Putin amechoka na Vita na Ukraine. Apongeza wazo la kumaliza vita yake na Ukraine

Mkuu athari lazma uchumi unatkisika kama unawekeza kweny vta ambayo unatumia pesa garama kubwa mfano zle slaa aliyo toa iran kwan kapewa bure? Ndyo maana putin alikuwa na ziara nying Asia kama kwenda korea kaskazn kufanya mazungumzo na rais wachina mongolia yote hzo n kujarbu kutafta ungwaji mkono saif wanataka kuwa na umoja wao BRICS kwa kuinua uchumia wake saiv urusi ukiwa muwalifu lazma upelekwe vtani kwanza mstar wambele inaonesha jins ngan mamb n magumu kwa putin maana lengo kuu nkumshinda hadui je amefanikiwa?
 
Kati ya Majitu ya hovyo ni pamoja na Putin, na washirika wake Wachina na Iran na yule dogo panki.

Muungano wa uovu. ''The axis of evil''
 

Ebu taja, japo taifa moja linalopigana sambamba na Ukraine dhidi ya Russia. Acha uwongo.

Mataifa yanaisaidia Ukraine kwa silaha na fedha kwa sababu ya udogo wa uchumi wa Ukraine, lakini hakuna nchi hata moja inayoisaidia Ukraine kupigana dhidi ya Russia. Kusaidiwa silaha au pesa na marafiki zako au wanaokuonea huruma kwa sababu unaonewa na mbabe, wakati wa vita, ni jambo la kawaida sana. Hata hapa Tanzania, mwaka 1978 tulipokuwa tunapigana na Uganda, Kyuba ilitusaidia silaha. Lakini hiyo haikumaanisha Uganda ilikuwa inapigana na nchi 2.

Vita dhidi ya Ukraine imeiweka wazi na kuidharaulisha Urusi. Wataalam wa masuala ya vita, baada ya kuona jinsi Ukraine ilivyoifanyia Urusi, hata kabla ya misaada ya kivita, wamesema wazi kuwa uwezo wa kivita wa Urusi ulikuwa over-exagerated. Jeshi lake limedhihirika kuwa na uwezo mdogo kivita.

Kudai eti Urusi imefanikiwa kupunguza uwezo wa kijeshi wa Ukraine, ni hoja ya kijinga. Hivi ni lini Ukraine iliwahi kuwa miongoni mwa mataifa yenye uwezo mkubwa kivita kiasi cha Urusi ikafikirie kwenda kupunguza uwezo wa kivita wa Ukraine?

Vita hii, in long term, Urusi imeumizwa sana. Uchumi wake mpaka miaka ya 1990, ulikuwa wa kususasua sana, mpaka ikifikia kuomba misaada kutoka nchi za Magharibi. Wakampa misaada, kwa sharti ya kuheshimu demokrasia na haki za watu. Akaridhia masharti yote ili apewe misaada. Baada ya pale Urusi haikuweza kuyshikilia mataifa kwa nguvu ndani ya iliyokuwa USSR, kisha USSR ikafa. Na hii vita ikiendelea kwa miaka mingine tena, huko mbeleni, lazima uchumi wa Urusi uathirike. Kwanza ile nguvu kazi ya vijana wataalam walioikimbia Russia na kwenda Ulaya, ina athari mbaya kwa Urusi.
 
Weka ushahidi kuwa Urusi inapambana na nchi 32, mbona wapumbavu hawaishi duniani? Askari Gani wa NATO waliotumwa kwenda kupigana Ukraine? Urusi katuma silaha pamoja na S400 kule Iran kwahyo Urusi inapigana na Israel?
Askari wa NATO wapo Ukraine kwa ajili ya arms control, kusaidia intelligence, kutoa mafunzo n.k, wengine wapo front..
Ukraine inasaidiwa kila kitu hadi magari ya ambulance...

Msaada anaopewa Ukraine hata NATO hawaamini kama Russia angeweza ku withstand na Ukraine lakini ndio hivyo jamaa yumo anatembeza kichapo na Ukraine ni kilio tu...
 
