Putin anachofanya ni PR na siasa ila ni ngumu sana kuizuia kansa na nitakupa na sababu

Hii approach tukitumia kwenye baadhi ya mawazo yako unakuaga mkali sana mkuu,, all in all acha majibu ya trials yatoe hukumu
 
Kumeibuka habari kwamba Russia wamekuja na kinga ya cancer watu wanashangalia ukweli ni kwamba sidhani kama hiyo dawa itafanikiwa kirahisi na ntakupa na sababu

Fahamu kwanza hio kinga ya cancer inavyofanya kazi
  • Dawa ya Cancer ya urusi inatumia mRNA sawa na ile kinga ya covid-19 ya Pfizer na biotech nikimaanisha inapokuwa imetroduce kwenye mwili kupitia sindano inaenda kwenye cell kutrain DNA ambayo itatengeneza protein kwa ajili ya kujikinga na cancer na ni njia hii hii ambayo Pfizer na biotech covid-19 shot ilivyokuwa inafanya kazi
  • Unachomwa sindano baada ya kuingia kwenye mwili wako inaenda kwenye cell zako mpaka kwenye DNA inatrain DNA itengeneze protein ambazo ndo kinga ya cancer hii ndo maana ya mRNA vaccine
Malalamiko ya technologia ya mRNA ni ku-alter DNA hakuna scientific prove bali ni moja ya sababu iliyopunguza demand ya chanjo ya Corona ya Pfizer achilia mbali virus wa covid-19 walipokuwa wana-undergo mutation na kupunguza efficacy ya dawa

Kwanini ni ngumu sana kupata tiba/kinga ya Cancer hili ni moja ya swali watu wengi wamekuwa wakijiuliza
👇👇👇👇👇👇
Kwanza kabisa Cancer ni matokeo ya cell ku-escape Programming death tunafahamu kila cell ndani ya mwili wa binadamu ina-life span yake sasa kama isipokufa ndo changamoto ya Cancer inapoanza na hizi cancer zinakuwa zina-undergo constant mutation hii inafanya kuwa ngumu sana kutibika yaani zinabadilika badilika at molecular level ndo maana dawa nyingi sana za cancer zinaonyesha matumaini ila ukienda kwenye large population zinafeli

Sifa za cell za Cancer
  1. Cancerous cell inayo-undergo constant mutation inaitwa aggressive cancer hii huwaga kutibika ni ngumu sana
  2. Cancer cell inayo-undergo mutation taratibu sana inaweza kutibika kama mtu akiwahi ila ni ngumu kama ukichelewa na mara nyingi hata ikitibika huwa inarudi na wagonjwa wa hii wanaweza ishi hata miaka 15 mpaka 20 baada ya kupata, na ikirudi inarudi kama aggressive cancer
  3. Cancer cell ambayo ina-ndergo mutation only once hii ni rahisi kutibika na mara nyingi hairudi hii ni rahisi kuitibu hata kwa Chemotherapy au Radiotherapy
Normal cells za sehemu husika ambazo zimekua abnormal na zinapo-escape programming death zinakuwa cancer na zinazalisha abnormal protein ambazo huleta madhara kwenye mwili wa binadamu

Hakuna namna utakuja na dawa ya Cancer bila kuadress changamoto ya protein ku-undergo constant mutation kama nilivyosema tokea mwanzo hii changamoto utaikuta pia kwenye magonjwa kama ya viral ambayo protein wa kwenye viral wana-undergo mutation

Nini kifanyike ili kuja na dawa ya Cancer
  1. Kupredict mutation cycles mpaka sahivi hakuna mtu aliyeweza kupredict protein mutation cycles ndo maana siku za nyuma nilisema nikiwa Rais wa Tanzania kutakuwa na mradi wa kuoredict protein mutation na hii itafungua njia ya kutengeneza dawa na kinga siyo tu magonjwa kama cancer bali na hata virus, na neurodegenerative diseases
Kwenye huu uzi nimegusia swala la protein mutation

Kwenye huu uzi nimeelezea njia za kutengeneza dawa
Weka na CV yak0 tuangalie credibility
 
Acha ujuaji, nosense 🚮
 
Hii approach tukitumia kwenye baadhi ya mawazo yako unakuaga mkali sana mkuu,, all in all acha majibu ya trials yatoe hukumu
Approach
Hujaona kuna watu kibao wamenidhihaki na sijawajibu wanavyotaka
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Dawa nyingi za cancer zinakuwa effective kwa Cancerous cells ambazo hazi-undergo mutation ila kwa Cancerous cells ambazo zina-undergo mutation dawa zinafeli haziwezi kutibu
 
Pia tukumbuke kuwa urrusi waligundua dawa ya coviid lakini putin alidungwa kinga ya covid kisisiri kiujanja na mpaka kesho hawajasema alipata kinga, hawakuionyesha.
 
Abnormal ( Unusual Code ) ni secondary derivative ya Signal ( Msg ).
Signal or Protein kipi ni tatizo ?
Kuna protein za aina zifuatazo na kazi zake
  1. Messenger ambazo ndo signal
  2. Engulf protein
  3. Binding protein
  4. Brake protein
  5. Transport protein
  6. Marking protein
  7. Blocking protein

Na hizi zinatofautiana na moja wapo kati ya hizo inaweza ika-undergo abnormal na kuwa cancer na sio kila protein inayo-undergo abnormal inakuwa cancer hapana nyingine zinakuwa magonjwa mengine

Ugonjwa wa cancer ya matiti, sio sawa na prostate au non Hodgkin, au mapafu

Hakuna jibu la moja kwa moja inapokuja ugonjwa wa kansa kama kungekuwa na jibu la moja kwa moja basi dawa yake ingepatika kirahisi bado kuna mambo mengi hatujui kuhusu cancer ndo maana hauna dawa ya moja kwa moja kama baadhi ya magonjwa
 
Pia tukumbuke kuwa urrusi waligundua dawa ya coviid lakini putin alidungwa kinga ya covid kisisiri kiujanja na mpaka kesho hawajasema alipata kinga, hawakuionyesha.
Ukweli ni kwamba pharmaceutical imevamiwa na siasa yaani ile professionalism ni kawaida sana kwa sahivi kutokufuatwa

Hata ile kinga ya covid-19 ilikuwa ni ya kisiasa kwa asilimia kubwa
 
Wanaotakiwa wavumbue dawa hii ni Watanzania wenyewe.
Na kuvumbua dawa inaanza na idea na kisa kufanyia research nk nk.

Sasa kama kuna mtu anakuja na idea zake badala ya sisi kuhoji inawezekana vipi au kwann haiwezekani . Ila tunaanza kutukana na kukashifu.

Mara nyingne watu wanaowaza tofaut. Tusiwakashifu. Bali tuwakosoe/kuwajenga kwa hoja zaid.

Si umeona ww umekuja na hoja ya kufubaza Ujinga tulionao.
Ni hoja inapaswa kuheshimiwa.
Uko sahihi, sio kila kitu tupinge muda mwngine inaumiza sana
 
Back
Top Bottom