Putin anachofanya ni PR na siasa ila ni ngumu sana kuizuia kansa na nitakupa na sababu

Putin anachofanya ni PR na siasa ila ni ngumu sana kuizuia kansa na nitakupa na sababu

Mpaka hapa, Kansa ni Ugonjwa au dalili ?
Cancer ni ugonjwa ila ziko aina nyingi za cancer kulingana na cell husika na kila cell inatoa protein ambayo huwezi ikuta kwenye cell nyingine

Protein inayozalishwa na cell za pancreas sio sawa na inayozalishwa na cells za neurons
 
Uko sahihi, sio kila kitu tupinge muda mwngine inaumiza sana
Jamii ya kiafrika tumegeuka kuwa washabiki wa kila jambo ambalo wanafanya nchi nyingine inasikitisha sana

Washabiki wa putin wamekuja kunishambulia ilihali putin anaonekana tu kwenye heading ila ukija kwenye content hakuna sehemu yeyote ametajwa putin U mtu yeyote
 
Cancer ni ugonjwa ila ziko aina nyingi za cancer kulingana na cell husika na kila cell inatoa protein ambayo huwezi ikuta kwenye cell nyingine

Protein inayozalishwa na cell za pancreas sio sawa na inayozalishwa na cells za neurons
Sawa mkuu, sasa kwa maana hiyo Putin na watalaam wake wamegundua inatibu cancer aina zote au aina fulani sababu nimeona kule RT Margarita Simonyan mhariri mkuu wa gazeti maarufu kule Urusi amepatwa na ugonjwa huo, huenda akapona ni bingwa wa propaganda kukandia USA na kusifia Urusi.
 
Kumeibuka habari kwamba Russia wamekuja na kinga ya cancer watu wanashangalia ukweli ni kwamba sidhani kama hiyo dawa itafanikiwa kirahisi na ntakupa na sababu

Fahamu kwanza hio kinga ya cancer inavyofanya kazi
  • Dawa ya Cancer ya urusi inatumia mRNA sawa na ile kinga ya covid-19 ya Pfizer na biotech nikimaanisha inapokuwa imetroduce kwenye mwili kupitia sindano inaenda kwenye cell kutrain DNA ambayo itatengeneza protein kwa ajili ya kujikinga na cancer na ni njia hii hii ambayo Pfizer na biotech covid-19 shot ilivyokuwa inafanya kazi
  • Unachomwa sindano baada ya kuingia kwenye mwili wako inaenda kwenye cell zako mpaka kwenye DNA inatrain DNA itengeneze protein ambazo ndo kinga ya cancer hii ndo maana ya mRNA vaccine
Malalamiko ya technologia ya mRNA ni ku-alter DNA hakuna scientific prove bali ni moja ya sababu iliyopunguza demand ya chanjo ya Corona ya Pfizer achilia mbali virus wa covid-19 walipokuwa wana-undergo mutation na kupunguza efficacy ya dawa

Kwanini ni ngumu sana kupata tiba/kinga ya Cancer hili ni moja ya swali watu wengi wamekuwa wakijiuliza
👇👇👇👇👇👇
Kwanza kabisa Cancer ni matokeo ya cell ku-escape Programming death tunafahamu kila cell ndani ya mwili wa binadamu ina-life span yake sasa kama isipokufa ndo changamoto ya Cancer inapoanza na hizi cancer zinakuwa zina-undergo constant mutation hii inafanya kuwa ngumu sana kutibika yaani zinabadilika badilika at molecular level ndo maana dawa nyingi sana za cancer zinaonyesha matumaini ila ukienda kwenye large population zinafeli

Normal cells za sehemu husika ambazo zimekua abnormal na zinapo-escape programming death zinakuwa cancer na zinazalisha abnormal protein ambazo huleta madhara kwenye mwili wa binadamu

