Putin anaonya nchi za Magharibi: Urusi itaibuka kama taifa lenye nguvu zaidi


😂😂😂😂 motivation SPAEAKER 😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1756][emoji1756]
 
Tuna wapuuzi sana humu hasa vitoto vya 2000's
 
Safi Sana! Unakataa kununua mahindi kwangu kunikomoa alafu watoto wako wanalala njaa Kwa kukosa ugali alafu unawaambia eti mimi mbaya wanilaumu nakunilaani!
Kweli wanaongoza vipofu!
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
Mjinga hufahamu hata kwamba US ndo producer mkubwa wa mafuta duniani, almost twice ya russia

Hizi story za kijinga nani anawaambiaga? Au ndo mnapigaga mkiwa mmekaa na kobazi zenu
Nani jirani wakumuuzia?
Gharama ya kusafirisha hadi ulaya inafanana na Russia? Tumia kaubongo kadogooo
 
Hizi huwa ni porojo za Nchi za kijamaa kujifariji.

Kumbuka Mr.Jiwe Mwendazake na stori za kufariji watu na maneno ya uzalendo wakati their economy is sinking 😁😁
 
Kwenye vikwazo huwa hakuna mbabe tatizo watz tunapenda ushabiki tu ila kwasasa Russia vikwazo vimemkalia kooni sema ndio vile jeuri tu kama North Korea
 
Unazani wengine hizo Nuclear hawana tatizo mentality za kijamaa viongozi wanapenda kuonekana wababe ilihali wananchi wanatumia, Soma historia ya Russia Tangu walivyoangusha utawala wa Kifalme akaingia Lenin Hadi Leo uone namna wanavyopanda na kushuka kutoka na sera zao mbovu
 
Kwenye vikwazo huwa hakuna mbabe tatizo watz tunapenda ushabiki tu ila kwasasa Russia vikwazo vimemkalia kooni sema ndio vile jeuri tu kama North Korea
Ubabe na huku na wewe unaumia? Nani wa kumreplace Russia? Mzee hii inakula kote. Qatar mwenyewe ashakiri kuwa hawawezi kumreplace Russia kwenye production.
 
Ubabe na huku na wewe unaumia? Nani wa kumreplace Russia? Mzee hii inakula kote. Qatar mwenyewe ashakiri kuwa hawawezi kumreplace Russia kwenye production.View attachment 2148846
Wanaweza sema kule USA matajiri wanagoma kuongeza uwezo wa kuzalisha, hata Saudia kagoma kisa mtoto wa mfalme amewekewa vikwazo na USA kisa mauaji ya Kashogi
 
The last kick of a dying donkey.

Russia imekua kama kisiwa, hakuna ndege wala meli inayoweza kwenda ama kutoka Russia.

Hii ni failed state after 2 months ahead
Eti a failed state [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Eeeenhe una miaka mingapi kwanza [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] tusije anza elekeza watoto wa nursery yaliyo nje ya uwezo wao....
 
Nani jirani wakumuuzia?
Gharama ya kusafirisha hadi ulaya inafanana na Russia? Tumia kaubongo kadogooo
Bro mtu ashakwambia Almost twice ya Mrussia unahangaika kumjibu wa nini unapoteza mda... Me nimeisoma nikakausha tu asinimalizie charge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Eti azalishe mara ya mbili ya Mrusi af akanunue tena kwa mtu anayezalisha kidogo kuliko yeye???

Kama anazalisha mara mbili kuliko mrusi kashindwa kujihudumia bei inazidi kufumuka ndo ataweza kuwazalishia jirani zake?

Europe nzima ina Population ya zaidi ya Mil.700 na ushee yan zaidi ya Mara mbili ya Taifa la USA lenye raia Mil. 320 ka skosei ila bado anawapelekea zaidi ya 40% na bado wakitaka kuongeza anawaambia ruksa...

Asilimia 40 ya populatiom ya watu zaidi ya million 700 ni takriban zaidi ya Mil. 280... hiyo idadi inakaribia idadi ya watu walioko marekani [emoji23][emoji23][emoji23]

Ko sawa na kusema ile Oil anayowauzia bara la ulaya ndo anayoitumia Mmarekan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Af mmachame mmoja hivi ankwambia USA anazalisha mara 2 zaidi kuliko mrusi....

Af na we unajichosha kutype kumjibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu ka huyo unamwangalia tu aendelee kujifariji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au tumuulize swali kama anazalisha mara 2 huko Venezuela kaenda kutalii sio?

Ila se wabongo ni mazuzu mno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ubabe na huku na wewe unaumia? Nani wa kumreplace Russia? Mzee hii inakula kote. Qatar mwenyewe ashakiri kuwa hawawezi kumreplace Russia kwenye production.View attachment 2148846
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajichosha tu mzee... Yani kuna kindu hum nimeliona ata umwelezee vipi hayuko tayar kukusikiliza mpk ufate mawazo yake hyo taarifa atakwambia ni Propaganda au umeedit... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2148988

Hilo Gap unalizbaje [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Af akati Raia wa USA washaanza kuisoma number uko



Af uku kuna mswahili Mmoja anakwambia Urusi anateseka...

Yah vikwazo vitamsumbua ila watakaoteseka zaidi ni wao....

View attachment 2148989

The Country with over 30% of world natural resources kisha iko Occupied na just 1.5% of world Population utasema unamkomoa?

Unamwondolea Netflix, Uber, KFC kisha unazuia Ngano, Mafuta, Madini n.k af unakaa pemben unajinadi unamkomoa...

Italy washanza kufunga viwanda vyao kwa bei kubwa ya Umeme... Kwani tumesikia kuna kiwanda urusi kimeshindwa uzalishaji tangu vikwazo vianze [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…