Putin anachofanya ni PR na siasa ila ni ngumu sana kuizuia kansa na nitakupa na sababu

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Kumeibuka habari kwamba Russia wamekuja na kinga ya cancer watu wanashangalia ukweli ni kwamba sidhani kama hiyo dawa itafanikiwa kirahisi na ntakupa na sababu

Sifa za cell za Cancer
Kila cell ndani ya mwili wa binadamu zina-mda wake wa kuishi na baada ya hapo zinakufa na kuja nyingine, cell za sehemu husika mfano kwenye matiti, au kifua zisipokufa yaani kuescape Programming death zinakuwa cancerous cells
  1. Cancerous cell isipo-undergo mutation ni rahisi kuitibu na hii ndo watu wengi unasikia wamepata cancer na wanapona ni wana-aina hii ya cancer.
  2. Cancerous cell inayo-undergo mutation taratibu sana inaweza kutibika kama mtu akiwahi ila ni ngumu kama ukichelewa na mara nyingi hata ikitibika huwa inarudi na wagonjwa wa aina hii ya cancer wanaweza ishi hata miaka 10, 15 mpaka 20 baada ya kupata, na kama ikirudi inarudi kama aggressive cancer.
  3. Cancerous cell inayo-undergo constant mutation inaitwa aggressive cancer hii huwaga kutibika ni ngumu sana sababu dawa nyingi hazijatengenezwa kuweza kukabiliana na constant mutation
Fahamu kwanza hio kinga ya cancer inavyofanya kazi
  • Dawa ya Cancer ya urusi inatumia mRNA sawa na ile kinga ya covid-19 ya Pfizer na biotech nikimaanisha inapokuwa imetroduce kwenye mwili kupitia sindano inaenda kwenye cell kutrain DNA ambayo itatengeneza protein kwa ajili ya kujikinga na cancer na ni njia hii hii ambayo Pfizer na biotech covid-19 shot ilivyokuwa inafanya kazi
  • Unachomwa sindano baada ya kuingia kwenye mwili wako inaenda mpaka kwenye white blood cell na kisha kwenda kwenye DNA inatrain DNA kupitia mRNA inatengeneza antibodies (protein) ambazo ndo kinga ya cancer kwa hiyo any Cancerous cells zinapoibuka zinauliwa na hizo antibodies zilizotengenezwa hii ndo maana ya mRNA vaccine ya Russia inavyofanya kazi dhidi ya cancer ndani ya mwili wa binadamu
Scientific concern against mRNA based therapeutics
  • Changamoto ya mRNA drugs zinafeli pale inapotokea mutation refer case ya covid-19 ilitengenezwa specific kwa ajili ya alpha, ila kirusi kilipo-undergo mutation na kuwa delta efficacy ya mRNA vaccine kama ya Pfizer na moderna zilipungua maradufu, na kilipo undergo further mutation na kuwa omorin Pfizer, na moderna wakafikria kutengeneza kinga nyingine doubt zikaanza dhidi ya mRNA based therapeutics. Swali la kujiuliza hiyo kinga ya cancer inaweza pambana na aggressive cancer ambayo ina-undergo constant mutation. Uwezekano wa cancer vaccine ya Russia kuwa effective ni kwa cancer ya kawaida ambayo hai-undergo mutation inaweza tibu ila hata Chemotherapy na Radiotherapy zinatibu kwa cancer ambazo hazi-undergo mutation
  • Malalamiko ya technologia ya mRNA ni ku-alter DNA hakuna scientific prove bali ni moja ya sababu iliyopunguza demand ya chanjo ya Corona ya Pfizer na moderna, je Russia wamejiandaaje kuja na majibu na haya Malalamiko

Kwanini ni ngumu sana kupata tiba/kinga ya Cancer hili ni moja ya swali watu wengi wamekuwa wakijiuliza
👇👇👇👇👇👇
Kwanza kabisa Cancer ni matokeo ya cell ku-escape Programming death tunafahamu kila cell ndani ya mwili wa binadamu ina-life span yake sasa kama isipokufa ndo changamoto ya Cancer inapoanza na hizi cancer zinakuwa zina-undergo constant mutation hii inafanya kuwa ngumu sana kutibika yaani zinabadilika badilika at molecular level ndo maana dawa nyingi sana za cancer zinaonyesha matumaini ila ukienda kwenye large population zinafeli

Normal cells za sehemu husika ambazo zimekua abnormal na zinapo-escape programming death zinakuwa cancer na zinazalisha abnormal protein ambazo huleta madhara kwenye mwili wa binadamu

Dawa nyingi za cancer zinakuwa effective kwa Cancerous cells ambazo hazi-undergo mutation ila kwa Cancerous cells ambazo zina-undergo mutation dawa zinafeli haziwezi kutibu

Hakuna namna utakuja na dawa ya Cancer bila kuadress changamoto ya protein ku-undergo constant mutation kama nilivyosema tokea mwanzo hii changamoto utaikuta pia kwenye magonjwa kama ya viral ambayo protein wa kwenye viral wana-undergo mutation

