Putin alimheshimu sana Trump, kwa sasa Biden ni kama Mdoli kama alivyokuwa Obama. Baada ya Urusi tutegemee naye China kutesti mitambo

Putin alimheshimu sana Trump, kwa sasa Biden ni kama Mdoli kama alivyokuwa Obama. Baada ya Urusi tutegemee naye China kutesti mitambo

Yani kusema sijui chochote hiyo ni hitimisho la ubongo wako haifanyi ni sijue chochote..
Huwa siangalii channel za wazayuni(zion) mpendwa!!!
Propagand ni somo pendwa kwangu.
Ipitie vizuri Russia uipe heshima yake...
Umeonesha kwamba umepitwa na mengi, any way wacha nikujuze tu kwamba, Ripoti ya Mueller (Mueller Report) baada ya uchunguzi ilifikia conclusion kwamba Urusi hakuhusika kwa namna yoyote kumsaidia Trump katika uchaguzi wa 2016 kama ilivyozuswha, kumbuka hapa waliochunguza walikuwamo chama pinzani ambao walikuwa wanamchukia Trump.

Kwa sasa ripoti ya Durham (Durham Report) imejikita kwenye kuchumguza alieanzisha huo uzushi wa Trump kusaidiwa na Russia, Ripoti imeonesha wazi kwamba mama Clinton alilipa pesa ndefu majasusi na hackers ili kuingilia mifumo ya mawasiliano ya tehama ikulu white house ili kupandikiza data ya kubambikiza connection kati ya Trump na Russia. Kwa lugha nyepesi Clinton alihusika kutengeneza hio skendo ya Russia na kuipush kwenye media.

Nakuonea huruma tu vyanzo vyako vya habari ni very far left, huwa hawaripoti habari ambazo zinawakosoa kwa kile walichoaminisha watu hapo zamani.
 
Ni wazi kabisa kipindi cha Trump, raisi wa Urusi alikuwa akimheshimu sana kiasi kwamba hakuweza kuthubutu kufanya haya anayoyafanya kwa sasa kwa sababu aliogopa response ambayo Trump angeichukua.
Wote ni wayahudi lazima waheshimiane
 
umeonesha kwamba umepitwa na mengi, any way wacha nikujuze tu kwamba, Ripoti ya Mueller (Mueller Report) baada ya uchunguzi ilifikia conclusion kwamba Urusi hakuhusika kwa namna yoyote kumsaidia Trump katika uchaguzi wa 2016 kama ilivyozuswha, kumbuka hapa waliochunguza walikuwamo chama pinzani ambao walikuwa wanamchukia Trump.

Kwa sasa ripoti ya Durham (Durham Report) imejikita kwenye kuchumguza alieanzisha huo uzushi wa Trump kusaidiwa na Russia, Ripoti imeonesha wazi kwamba mama Clinton alilipa pesa ndefu majasusi na hackers ili kuingilia mifumo ya mawasiliano ya tehama ikulu white house ili kupandikiza data ya kubambikiza connection kati ya Trump na Russia. Kwa lugha nyepesi Clinton alihusika kutengeneza hio skendo ya Russia na kuipush kwenye media.

Nakuonea huruma tu vyanzo vyako vya habari ni very far left, huwa hawaripoti habari ambazo zinawakosoa kwa kile walichoaminisha watu hapo zamani.
Duuh!!! kwahyo democratics wakajichunguza na wakajihukum wao ndio wamefanya!?
Usiichie tu kusoma magazeti na kuangalia tv nakujiita mwerevu.
Soma sana vitabu!!!
Tv haikufanyi uwe mwerevu mpendwa!!!!
 
Duuh!!! kwahyo democratics wakajichunguza na wakajihukum wao ndio wamefanya!?
Usiichie tu kusoma magazeti na kuangalia tv nakujiita mwerevu.
Soma sana vitabu!!!
Tv haikufanyi uwe mwerevu mpendwa!!!!
Hawaitwi democratics, wanaitwa Democrats

Usiniulize mimi maswali 😂😂 kasome Muller report na Durham report.

au uliwekwa ndani 2016 ndio umetoka mwaka huu.
 
