Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #61
Kwamba unataka kunipangia jinsi ya kuishi unachekeshaTuliza kipara hicho sasa!!!
We endelea kubaki kama mshabiki ndo unachoweza
Kwamba unataka kunipangia jinsi ya kuishi unachekeshaTuliza kipara hicho sasa!!!
mRNA sio kitu kipya ilivumbuliwa 2005 na mmarekani na waafrika hatukatazwi kuwa wavumbuziSasa ndugu we unaelezea kutokana na knowledge unayoijua
Watu wamefanya innovation na scientic researches wana discover vitu vipya (novel) ambavyo huvijui
Hebu tuachane na PCB yake ya TOSAMAGANGA....lakini hoja yake ina mantiki ya kisayansi na inatakiwa kupingwa kwa hoja zenye mantiki ya kisayansi....Na PCB yako kutoka Tosamaganga unataka kubishana na magwiji wa Sayansi ya afya ya binadamu kutoka Russia!!!
Kabisa!?
Seriously!?
MkuuMwafrika yeye mwenyewe ana-amini hana anachoweza hapa duniani sasa mtu kama huyu kesho amekua kiongozi msisitizo ni kujenga majumba, na kuipigania familia yake
Ulichoongea ni kweli ila ni wajibu wetu kuwabadilisha ni ngumu ila inawezekanaMkuu
Nakushauri mada fikirishi kama hizi tafuta majukwaa ya Kenya au Nigeria huko utakutana na watu wenye weledi na akili zinazofanya kazi naamini mjadala wako ungekuwa na hoja nzito.....
Hichi ulichokiweka kiko nje ya upeo wa waTanzania walio wengi wapo kwenye kiwango cha mwisho cha ujinga
Wao huku waletee habari za kuongeza nguvu za kiume..... habari za umbea na udaku.....video za watu maarufu wakifanya mapenzi wenyewe wanaitaga connection....lakini sio mambo yanayotaka matumizi ya akili......
Watanzani walio wengi walishaachana na matumizi ya akili miaka 60 iliyopita....