Mastablesheni ndio nini!!!!!!!!!!!

Rudi tena kwenye maombezi kama yali work out mara ya kwanza

na sasa yanaweza kuwork out pia!!!
 
Nenda kwa mganga wa kienyeji kama umeona maombi hayakusaidii.
 
Nenda kwa walokole lakn naona unatatizo kwa nini ununue kishawishi wakat weye unadai uliacha .sasa unaomba tukusaidie nini.
Pole sana..........
Swali langu kwa nini ununue kishawish huyo ni pepo rudi kwa yesu ......
.
MIMI NDIYE NJIA NA UZIMA YESU KRISTO ANAKUITA......
.
 
Supa gluu ni kiboko ya tatizo lako, ukitumia hiyo hakika utakuwa umemaliza kabisa hiyo kadhia.
 
Fanya mazoezi sana, at least kila asubuhi na jioni! Na usipende kukaa mwenyewemwenyewe na sehemu iliyojificha kama chumbani!
 
mastablesheni ndo wapi jaman!Lol, mi mgeni maeneo haya nielekezeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…