pulundu
Member
- Apr 11, 2021
- 17
- 17
Wew ni mrusi?Sumu nakunywa Mimi, Yeye shida yake nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew ni mrusi?Sumu nakunywa Mimi, Yeye shida yake nini?
hahahaaa kaijua coca cola leo ?
putin amepoteana wanajeshi wake wanakufa yeye anajadili Coca-ColaFikiri nje ya box kwanini amesema hivyo.
Kwahiyo tulage tu hata vitu ambavyo tunao uwezo wa kuviepuka?Sumu tunaila kwenye vitu vingi sana saivi. Yani kama tukisema tuache kula vitu vyenye sumu, hatutakula kila kitu cha dukani
Maji yenye chumvi nyingi kama yale ya Dodoma,inatakiwa yachemshwe kwanza,ndiyo yatumiwe,lasivyo ile chumvi huenda kuweka mawe kwenye sijui ini,hivyo mtumiaji hulazimika kutibiwa kwa kufanyiwa surgery.Ila bora unywe hayo ya kuchemsha kuliko sumu za kujitakia.Bora chumvi au bora sumu?
Kwa sababu wanamuamini Shekhe Putin watakunywa zile Vladimir Vodka zenye 43% AlcoholKwa hiyo masheikh wanataka kutuambia kwamba na wenyewe wataanza rasmi kunywa "vodka" kwa sababu Putin amewaambia coca cola ndio ina sumu.
Coca cola na Pepsi ni kubwa kuliko Putin na RussiaYaani Putin ni wa kujadili Coca cola?
Kasema kwa kukurupuka tuuuu. Putin sio mwanasayansi, Hana chochote kwy sayansi. Yeye kasomea Sheria lakini ni mvunjaji wa Sheria. Yeye na sayansi wapi na wapi, ameongea kama mwana siasa asiyejua sayansiFikiri nje ya box kwanini amesema hivyo.
Utawapa shida wengine kukuuguza kwa magonjwa ya figo na ini. Kibaya zaidi ni pale hela zako ni tia maji (hauna uhuru wa kifedha).duh Na Coca cola wanaathirikaj wengine
Mountain dew Na 7 up zishapigwa marufuku marekani toka 70sPutin amewataka wananchi wa Urusi kuachana na kunywa sumu ama kemikali kutoka kwenye vinywaji baridi kama Cocacola na wapendelee kunywa vinjwagi vya asili ambavyo havina sumu na pia sio kemikali.
Putin anasema Coca Cola ni kemikali tupu na ni sumu.
Mwaka .2012 Donald Trump aliwahi kusema Pepsi ama Coca Cola ni sumu, ni takataka.
Hata kama si mwanasayansi lakini si ana watalaam wanasayansi ambao waweza kumpa taarifa za kisayansi?Kasema kwa kukurupuka tuuuu. Putin sio mwanasayansi, Hana chochote kwy sayansi. Yeye kasomea Sheria lakini ni mvunjaji wa Sheria. Yeye na sayansi wapi na wapi, ameongea kama mwana siasa asiyejua sayansi
Wazungu walipotangaza kuwekea vikwazo gas na Mafuta kutoka Russia walijua Russia ni kama Congo ya kinshasa sasa hivi wamemtuma Kijakazi wao Saudia anunue Gas hiyo ya Russia ili wainunue tena kwa black market
putin amepoteana wanajeshi wake wanakufa yeye anajadili Coca-Cola
Coca cola na Pepsi ni kubwa kuliko Putin na Russia