Sifa za cell za Cancer
  1. Cancerous cell inayo-undergo constant mutation inaitwa aggressive cancer hii huwaga kutibika ni ngumu sana
  2. Cancer cell inayo-undergo mutation taratibu sana inaweza kutibika kama mtu akiwahi ila ni ngumu kama ukichelewa na mara nyingi hata ikitibika huwa inarudi na wagonjwa wa aina hii ya cancer wanaweza ishi hata miaka 15 mpaka 20 baada ya kupata, na ikirudi inarudi kama aggressive cancer
  3. Cancer cell ambayo hai-undergo mutation hii ni rahisi kutibika kwa Chemotherapy, Radiotherapy, na dawa nyingine na mara nyingi hairudi baada ya kutibiwa
Dawa nyingi za cancer zinakuwa effective kwa Cancerous cells ambazo hazi-undergo mutation ila kwa Cancerous cells ambazo zina-undergo mutation dawa zinafeli haziwezi kutibu

Hakuna namna utakuja na dawa ya Cancer bila kuadress changamoto ya protein ku-undergo constant mutation kama nilivyosema tokea mwanzo hii changamoto utaikuta pia kwenye magonjwa kama ya viral ambayo protein wa kwenye viral wana-undergo mutation

Nini kifanyike ili kuja na dawa ya Cancer
  1. Kupredict mutation cycles mpaka sahivi hakuna mtu aliyeweza kupredict protein mutation cycles ndo maana siku za nyuma nilisema nikiwa Rais wa Tanzania kutakuwa na mradi wa kuoredict protein mutation na hii itafungua njia ya kutengeneza dawa na kinga siyo tu magonjwa kama cancer bali na hata virus, na neurodegenerative diseases
Kwenye huu uzi nimegusia swala la protein mutation

Kwenye huu uzi nimeelezea njia za kutengeneza dawa
Hongera sana mheshimiwa Raisi kwa maono
 
Au Hujui kua hiyo ni Vita dhidi ya Big Pharms za Marekani na Ulaya??.
Mimi sio mtaalam kwenye kada hii ila hii point yako ni valid kwa 99% hasa ukizingatia vita ya kiutawala wa dunia iliyopo baini ya mataifa kwa sasa. Kuna sehemu inaelezwa kwamba haya magonjwa makubwa makubwa huwa ni projects za watu na yanafanyika kwa minajili ya kibiashara. Wakimaliza gonjwa moja wanatoa tiba halafu wanaleta lingine kwa ajili ya kutengeneza constant cash flow kwenye akaunti zao. Ila KGB wa zamani michezo yote hii anaijua na anajua wapi pa kumbania USA na shoga zake.

Hebu fikiria leo hii chanjo ya cancer, HIV na kisukari ikipatikana, big pharms za amerika na ulaya zitapoteza mabilioni mangapi. Siku hizi umeacha kula tunda kimasihara unaleta nondo hatari mkuu.
 
Proteim ni Kansa matokeo ya signal zilizotumwa kwenye kiwamda Cha uzalishaji.

Kansa Ina chanzo kimoja au Vyanzo tofauti ?

Cell ikiwa moja ni unity zikiwa nyingi community ( Shared central voice and immunity ).

Je kansa haiwezi kuponywa kwa kubadili mazingira na fikra ?
Uzi wangu haujajikita kwenye chanzo
 
Mimi sio mtaalam kwenye kada hii ila hii point yako ni valid kwa 99% hasa ukizingatia vita ya kiutawala wa dunia iliyopo baini ya mataifa kwa sasa. Kuna sehemu inaelezwa kwamba haya magonjwa makubwa makubwa huwa ni projects za watu na yanafanyika kwa minajili ya kibiashara. Wakimaliza gonjwa moja wanatoa tiba halafu wanaleta lingine kwa ajili ya kutengeneza constant cash flow kwenye akaunti zao. Ila KGB wa zamani michezo yote hii anaijua na anajua wapi pa kumbania USA na shoga zake.

Hebu fikiria leo hii chanjo ya cancer, HIV na kisukari ikipatikana, big pharms za amerika na ulaya zitapoteza mabilioni mangapi. Siku hizi umeacha kula tunda kimasihara unaleta nondo hatari mkuu.
Deluded
 
Sawa mkuu, sasa kwa maana hiyo Putin na watalaam wake wamegundua inatibu cancer aina zote au aina fulani sababu nimeona kule RT Margarita Simonyan mhariri mkuu wa gazeti maarufu kule Urusi amepatwa na ugonjwa huo, huenda akapona ni bingwa wa propaganda kukandia USA na kusifia Urusi.
Anachosema putin ni uongo hakuna kitu cha inatibu cancer zote ni uongo kwa sababu kila cancer inatofautiana na nyingine
 
Mtiririko wa comments za wadau humu jukwaani unakupa picha halisi ya sisi watu weusi tulivyo na roho mbaya, chuki na husuda kwenye ulimwengu huu!!

