DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huna hoja na hufahamu uchambuzi wa siasa za kimataifa kuna nyuzi zenu watu kama nyie kama kula tunda kimasihara...Mkishamalizq swala huwa mnajazana ujinga
Sio kwamba haruhusiwi, wanaogopa maamuzi Russia itakayochukua kwa aliyetoa hizo silaha na Ukraine yenyewe.Hajui hata kama Ukraine haruhusiwi kupiga ndani ya Urusi kwa kutumia silaha anazopewa
Mkuu athari lazma uchumi unatkisika kama unawekeza kweny vta ambayo unatumia pesa garama kubwa mfano zle slaa aliyo toa iran kwan kapewa bure? Ndyo maana putin alikuwa na ziara nying Asia kama kwenda korea kaskazn kufanya mazungumzo na rais wachina mongolia yote hzo n kujarbu kutafta ungwaji mkono saif wanataka kuwa na umoja wao BRICS kwa kuinua uchumia wake saiv urusi ukiwa muwalifu lazma upelekwe vtani kwanza mstar wambele inaonesha jins ngan mamb n magumu kwa putin maana lengo kuu nkumshinda hadui je amefanikiwa?Uchumi wa Russia umeporomaka kiasi gani? Je, raia wake wameathirikaje hadi sasa ikilinganishwa na nchi ya Ukreni na zingine za Ulaya?
Kwa nini Donald Trump naye anatamani sana amelize vita hata kesho asubuhi, kama siyo kwamba dola na rasilimali zao zinateketea bure?
Unapoandika taarifa, jaribu kuwa mkweli. Ukiongopa, unajidanganya wewe mwenyewe tu.
Kati ya Majitu ya hovyo ni pamoja na Putin, na washirika wake Wachina na Iran na yule dogo panki.Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema uhusiano kati ya nchi yake na Marekani baada ya uchaguzi wa rais wa Marekani utategemea mtazamo wa nchi hiyo, huku akiyapongeza maoni ya Donald Trump kuhusu nia yake ya kuumaliza mzozo wa Urusi na Ukraine. Putin ameyasema hayo wakati mzozo kati ya nchi yake na Ukraine ukizidi kufukuta.
Soma Pia: Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Nadhani huyu mbabe amejifunza kitu. kwa sasa hasemi tena operation. Anasema ni vita. mara ya kwanza alisema anaenda Ukraine kufanya operation. kama kutumbua tu chunusi. sasa chunusi imekuwa kijipu uchungu. amechoka.
Russia hata ikisimama leo vita wamefanukiwa pakubwa kwenye kile walisema kuipunguza nguvu kijeshi Ukraine.
Hata hivyo narudia tena kusema, Russia ikiishambulia Ukraine kama Israel inachofanya Gaza kutokujali uhai wa raia Zelensky hivi sasa angekuwa anaishi Washington DC na familia yake kama wakimbizi wa kivita na kisiasa.
NATO uoga umewaingia kufahamu kwamba Russia ina uwezo kiasi hiko, misaada, askari intel n.k lakini bado hawajaidhoofisha Russia kama walivyodhani.
Nchi moja inapambana na nchi 32, si mchezo.Ebu taja nchi japo moja ambayo inapigana vita sambamba na Ukraine dhidi ya Russia.
Askari wa NATO wapo Ukraine kwa ajili ya arms control, kusaidia intelligence, kutoa mafunzo n.k, wengine wapo front..Weka ushahidi kuwa Urusi inapambana na nchi 32, mbona wapumbavu hawaishi duniani? Askari Gani wa NATO waliotumwa kwenda kupigana Ukraine? Urusi katuma silaha pamoja na S400 kule Iran kwahyo Urusi inapigana na Israel?
Walikuwa wanamsindikiza kumwimbia.2003 USA aliivamia Iraq akiwa na UK, Australia, Poland n.k sasa nikuulize, US alikuwa anasaidiwa?
Sio kweliPutin kiongozi wa hovyo sana
UONGO. UMEAMBIWA NA SHEIKH KITINKU HAYA MANENO. YA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.Askari wa NATO wapo Ukraine kwa ajili ya arms control, kusaidia intelligence, kutoa mafunzo n.k, wengine wapo front..
Ukraine inasaidiwa kila kitu hadi magari ya ambulance...
Msaada anaopewa Ukraine hata NATO hawaamini kama Russia angeweza ku withstand na Ukraine lakini ndio hivyo jamaa yumo anatembeza kichapo na Ukraine ni kilio tu...
Wengi mnaongea humu lakini ukweli mnaufahamu.Ebu taja, japo taifa moja linalopigana sambamba na Ukraine dhidi ya Russia. Acha uwongo.
