Mtoa mada unasumbuliwa na hofu.

Na hofu imejengwa kwa kumchukulia uyo mwanamke kua Ni mzuri Sana kupitiliza.

Huo uzuri kupitiliza umekujenge hofu ya usipomlidhisha utadharaulika.

Mwanamke ukishamwogopa,
Hata performance inakua ya hovyo.

Jitahidi kuwazoea wanawake.
 
Acha uoga,,, piga nyeto ujinga ukutoke mkuu

Hio ni hofu tu mkuu,,, wala hata usiwaze... Omba tena game utapiga show kali tu...

Otherwise kawaone madaktari..
 
Ukiwaza Sana ndio hutakuja kuweza Tena.
Ulikuwa na hofu.
Jipe matumaini ya mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…