UONGO. UMEAMBIWA NA SHEIKH KITINKU HAYA MANENO. YA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.
 
Wengi mnaongea humu lakini ukweli mnaufahamu.
Vita ni uchumi, vita ni fedha, vita lazima uwe na silaha, vita lazima uwe na intel, hayo yote Ukraine inasaidiwa naweza kusema kwa zaidi ya asilimia 80.

Zelensky kila siku analia silaha, anapatiwa, hizo abrams tanks za US kapewa nyingi sana, F16, fedha, hadi ambulance Ukraine inasaidiwa...

NATO inafikia hatua kutoa intel hii ni maana NATO ndio yupo mbele, NATO wakiacha tu, Ukraine inapigwa kesho tu.

Kuhusu askari wa Ukraine kuonekana Ukraine sio mara ya kwanza, tena sio askari wa kawaida ni special forces, na inafanywa kama siri, ndio maana hata Russia kasema askari wa NK kuwepo vitani ni sawa.... Unajua kwanini?
Acheni kukariri vitu...
 
Hadi imeishiwa wanajeshi na kuomba msaada kwa N, Korea, aisee nchi za kijamaa zina propaganda nyingi sana, hakuna mwanajeshi hata mmoja wa NATO hapo Ukraine kama ushahidi upo weka, tofauti na hapo usitupigie kelele
 
Watanzania wengi mna mavi ya kuku kicwani. Yawezekana uko mfupi mbilikimo kama huyo Putin!
Putin ni mwamba.
Tazama nchi za Ulaya uchumi unavyoporomoka...
Tazama tu sehemu moja ya biashara ya magari ilivyo hoi Ulaya, China ndiye kajaza sehemu iliyo wazi, raw materials na components za kutengeneza hizo gari yamekuwa ghali, kitu kilichopelekea magari kuwa bei juu... Viwanda vingine wame stop production hio yote ni vita na kuipiga sanctions Russia.

Kumbuka Russia kwa Ulaya inaongoza kutoa metals kama lead, copper n.k wanazotumia kwenye utengenezaji wa hizo machines....
 
Hajui hata kama Ukraine haruhusiwi kupiga ndani ya Urusi kwa kutumia silaha anazopewa
Sindio hapo sasa, unakuta mtu anakwambia Urusi inapigana na NATO nzima, hivi kuna nchi dunia hii inaweza kupigana na nchi zote 32 na ikashinda? Hata marekani yenyewe haiwezi, lakini unakuta machawa humu wanakwambia Urusi inapigana NATO yote😀😀
 
Hadi imeishiwa wanajeshi na kuomba msaada kwa N, Korea, aisee nchi za kijamaa zina propaganda nyingi sana, hakuna mwanajeshi hata mmoja wa NATO hapo Ukraine kama ushahidi upo weka, tofauti na hapo usitupigie kelele
Mimi nakuwekea chanzo bbc...

Halafu nakuuliza mwaka 2003 kipindi USA anaivamia Iraq, kwanini aliingia akiwa pamoja na UK, Australia na Poland n.k, je US alikuwa kaishiwa wanajeshi na alikuwa akisaidiwa?

Naomba unijibu...
 
Huo mfano wa marekani ebu badilisha.
 
Mimi nakuwekea chanzo bbc...
View attachment 3135235
Halafu nakuuliza mwaka 2003 kipindi USA anaivamia Iraq, kwanini aliingia akiwa pamoja na UK, Australia na Poland n.k, je US alikuwa kaishiwa wanajeshi na alikuwa akisaidiwa?

Naomba unijibu...
Sio marekani ilivamia Iraq, nchi zote hizo zilikubaliana kuivamia Iraq, ukiskia wapi marekani kaomba msaada wa wanajeshi? Putin kavamia Ukraine akiwa peke yake, hata Kim jong Un anashangaa inakuwaje Putin badala aombe msaada wa silaha yeye amekimbilia wanajeshi maana ake kaishiwa wapiganaji, alafu machawa wake humu mnakesha kusifia ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…