Ni miezi sita imepita na nimejikwaa, Nakumbuka ilipofika february mwaka huu niliapa sitarudia huu mchezo.

Siwezi kusema nilikuwa nimekolewa sana na huu mchezo maana nilikuwa naweza kufanya mara 2 kwa wiki sana sana nikiwa kazini, japo ikifika usiku wife nashughulikia na yeye.

Sasa ilipofika mwezi february nilipanga kabisa kuacha huu mchezo.

Ni miezi takribani sita sasa njia pekee niliyotumia kupunguza akshi za mwili wangu ni kwa kutumia ushirikiano wa mwili wangu na wa mwanamke, sijatumia kiganja kwa miezi sita.

Ila leo hali imekua tofauti sana, Kuna kabintis flani (miaka 18) kamenizoea sana, najua ni kicheche ila tulizoena kwa sababu tumetokea huko kijiji kimoja nae kaja town, sasa jana nilimpa lifti nlipomkuta njiani, basi leo nafungua whatsapp kantumia picha full mitego, dah mi nikaona utoto tu unamsumbua.

Mida ya mchana nimeenda lunchi nakutana nae maeneo, nikampa lift, maongezi yakawa asitume hizo pic maana wife wangu akizikuta itakua balaa, sasa nmekashusha sehem flan ndo kakatuma picha zaidi aisee, mhh, nilipandwa na midadi ile mbaya.

Nikakodi chumba tu cha 10K nikanunua na mafuta yangu ya vaseline, nikaanza kucheki picha zake namvutia hisia namgonga, huku mkono unafanya yake, wazungu waaaa, kijasho hicho, nikaoga nikarudi kazinj.

Nimejutia sana hii ishu wakuu sikuwahi kudhani ntarudia mchezi huu.

Binti namtamani ila kwa msimamo wangu siwezi kuchanganya wife na wengine.

Hapa nilipo naandika huu uzi wife nimempa mshindo moja tu tofauti na miwili tuliyozoea nimesingizia naumwa kumbe nilichakachua mchana 😀😀
 
Chagua moja.....

Uache punyeto kwa hiari

AU

Ukubali na utulie na uwe mpoleee mkeo akiwa anakunjwa na kubinjuliwa na wanaume wasioendekeza punyeee.

Utakalo lichagua hakuna kubadili ndo uzeeke nalo tena kimya kimya.

Huruma ya mwisho ili ujinusuru na hiyo kadhia ni kujikata viganja ili usiwe na cha kusugulia.

Kila la kheri kwenye kuchagua.
 
Kweli kabisa nyeto haifai
 
Nikiri kusema Mimi nimeacha Punyeto Huu mchezo nimeuanza mwaka 2011 Na nimeendelea nao mpaka 2014..Miaka yote Hapa nilikuwa nafanya mapemzi bila shida yoyote

Ila kuanzia Mwaka 2017 hadi mwaka 2018 Nimekutana na wanawake wanne kwa vipindi Tofauti Tofauti na vyote uume wangu umekuwa ukilegea na nikishindwa kabisa kufanya mapenzi..

Niliamua kuiacha Rasmi Punyeto rasmi mwaka 2019 nina mwaka hadi sasa sijaganya punyeto ninamshukuru Mungu kwa hilo..

Mpaka sasa najikuta naogopa sana kujamiana na mwanamke japo mimi ni mtu yule mwenye bahati ya kupendwa na wanawake na Hata sielewi kama nitarudi karika hali ya awali maana Hofu ndo umwkuwa kama ugonjwa mpya..
 
Nilishachagua kuwa msafi mkuu na ndio maana nina miezi 6, Yawezekana labda kwasababu wewe ni mwanamke lakini amini ya kwamba nimefika hatua ya mbali sana ambayo wengi wametamani kufika ila wameshindwa.

Nilichofanya kwa leo nimejikwaa tu na wala sina sababu ya kujitetea na ninajuta safari yangu ya kufikisha mwaka mzima bila nyeto imekatika

Anyway naona nimefanya ubaya ila sijafikia hatua ya kuanza kutembea na vicheche kitu ambacho ningekiweza kwa kumpa huyo binti pesa kidogo tu,

Hata ivyo punyeto ina madhara ukifanya kila siku, binafsi nimekaa zaidi ya miezi sita


Naanza safari ya kuacha kabisa upyaaaa.
 
Mkuu cha kufanya hapo jijenge confidence tu, ulikuwa unacheki porn wakati wa zoezi???
 
Mkuu cha kufanya hapo jijenge confidence tu, ulikuwa unacheki porn wakati wa zoezi???
Ni kweli kaka confidence ndio ninayoamua kuwa nayo kwa sasa maana nina mwaka mmoja sasa sijawahi kuwaza wala kukumbuka kuhusiana na Punyeto maana imeniumbua sana kwa watoto wazuri...
 
