Putin aliahidi kuikamata Ukraine ndani ya saa 48 na Trump aliahidi kumaliza vita hiyo ndani ya saa 24. What went wrong?

Hahahahaaa,kuna sehemu thread imemtaja PK au DRC?Ulipogusiwa kuhusu Israel,ukaja juu kuwa ni nje ya mada uliyoweka!Nadhani mlengo wako umeshajulikana!
Kama akili yako inafanya kazi sawa sawa na haina mihemuko utagundua kuwa niliye m-quote ameandika kuhusu PK na kaleta hoja bila mihemuko km huyo mwingine soma kwa makini acha kukurupuka.

By the way what is mlengo??

Punch2Punch
 
Kwa sababu wewe inaonekana ni kilaza basi soma hata hiyo ili uwe unaandika vitu vya maana.
Habari yenyewe inasema inafikiriwa kuwa Putin alidhani,hahahaaa!
Kwahiyo waliamuangalia Putin wakihisi hivyo na wala hawakuwahi kumsikia akitamka hayo popote pale!Ndio maana wengine wanasema 24hrs,wengine 72 hrs na wengine wiki mbili!Sasa tushike lipi?
Tumeomba ushahidi kwa miaka 3 na hakuna aliyeweza kuja na ushahidi huo!
 
Hivi hizi IQ za bata mnazitoleaga wapi? Kwenye hiyo umeisoma vizuri na yote na ni kipi hapo kwenye hiyo taarifa hukielewi ili ku-clarify matakwa ya Putin? Na hata tukikutelea quote ya Putin kutamka hayo maneno utakataa utasema ni propaganda za Europe. Kichwa ni kigumu 😷
 
Lete hiyo quote na si habari ya "Putin thought"!
Watu siku hizi mna vipaji vya kujua mawazo ya mtu mwingine,hahaha
 
Viongozi hao majabali walitoa kauli hizo wakiwa wanajiamini sana. Lakini pia najiuliza kauli hizo walizitoa kwa back up ya intelijensia zao au kwa minajili ya umaarufu tu wa kisiasa?

Je tunapaswa kuendelea kuwaamini na kauli zao nyingine katika kutafuta amani huko Ulaya na viunga vya Gaza?

Trumpism and Putinism theories will take over the world??

Mwanzoni hakujua kwamba anaenda kupambana na NATO. Kuja kustuka kwamba anapigana na marekani na wenzake ikawa inakaribia asubuhi
 
Hiyo ni nadharia moja ya mzee flani hivi jnaitwa Murphy's law aliwahi kusema hiv

"If something can go wrong, will go wrong . If won't go wrong, will go wrong anyway"
 
Kwa sababu wewe inaonekana ni kilaza basi soma hata hiyo ili uwe unaandika vitu vya maana.
Nimesha kushauri ukae kimya kuficha ujinga wako naona uelewi ona sasa ulicho leta hata Kingereza uelewi ,unaletq habari za mawazo ya waandishi na sio statements ya putin nacho taka ni ulete statement ya Putin au ya russia officials maana toka mwaka 2022 hamleti mna baki kubwaja bwaja.

Sababu ni sio Putin wala russia officials walio wahi kusema watashinda within 24hr,48hrs wala 72hrs zaidi ya operation
 
Sitaki kurudia tena maelezo yangu yanajitosheleza km hukuyaelewa ya nini niendelee kukuelimisha mambo makubwa wakati yale madogo tu umeshindwa kuyang'amua laiti akili yako ingekuwa ni kubwa ningefanya ulivyotaka tatizo siwezi kufanya hivyo coz akili zetu zimepishana mbali km hilo andiko unasema ni maoni ya waandisha ukiliza wako uko below zero 🤭🤭
 
Km-kama
Coz-becouse

Nimesikitika kuona nasumbuana na teenager nenda Facebook bwana mdogo na ujifunze kuandika
 
Tubaki kwenye hoja bado tunapima uelewa wako na hoja zako. Hivyo vingine sio vya msingi sn
 
Back
Top Bottom