Mataifa yanaisaidia Ukraine kwa silaha na fedha kwa sababu ya udogo wa uchumi wa Ukraine, lakini hakuna nchi hata moja inayoisaidia Ukraine kupigana dhidi ya Russia. Kusaidiwa silaha au pesa na marafiki zako au wanaokuonea huruma kwa sababu unaonewa na mbabe, wakati wa vita, ni jambo la kawaida sana. Hata hapa Tanzania, mwaka 1978 tulipokuwa tunapigana na Uganda, Kyuba ilitusaidia silaha. Lakini hiyo haikumaanisha Uganda ilikuwa inapigana na nchi 2.
Vita dhidi ya Ukraine imeiweka wazi na kuidharaulisha Urusi. Wataalam wa masuala ya vita, baada ya kuona jinsi Ukraine ilivyoifanyia Urusi, hata kabla ya misaada ya kivita, wamesema wazi kuwa uwezo wa kivita wa Urusi ulikuwa over-exagerated. Jeshi lake limedhihirika kuwa na uwezo mdogo kivita.
Kudai eti Urusi imefanikiwa kupunguza uwezo wa kijeshi wa Ukraine, ni hoja ya kijinga. Hivi ni lini Ukraine iliwahi kuwa miongoni mwa mataifa yenye uwezo mkubwa kivita kiasi cha Urusi ikafikirie kwenda kupunguza uwezo wa kivita wa Ukraine?
Vita hii, in long term, Urusi imeumizwa sana. Uchumi wake mpaka miaka ya 1990, ulikuwa wa kususasua sana, mpaka ikifikia kuomba misaada kutoka nchi za Magharibi. Wakampa misaada, kwa sharti ya kuheshimu demokrasia na haki za watu. Akaridhia masharti yote ili apewe misaada. Baada ya pale Urusi haikuweza kuyshikilia mataifa kwa nguvu ndani ya iliyokuwa USSR, kisha USSR ikafa. Na hii vita ikiendelea kwa miaka mingine tena, huko mbeleni, lazima uchumi wa Urusi uathirike. Kwanza ile nguvu kazi ya vijana wataalam walioikimbia Russia na kwenda Ulaya, ina athari mbaya kwa Urusi.
Watanzania wengi mna mavi ya kuku kicwani. Yawezekana uko mfupi mbilikimo kama huyo Putin!Usiseme hivyo bob. Huyu ni mwamba wa Dunia...ni Taifa Kubwa sana.
Hadi imeishiwa wanajeshi na kuomba msaada kwa N, Korea, aisee nchi za kijamaa zina propaganda nyingi sana, hakuna mwanajeshi hata mmoja wa NATO hapo Ukraine kama ushahidi upo weka, tofauti na hapo usitupigie keleleAskari wa NATO wapo Ukraine kwa ajili ya arms control, kusaidia intelligence, kutoa mafunzo n.k, wengine wapo front..
Ukraine inasaidiwa kila kitu hadi magari ya ambulance...
Msaada anaopewa Ukraine hata NATO hawaamini kama Russia angeweza ku withstand na Ukraine lakini ndio hivyo jamaa yumo anatembeza kichapo na Ukraine ni kilio tu...
Putin ni mwamba.Watanzania wengi mna mavi ya kuku kicwani. Yawezekana uko mfupi mbilikimo kama huyo Putin!
Sindio hapo sasa, unakuta mtu anakwambia Urusi inapigana na NATO nzima, hivi kuna nchi dunia hii inaweza kupigana na nchi zote 32 na ikashinda? Hata marekani yenyewe haiwezi, lakini unakuta machawa humu wanakwambia Urusi inapigana NATO yote😀😀Hajui hata kama Ukraine haruhusiwi kupiga ndani ya Urusi kwa kutumia silaha anazopewa
Mimi nakuwekea chanzo bbc...Hadi imeishiwa wanajeshi na kuomba msaada kwa N, Korea, aisee nchi za kijamaa zina propaganda nyingi sana, hakuna mwanajeshi hata mmoja wa NATO hapo Ukraine kama ushahidi upo weka, tofauti na hapo usitupigie kelele
Huo mfano wa marekani ebu badilisha.Sindio hapo sasa, unakuta mtu anakwambia Urusi inapigana na NATO nzima, hivi kuna nchi dunia hii inaweza kupigana na nchi zote 32 na ikashinda? Hata marekani yenyewe haiwezi, lakini unakuta machawa humu wanakwambia Urusi inapigana NATO yote😀😀
Sio marekani ilivamia Iraq, nchi zote hizo zilikubaliana kuivamia Iraq, ukiskia wapi marekani kaomba msaada wa wanajeshi? Putin kavamia Ukraine akiwa peke yake, hata Kim jong Un anashangaa inakuwaje Putin badala aombe msaada wa silaha yeye amekimbilia wanajeshi maana ake kaishiwa wapiganaji, alafu machawa wake humu mnakesha kusifia ujingaMimi nakuwekea chanzo bbc...
View attachment 3135235
Halafu nakuuliza mwaka 2003 kipindi USA anaivamia Iraq, kwanini aliingia akiwa pamoja na UK, Australia na Poland n.k, je US alikuwa kaishiwa wanajeshi na alikuwa akisaidiwa?
Naomba unijibu...