Ni kweli kaka confidence ndio ninayoamua kuwa nayo kwa sasa maana nina mwaka mmoja sasa sijawahi kuwaza wala kukumbuka kuhusiana na Punyeto maana imeniumbua sana kwa watoto wazuri...
Vipi ukiwa peke yako chumbani mashine inasimama ila ukiwa na mwanamke kitandani mashine haisimami au vyote ukiwa peke yako na ukiwa na mwanamke mashine haidindi
 
Vipi ukiwa peke yako chumbani mashine inasimama ila ukiwa na mwanamke kitandani mashine haisimami au vyote ukiwa peke yako na ukiwa na mwanamke mashine haidindi
Kiuhalisia zamani pindi napiga punyeto uume uwa unasimama vizuri sana ila nikikutana na mwanamke unasimama kwa muda baadae unakuwa olaa...

Ila sisi nimeacha uume unasimama vizuri hata nikiamka asubuhi na ndoto vyevu napata haki tofauti na mwanzo.

Japo sijajaribu kwa mwanamke nkmeona nitulie kwanza kwa muda kidogo nahisi shida yangu ipo kwa saikolojia inabidi nisolve.
 
Daaahhhhh kiongoz kwa picha tu mnara ukasoma frequently za mbali tena kwa nguvu ya ajabu mpaka kupelekea kukodisha chumba kwa ajili ya kuweka Hali sawa

Lakn ngoja nikushauri braza pole Sana kwa Jambo linalokutesa sio ww tu kuna wengi Sana lkn kukubwa ww ni mwaminifu kwa wife wako we chamsingi tambua vyanzo vya ww kukufanya uwe kwenye hiyo Hali na uviepuke mbona kama ni easy huyo binti uliyempa lift mkwepe Sana futa namba yake mblock kabisa maana toka day one ulivyoona hizo indicator ulikuwa na uwezo wa kuepuka hapa nakulaumu kwa kuendelea kuwa closer na huyo binti run brother

Shetan anatrick nyingi sana inaonekana amekukamata Sana kuna jambo hujalifahama behind the scenes kuhus ww na hiyo spiritual power ya puli wake up kumbuka umeoa lkn bado kuna Long chain uliyounganishwa dhid ya Master very hard to kñow the origin brother

Kumbuka upo kama mtumwa kwenye gereza la Masterbation you're Free slave lazima ujikomboe dhidi ya hii laana.

Najua unajutia Sana katika hii Hali na upo kwenye wakat mgumu Sana nafsi inakusuta unatam kuwa huru na lazima ufanye Jambo Ndugu mm nakushauri Jambo moja hakuna njia nyingine ya ww kujikomboa dhid ya hii laana ngoja nikuitie Ndugu yang mmoja hapa anaweza kukupa Jambo la kukusaidia Nyenyere njoo hapa kuna mtu anateseka kwenye gereza huku huyu ñdug yetu yupo in darkness dudu jeupe kumbuka anafamily lkn bado ni mshirika mkubwa na mfuasi wa wa chama
 
Ila watu wanaopiga nyeto bila Porn ni malegend mna sehemu yenu kuzimuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Daaahhhhh kiongoz kwa picha tu mnara ukasoma frequently za mbali tena kwa nguvu ya ajabu mpaka kupelekea kukodisha chumba kwa ajili ya kuweka Hali sawa....
Kwakweli nimejutia, ila pia nimeweka rekodi ya kukaa miezi sita bila kujimwagisha shahawa kwa kiganja, hapo nyuma nlimtumia sana girlfriends na wife baada ya kuoa kujiweka kando na huu mchezo lakini kuna kipindi naweza kuwa ofisini mkonga ukawa umekakamaa basi naenda chooni fasta, japo hali hii ilikuwa mara mbili kwa wiki hivi.

Nikaanza safari ya kuacha na hivi vitu tangu 2016 nakumbuka kila safari ikianza basi najikwaa baada ya miezi michache, Kisayansi haina madhara kujikwaa baada ya mwezi lakini hii kitu siitaki kabisa na jana baad aya kujikwaa ilikuwa ni miezi sita, Kwa sasa nina miaka 29...Pia kilichonisaidia mno ni kuoa mapema.
 
Punyeto ni hali ya jinsia ya kike au kiume kujichezea mwenyewe kupelekea kujiridhisha kimatamanio,
Na bado punyeto imeonyesha kutokuwa na madhara yeyote kwa jamii,,,mfano..
Kwa wanaume zipo punyeto za aina nyingi...
Hakika wewe ni fundi mkuu
 
We kula hako kabinti mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…