Nini kifanyike ili kuja na dawa ya Cancer
  1. Kupredict mutation cycles mpaka sahivi hakuna mtu aliyeweza kupredict protein mutation cycles ndo maana siku za nyuma nilisema nikiwa Rais wa Tanzania kutakuwa na mradi wa kuoredict protein mutation na hii itafungua njia ya kutengeneza dawa na kinga siyo tu magonjwa kama cancer bali na hata virus, na neurodegenerative diseases
Kwenye huu uzi nimegusia swala la protein mutation

Kwenye huu uzi nimeelezea njia za kutengeneza dawa

NIKIWA RAIS KAMA NCHI HATUTAENDELEA KUWA MASHABIKI WA NCHI NYINGINE BALI DAWA ZA MAGONJWA TOFAUTI TOFAUTI KAMA CANCER ZITAKUWA ZINATENGENEZWA HAPA TANZANIA
 
Mm sio Mtaalamu ila Ni jambo Linawezekana kabisa.

Chanjo yao imetengenezwa kuchochea kinga ya mwili kushambulia na kuangamiza seli za saratani..

Kumbuka hata HIV/AIDS miaka ile 2000's watu walihisi kusingepatikana dawa.

Ila imepatikana ya kufubaza Virus na ipo chanjo ambayo ni the same na hiyo ya Kinga dhidi ya cancer maana zote zinaenda kuandaa Kinga za mwili kupigana na cell zozote zenye dalili ya aina hiyo na kuziua.

Wanasayansi wale sidhan kama wana Guts za kumdandanya Putin 😁😁😁
 
Tusiosoma biology tupo pembeni kusoma malumbano ya hoja.

Ww bora una idea kidogo.

Navyojua Cell za Cancer ni cell ambazo zimezalishwa na zikawa invalid. (Yaan tofaut na vile ilitakiwa iwe- kama ilivyo cell mama yake)

Kwahiyo ni mutation.

Na DNA inashindwa kuzitambua na kuziua hizo mutation cell. Had inakuwa cell kamili ila iliyo na kasoro/tofauti.

Mm nina amini wanaweza wakatengeneza Kinga ambayo inaweza kusaidia kuziua hizo mutation cell.
Ni vile muda ulikuwa haujafika. Ila kila kitu kina Muda wake.
 
Kupredict mutation cycles mpaka sahivi hakuna mtu aliyeweza kupredict protein mutation cycles

Rais wangu.
Hebu fafanua hii kupredict mutation cycles.

Ww mtaalamu zaidi.

Ila Mm nadhan hawahitaj kupredict.
Bali wanahitaj siku hizo mutation cell zikizalishwa basi ziuliwe.

Na kinga inawekwa kwenye DNA yako.
Kwahiyo chochote kinachoenda kinyume na kinachozalishwa kikawa invalid. Basi kinauliwa na kutoka kama mali chafu.
 
Mpuuzi kweli, yaan watu Tena Wazungu , wameingia darasani miaka na miaka , wameifanya majaribio yakutosha ,hatimaye wamekuja Rasimi .

Wewe umekaa Sebuleni na mapumbu yako hiyo juzi, Kisha umeiona taarifa hiyo, Leo unakuja na Uzi "Putin nyooo nyooooo".

Ulitaka wakuelezee inavyofanya kazi kiundani ili waibiwe Teknolojia Yao?.

Au Hujui kua hiyo ni Vita dhidi ya Big Pharms za Marekani na Ulaya??.

Ushawah jiuliza kwann Chanjo dhidi ya Uviko ilotengenezwa na Warusi , ilipigwa Marufuku kutumika Ulaya na Marekan??.
 
Mm sio Mtaalamu ila Ni jambo Linawezekana kabisa.

Chanjo yao imetengenezwa kuchochea kinga ya mwili kushambulia na kuangamiza seli za saratani..

Kumbuka hata HIV/AIDS miaka ile 2000's watu walihisi kusingepatikana dawa.

Ila imepatikana ya kufubaza Virus na ipo chanjo ambayo ni the same na hiyo ya Kinga dhidi ya cancer maana zote zinaenda kuandaa Kinga za mwili kupigana na cell zozote zenye dalili ya aina hiyo na kuziua.

Wanasayansi wale sidhan kama wana Guts za kumdandanya Putin 😁😁😁
Kwanini wasivumbue dawa ya kufubaza vimelea vya ujinga wa mitanzania?
 
Taratibu bro. Huyu ni Raisi ,
La sivyo tutakupa kesi ya Uhaini.

Tuko kupata knowledge.
Ww toa hoja yako pia. Hili Ni jukwaa huru kwa wote ila tulitumie kwa kupata maarifa zaid.

Baada ya kusema hayo.
Hebu tuambie kwann ilizuiwa 👇👇
Ushawah jiuliza kwann Chanjo dhidi ya Uviko ilotengenezwa na Warusi , ilipigwa Marufuku kutumika Ulaya na Marekan??.
 