Usiniulize mimi maswali 😂😂 kasome Muller report na Durham report.

au uliwekwa ndani 2016 ndio umetoka mwaka huu.
Wewe ndio umeandika nikasome wapi tena!??
Uwe una-reason unachokiandika ndg..
Hiyo emoj inaongozwa kuwekwa na watu wengi kwa report ya mwaka jana hope kwa sababu wajinga ni wengi.
Nimekuona wa ajabu ku-declare uko-smart kwa sababu unaangalia tv na kupata information pole ndg.
 
Wewe ndio umeandika nikasome wapi tena!??
Uwe una-reason unachokiandika ndg..
Hiyo emoj inaongozwa kuweka na watu wengi kwa report iliyo hope kwa sababu wajinga ni wengi.
Nimekuona wa ajabu ku-declare uko-smart kwa sababu unaangalia tv na kupata information pole ndgg.
Ulikuwa mshamba, nikakutoa ushamba kwa kukujuza yanayoendelea ila umeamua kuwa mjinga..... dawa ya mjinga ni kuacha kujibizana nae, wacha nikae kimya tu, mjuaji endelea kuropoka.
 
Ulikuwa mshamba, nikakutoa ushamba kwa kukujuza yanayoendelea ila umeamua kuwa mjinga..... dawa ya mjinga ni kuacha kujibizana nae, wacha nikae kimya tu, mjuaji endelea kuropoka.
Kama ujanja ni kuangalia tv baki na ujanja wako!!!!
Hujui hata philosophy behind the scene.
Watu wote wenye akili hapa duniani hakuna hata mmoja aliyewahi ku-declare anaakili
wajinga ni kawaida yenu.
Wewe ni muangalia taarifa tu kama za ITV huna lolote..
 
Ulikuwa mshamba, nikakutoa ushamba kwa kukujuza yanayoendelea ila umeamua kuwa mjinga..... dawa ya mjinga ni kuacha kujibizana nae, wacha nikae kimya tu, mjuaji endelea kuropoka.
Kama akili yako ni ndogo kunywa maziwa nyama huziwezi waachie wakubwa.
 
Kama Trump alishindwa kujibu mashambulizi ya Iran kwenye kambi za wanajeshi wa Marekani ndio angeweza mziki wa Putin baba wa dunia kijeshi?

Umesahau alichomfanya mkuu wa kikosi soulemani?. Mpaka Ayatollah akatoa Warrant of Arrest kwa Trump. Trump was a nationalist, alilenga kujenga pride ya marekani. Ndio maana kipindi chake, yeye ndio aliwika Sana.
 
Trump was unpredictable. Ndio maana Putin alikuwa speculative Sana. Lakini Biden ni low energy ndio maana Putin anaamua anachotaka.
Kifuatacho hapa ni China kutest mitambo kwa Taiwan.

wakati wa Russia na China ndio huu, Trump akirudi 2024 itakuwa msala
 
Naunga mkono hoja.
Ni wazi kabisa kipindi cha Trump, raisi wa Urusi alikuwa akimheshimu sana kiasi kwamba hakuweza kuthubutu kufanya haya anayoyafanya kwa sasa kwa sababu aliogopa response ambayo Trump angeichukua.
 
Clinton?
Idara za marekani walisema russia ameingilia uchaguzi ili Trump awe rais
sasa Rusia walikuwa wanataka kumuweka mtu watakaye muogopa?
wewe ndio unajua zaidi kuliko idara?

Maajabu haya niliyosoma juu
Yaani hadithi utafikiri Trump alikuwa adui wa Putin
Hahahaha kweli umeliona hilo
Yaani mtu anaandika tu utafikiri trump alikuwa Rais miaka 100 iliyopita
Wote tunajua waligushi election
Na Trump amesema Putin he’s genius

Nashangaa Rais na makamu wake wa Ukraine ni Wayahudi ila siwasikii wale black Jews wakitia neno [emoji23][emoji23]
 
Nilikuwa hapo ulipoweka link
Kwa hiyo unaamini hayo?

Kuna mambo mengine ni lazima usome vyanzo vingi ili kuchambua mambo
Ni kama vile kutafuta vyanzo vingi kujua kama Tanganyika ilipata uhuru 1961, hata usipoamini ukweli uko pale pale.

Hali ndivyo ilivyo, No collusion No obstruction, alietengeneza huo mzozo ni Clinton alipopata hasira baada ya kushindwa 2016. Hasira mbaya sana.
 
Back
Top Bottom