Putin ally says Russia will wipe out Ukraine's military in 48 hours
The drills in Lviv region come as Russia continues to tighten its military noose around Ukraine, as one close Vladimir Putin ally claimed it would take a maximum 48 hours to invade the country.www.dailymail.co.uk
nipo Donbas mkuuPutin ally says Russia will wipe out Ukraine's military in 48 hours
The drills in Lviv region come as Russia continues to tighten its military noose around Ukraine, as one close Vladimir Putin ally claimed it would take a maximum 48 hours to invade the country.www.dailymail.co.uk
Kwa uwezo wa akili yako mimi siwezi kukulaumu hata darasani kuna wanafunzi ambao ni slow leaners na fast leaners.(Putin ally) mkuu una elewa maana ya ally ? hamna pahala putin alisha wahi kusema ayo maneno toka 2022 hamjaweza kuleta clear source hizi source mnazo leta sio za putin wala hazi mquote putin ni mawazo binafsi kwa nini hamtaki kukubali
Kwa uwezo wa akili yako mimi siwezi kukulaumu hata darasani kuna wanafunzi ambao ni slow leaners na fast leaners.
Kwenye ulimwengu wa kijasusi hakuhitajiki akili za Buza ni pure and highly thinking brains hata huyo Putin ni Spy mbobezi, ushauri tu tafuta kitabu kinaitwa Secret Agent soma neno kwa neno ukikielewa rudi no wonder unapata shida kuelewa hiyo makala.
Otherwise soma hizo wuotes hapo chini labda zitakusadia.
Hata robot lenu lina shangaa , don't use quotes to support your stupidity unacho takiwa ni kukiri umekoseaKwa uwezo wa akili yako mimi siwezi kukulaumu hata darasani kuna wanafunzi ambao ni slow leaners na fast leaners.
Kwenye ulimwengu wa kijasusi hakuhitajiki akili za Buza ni pure and highly thinking brains hata huyo Putin ni Spy mbobezi, ushauri tu tafuta kitabu kinaitwa Secret Agent soma neno kwa neno ukikielewa rudi no wonder unapata shida kuelewa hiyo makala.
Otherwise soma hizo wuotes hapo chini labda zitakusadia.
Umesoma kitabu tayari??Hata robot lenu lina shangaa , don't use quotes to support your stupidity unacho takiwa ni kukiri umekosea
Son read between the lines and read recommended book mbona una kichwa kigumu 🤔Hata robot lenu lina shangaa , don't use quotes to support your stupidity unacho takiwa ni kukiri umekosea
😅unaanza kubadilika mkuu mwanzo ulisimamia kwamba Russia(putin) walisema wata maliza operation within 48 hours kitu ambacho mwenye akili timamu hawezi fikiria ukaleta na source zako za mchongo.Son read between the lines and read recommended book mbona una kichwa kigumu 🤔
Usijikite kwenye post moja na kufanya conclusion soma na majibu yangu nyuma kwa mtiririko sahihi ujue kwanini tumefikia hapa. Kwa jinsi unavyohoji mambo lazima tukurudishe darasani ili hata ukipewa unachotaka usije tena kuruka.😅unaanza kubadilika mkuu mwanzo ulisimamia kwamba Russia(putin) walisema wata maliza operation within 48 hours kitu ambacho mwenye akili timamu hawezi fikiria ukaleta na source zako za mchongo.
Saiv una nishawishi niwaze kwa akili ya kijasusi kwamba nijiongeze kama mlivyo ongezwa na propaganda za West 🙌 na log out tapitia kitabu kuongeza kitu ila sio kubadili ukwel
ni kukumbushana tu,kwani kuna ubaya!!!Zingatia mada there is no where Israel is mentioned in the thread.
Wacongo wanauwawa kisa madini yao ya cobalt na cotan.Kongo wanakata mauno nchi Yao ikienda na kagame
View: https://youtube.com/shorts/hQUyhgacDdY?si=ei5TxDrEdslueraP
Uzi ufungwe au kufutwa kabisa. Umemaliza mkuuHata robot lenu lina shangaa , don't use quotes to support your stupidity unacho takiwa ni kukiri umekosea
Hakuna Ubaya zaidi ya Ubwelani kukumbushana tu,kwani kuna ubaya!!!