wako poa, ukiona hauko fiti ujue lishe pia ni tatizo kwako.
Muulize Jambazi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Pole mkuu
 
Aisee sasa kama umethirika kiasi hicho kwann usiache hata kwa kujing'ang'aniza mbona kama madhara ni makubwa kuliko starehe unayopata
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasheshe IPO kwenye kuacha me napiga sio kwa kupenda kwangu nkijitahid kuacha wiki moja narudi tena Hii kitu isikie tu bila demu huachi mbaya zaidi madhara nliyopata Ata kutongoza inakuwa mtihani
Aisee sasa kama umethirika kiasi hicho kwann usiache hata kwa kujing'ang'aniza mbona kama madhara ni makubwa kuliko starehe unayopata

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mtu anakula chips kavu na kachumbali then anaenda kupiga nyenga[emoji16]
piga makande au ugali wa mtama


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtu anakula chips kavu na kachumbali then anaenda kupiga nyenga[emoji16]
piga makande au ugali wa mtama


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Hahah, tatizo lingine ilo, iyo hofu ya kitongoza ata usingekuwa unapiga nyeto ungekuwa muoga tu, uoga ni nature ya mtu sio nyeto, ilo la mishipa itakuwa shida ingine, nenda hospital ukapimwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari wa jf. kuna sehemu nimeona wameandika kuwa eti punyeto haina madhara sasa nimeona wamenichanganya kidogo,kwahiyo ninaimani humu nitapewa majibu sahihi. ahsanteni
 
Acha kuangalia picha za ngono, hiki ndio chanzo kikubwa kinachokupelekea kupiga nyeto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…