Hongera kwa kuacha uchafu na robo za mufilisi. pambana shikilia hapo hapo kila kitu kinawezekana, nia ya dhati kutoka ndani ndio msingi. ukigundua wewe ni roho inayoishi katika huo mwili hutarudia kufanya mambo machafu katika huo mwili ambao ni hekalu la roho mtakatifu, wewe si huo mwili bali huo mwili umeivaa roho ambayo ni wewe , kwa hio ongoza huo mwili usikubali mwili uongoze roho.
 
Mku
Mkuuni kitu ngumu kuacha huyu kapumzika tu
 
duh hahaha asa ina radha gan mkuu hyo kitu.....
dada poa wapo kibao kuwasaidia vjana ni buku 2 tyyuuuyyu
Mkuu nilishanunua dada poa,nina record ya kuka miezi mitatu bila hio kitu,pia nina demu nimempa ujauzito miezi miwili na bado.sina kazi.
So hamu zikinishika no other way zaid ya nyeto na kuondoa stress.Ila naona inashushia confidence na mipango yangu mingi ya kujifunza cyber security online napoteza mabando Kwenye vitu vya kijinga porn.So naona niache if not kupunguza maana not easy.
 
Wakati naishi nyumba ya kupanga kuna dogo alikuwa akitangulia bafuni lazima ukute kamwaga mzigo wote huko. Nilimshauri aoe lakini hakuta, kibaya zaidi alikuwa anapiga nyeto hata mchana.
 
Feeling guilty rafiki..

Nisamehe bure 2020 siyo mchezo
Don't feel guilty at all. Sitaki ukae Kae na mawazo while am here. Reach out to me whenever you feel down.

2020 sio kwako tu. Inatunyoosha *****.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…