Kumbe ndio maana dudu nyingine nyeusi kama simtank kumbe ni sugu ya kusuguliwa.
 
bado hujaamua kuacha ndo maana unaona ngumu anzia kwenye mind yako matokeo mabaya ya iyo kitu utaacha tu kwanini ushindwe kuutawala mwili wako?
 
mi ni mtalaamu wa kushauri lakini hapa nimechemsha...ila ni bora afanye mwanamke kulioko mwanaumeo
 
Jamani kuacha PUNYETO ni rahisi sana endapo utafanikiwa kufanya yafuatayo;
1) Kuwa na mpenzi wa kudumu.
2) Unapo itaji kufanya sex muda wowote awe karibu na tayari kuja kukutimizia hitaji lako.
3) Kuepuka kukaa peke yako hasa sehemu za kujificha kama chumbani nk.
4) Epuka kuangalia picha za x.
5) Epuka kuangalia picha za wakina dada ambao wamevaa nguo za kuonesha sehemu zao za mwili hasa za kusisimua kama vile; Matiti, Mapaja, Nyuma ya magoti mpaka kwa chini yake kidogo, Sura na nk.
6) Toa mawazo ya sex unapokuwa peke yako.
 
Fanya mazoezi na penda kusoma vitabu mbalimbali. Hasa wakati wa kwenda kuoga fanya mazoezi mepesi unaweza nunua hata kamba yakuluka,au kulukaluka kichula n.k ukichoka kidogo kaonge inaweza kukuondolea mawazo ya kufanya mpenzi.
 
ni ukweli kwan mi hadi sasa nmeathirika sana na mpka najiraumu kusoma bweni sina hamu ya wanawake msaharifu mwoga yaan we acha2 iyo kitu c nzuri jamaan
 
Itabidi anione mimi huyo mtu aliyepiga punyeto mpaka akaishiwa nguvu zake za kiume nitaweza kumpa dawa awasiliane na mimi kwa njia ya Email yangu ni hii (fewgoodman@hotmail.com) quimby_joey

100% Nna suport kwamba upigaji punyeto ni salama na haina madhara kwa mpigaji.
Tatizo lililopo ni kwamba wengi hawajui jinsi ya kupiga punyeto kwa njia salama.
Utakubaliana na mimi kwamba suala la kutoa shahawa ni spesho kwaajili ya kupata mtoto ( ejaculation is only for creation) la sivyo shahawa zisinge toka, na lengo kubwa la tendo la ndoa ni kwaajili ya creation basi na hili halina ubishi hata ukiangalia wanyama aina yeyote duniani, wao wanajamiiana only for creation, tatizo ni kwetu binadam, tumeamua kutumia kujamiiana kama tendo la starehe (tume badilisha maana halisi ya kujamiiana).
Kwa hiyo kwa vile tumeamua kufanya tendo la ndoa liwe ni tendo la starehe basi, mwanaume ili awe salama (afanye starehe bila kudhurika) anatakiwa asitoe shahawa wakati wa kujamiiana, utashangaa kwa nini nasema hivi na inawezekanaje.
Wengi wetu tunadhani kutoa shahawa ndio kufika kileleni kwa mwanaume (ndio starehe ya tendo lenyewe), hapana, kutoa shahawa sio starehe ya tendo la ndoa, mwanaume halisi na anaejijali (kwa mujibu wangu) ni yule ambae anaweza kutofautisha kati ya orgasm and ejaculation
ukijua kujizuia kutoa shahawa utastareheka zaidi ya ujuavyo (kwa sababu mwili mzima utaona furaha ya tendo husika kuliko ukitoa shahawa unasikia starehe sehem nyeti peke yake) na utaishi ukiwa salama na mwenye afya na furaha wakati wote.

Kwa hiyo mtu anaepiga punyeto anatakiwa apige punyeto (ajistareheshe) bila kutoa shahawa, ukifanya hivyo itakusaidia kuongeza nguvu za kiume na kukufanya uwe mwenye afya zaidi na furaha tele, pia upigaji punyeto wa aina hii utakusaidia kufanya tendo la ndoa na mwanamke kwa raha na starehe kwa mda unao taka (it can help you to last longer in bed because you know how to control your ejaculation)

Ukipiga punyeto na kutoa shahawa basi utapata madhara hayo yaliyo ainishwa na mtoa siredi.

Kwa maelezo zaidi tafuta kitabu kinachoitwa "multorgasmic man"
utafurahia punyeto mpaka baaaaaasi.
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu,

Ushauri wangu ni kuwa waambie watu wapime kiwango/kiasi cha hormones mwilini ili waweze kujua tatizo ni nini hasa. Wengi ambao wamefuata ushauri wangu walikuta hormones za kiume zimepungua na walipopewa hizo hormones maisha yamerudi na wako fiti. Hii kasumba ya kusema njoo upate dawa bila kupima mimi napingana na wewe. isitoshe hizo dawa zako hakuna ushuhuda wowote wa kitaalamu kuwa zinatibu tatizo zaidi ya matangazo meeeengi sana. samahani kwa kuingilia biashara yako, ni kwa kuwa napenda watu wapate tiba sahihi kama mimi nilivopata na nikapona kabisa.

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/391345-ushuduhuda-upungufu-wa-nguvu-za-kiume-tiba-halisi.html

mudushi

Itabidi anione mimi huyo mtu aliyepiga punyeto mpaka akaishiwa nguvu zake za kiume nitaweza kumpa dawa awasiliane na mimi kwa njia ya Email yangu ni hii (fewgoodman@hotmail.com)
 
Kunakipindi liacha kwa muda wa siku 7o baada ya kuombewa. Sasa wiki2 zilizopita nilitoka safar kufika nyumban nikaenda kutafuta picha ya x. Ndio natumia kufanyia.nachukizwa lkn najikuta nafanya na muda mfup nimetoka kufanya.niacheje jaman?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…