Unapata picha halisi kwanini jamii za watu weupe waliopo hapa nchini wanajitahidi kujiweka na jamii ya watu weusi!!!!......

Unapata kujua kuwa ni kwanini ndio jamii ya watu duni sana kwenye ulimwengu huu kuliko jamii zote!!

Unapata kujua kuwa ni kwanini ndio bara linaloongoza kwa vita za wenyewe kwa wenyewe na mauaji ya kutisha!!

Unapata kwanini tuna watawala mafisadi na majizi ya mali za umma!!

Unapata kujua kwanini wataalamu wetu na wabobezi wenye weledi wanakimbilia nchi za watu weupe......

Kwa kweli sio kama namkufuru Mungu lakini nina hakika kuna makosa ya kiufundi yalifanyika wakati Mungu anamuumba mtu mweusi
 
Yap umesomeka, sio uzi huu tu yaani JF nzima hata nje huko. Ukishakuwa na elimu na upeo wa kutosha wala hubishani. Wako watu makini wengi tu na wako vizuri, hao wapuuzi comments zao na lugha vinawapambanua, hawasumbui bofya ignore tu wasikujazie nzi siku nyingine.
 
Swali, kuna kitu chochote kiliichogundulika kusababisha constant mutation kwenye cell?
 
Jinsi mRNA vaccine ya Russia inavyofanya kazi
👇👇👇👇
Unachomwa sindano baada ya kuingia kwenye mwili wako inaenda mpaka kwenye white blood cell na kisha kwenda kwenye DNA inatrain DNA kupitia mRNA inatengeneza antibodies (protein) ambazo ndo kinga ya cancer kwa hiyo any Cancerous cells zinapoibuka zinauliwa na hizo antibodies zilizotengenezwa hii ndo maana ya mRNA vaccine ya Russia inavyofanya kazi dhidi ya cancer ndani ya mwili wa binadamu
 
Mtiririko wa comments za wadau humu jukwaani unakupa picha halisi ya sisi watu weusi tulivyo na roho mbaya, chuki na husuda kwenye ulimwengu huu!!

Unapata picha halisi kwanini jamii za watu weupe waliopo hapa nchini wanajitahidi kujiweka na jamii ya watu weusi!!!!......

Unapata kujua kuwa ni kwanini ndio jamii ya watu duni sana kwenye ulimwengu huu kuliko jamii zote!!

Unapata kujua kuwa ni kwanini ndio bara linaloongoza kwa vita za wenyewe kwa wenyewe na mauaji ya kutisha!!

Unapata kwanini tuna watawala mafisadi na majizi ya mali za umma!!

Unapata kujua kwanini wataalamu wetu na wabobezi wenye weledi wanakimbilia nchi za watu weupe......

Kwa kweli sio kama namkufuru Mungu lakini nina hakika kuna makosa ya kiufundi yalifanyika wakati Mungu anamuumba mtu mweusi
Mwafrika yeye mwenyewe ana-amini hana anachoweza hapa duniani sasa mtu kama huyu kesho amekua kiongozi msisitizo ni kujenga majumba, na kuipigania familia yake
 
Na PCB yako kutoka Tosamaganga unataka kubishana na magwiji wa Sayansi ya afya ya binadamu kutoka Russia!!!
Kabisa!?
Seriously!?
 
Dogo wee ni uumbwaa
Bila kumkashifu speaking of ngoma virusi vyake hua vinatendency ya kubadilika sana ndomana hata kwenye first line Health Workers tulipata shule kua inabidi tubadilishe toka TLE mpaka TLD kutokana na virusi kubadilika hivyo Efavirenz ilikua inasababisha resistance sana mwishowe ikabidi iwekwe Dolutegravir.
 
Sasa ndugu we unaelezea kutokana na knowledge unayoijua
Watu wamefanya innovation na scientic researches wana discover vitu vipya (novel) ambavyo huvijui
 
Back
Top Bottom