Kwanini wasivumbue dawa ya kufubaza vimelea vya ujinga wa mitanzania?

Wanaotakiwa wavumbue dawa hii ni Watanzania wenyewe.
Na kuvumbua dawa inaanza na idea na kisa kufanyia research nk nk.

Sasa kama kuna mtu anakuja na idea zake badala ya sisi kuhoji inawezekana vipi au kwann haiwezekani . Ila tunaanza kutukana na kukashifu.

Mara nyingne watu wanaowaza tofaut. Tusiwakashifu. Bali tuwakosoe/kuwajenga kwa hoja zaid.

Si umeona ww umekuja na hoja ya kufubaza Ujinga tulionao.
Ni hoja inapaswa kuheshimiwa.
 
Mpuuzi kweli, yaan watu Tena Wazungu , wameingia darasani miaka na miaka , wameifanya majaribio yakutosha ,hatimaye wamekuja Rasimi .

Wewe umekaa Sebuleni na mapumbu yako hiyo juzi, Kisha umeiona taarifa hiyo, Leo unakuja na Uzi "Putin nyooo nyooooo".

Ulitaka wakuelezee inavyofanya kazi kiundani ili waibiwe Teknolojia Yao?.

Au Hujui kua hiyo ni Vita dhidi ya Big Pharms za Marekani na Ulaya??.

Ushawah jiuliza kwann Chanjo dhidi ya Uviko ilotengenezwa na Warusi , ilipigwa Marufuku kutumika Ulaya na Marekan??.
Hapana mkuu ulichofanya sio sahihi kumdhihaki na kumtusi mtoa mada!!

Tujitahidi kuwa wakomavu na wavumilivu kwenye kupokea mitazamo hasi inayokinzana na mihemko yetu

Huu ni mjadala huru ambapo kila mtu anastahili kutoa hoja, maoni na mtazamo kwa kadri ya uelewa wake wa jambo lililopo mezani......

Kupitia maoni , mitazamo na michango ya wadau mbali mbali wenye weledi nasi tunajifunza na kupanua uelewa mambo.......
 
Huyo uwezo wake ni mdogo
 
Mpuuzi kweli, yaan watu Tena Wazungu , wameingia darasani miaka na miaka , wameifanya majaribio yakutosha ,hatimaye wamekuja Rasimi .

Wewe umekaa Sebuleni na mapumbu yako hiyo juzi, Kisha umeiona taarifa hiyo, Leo unakuja na Uzi "Putin nyooo nyooooo".

Ulitaka wakuelezee inavyofanya kazi kiundani ili waibiwe Teknolojia Yao?.

Au Hujui kua hiyo ni Vita dhidi ya Big Pharms za Marekani na Ulaya??.

Ushawah jiuliza kwann Chanjo dhidi ya Uviko ilotengenezwa na Warusi , ilipigwa Marufuku kutumika Ulaya na Marekan??.
Unaakili ndogo sana na zilizoshikwa sio kosa lako
 
Upo kwenye nchi ambayo huruhusiwi kufanya research yenye tija
Unatoa wap nguvu ya kucrush research za russia

Tupunguze mihemko na kutaka kiki zisizo za lazma
 
Mm sio Mtaalamu ila Ni jambo Linawezekana kabisa.

Chanjo yao imetengenezwa kuchochea kinga ya mwili kushambulia na kuangamiza seli za saratani..

Kumbuka hata HIV/AIDS miaka ile 2000's watu walihisi kusingepatikana dawa.

Ila imepatikana ya kufubaza Virus na ipo chanjo ambayo ni the same na hiyo ya Kinga dhidi ya cancer maana zote zinaenda kuandaa Kinga za mwili kupigana na cell zozote zenye dalili ya aina hiyo na kuziua.

Wanasayansi wale sidhan kama wana Guts za kumdandanya Putin 😁😁😁
HIV ina-undergo mutation ndo maana ukimwi wa 1990's ni tofauti na wa leo na waleo utakuwa tofauti na wa 2040
 
Mpuuzi kweli, yaan watu Tena Wazungu , wameingia darasani miaka na miaka , wameifanya majaribio yakutosha ,hatimaye wamekuja Rasimi .

Wewe umekaa Sebuleni na mapumbu yako hiyo juzi, Kisha umeiona taarifa hiyo, Leo unakuja na Uzi "Putin nyooo nyooooo".

Ulitaka wakuelezee inavyofanya kazi kiundani ili waibiwe Teknolojia Yao?.

Au Hujui kua hiyo ni Vita dhidi ya Big Pharms za Marekani na Ulaya??.

Ushawah jiuliza kwann Chanjo dhidi ya Uviko ilotengenezwa na Warusi , ilipigwa Marufuku kutumika Ulaya na Marekan??.
atafute shughuli ya kufanya
 
Back
Top Bottom