matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kibera[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha mzee wa Moscow, vipi bado supermarket za Russia hazina bidhaa? Hivi Moscow upo kitongoji gani?
Watumishi wa NGOs za kuhamasisha ush... Wanaofadhiliwa na wamagharibi mna tabu kweli. Msipotetea upuuzi na wapuuzi mnanyimwa ufadhiliJerumani au Germany niliandika hivyo ili nikusaidie wale wenye matatizo ya uchungu ambao unapelekea kujiua au depression. Ebu katibiwe kwanza mtindio wa ubongo
Halafu ukipona kajifunze historia sababu ilo SoMo sio lazima ukae darasani kwahiyo usiogope na elimu yako ya kuunga unga ya darasa la 7B
ibaki tu wazi Russia katandikwa Shinda diplomasia kwa influence lakini sio intimidating jirani zako kisa una NukesWatumishi wa NGOs za kuhamasisha ush... Wanaofadhiliwa na wamagharibi mna tabu kweli. Msipotetea upuuzi na wapuuzi mnanyimwa ufadhili
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
ibaki tu wazi Russia katandikwa Shinda diplomasia kwa influence lakini sio intimidating jirani zako kisa una Nukes
Amepigwa imeisha hiyo
Nonsense!..anyway upeo wako ndo umeishia hapoRussia anatakiwa kukutana na wendawazimu kama Finland, hao ndiyo hata yeye Russia anawagwaya.
Mwaka 1939 aliivamia Finland ili kuitanua himaya yake ya Soviet, pamoja na uhodari wa Jeshi lake na vifaa vyake vya kivita Russia aliishia kupata hasara kubwa sana kwenye ile winter war, zaidi akaishia kufukuzwa uanachama kutoka The League of Nations kabla haijabadilika na kuwa UN.
Baada ya vita kuu ya pili ya dunia akaendelea kuzitisha na kuzimavamia nchi za Ulaya ili kuziunganisha ma Soviet na kwa kuwa alikua ni giant, hivyo hakukua na wa kumzuia. Ndipo mwaka 1949 Ulipoanzishwa Umoja wa kujihami wa nchi za Ulaya (NATO), NATO ilianzishwa ili kujihami na Russia and nobody else. Finland hakutaka kujiunga, maana alishaamua hamuogopi na akimleta zake watamalizana.
Hivi majuzi Russia alipowaonya majirani zake kuwa yeyote atakayetaka kujiunga na NATO lazima amshikishe adabu na kweli Ukraine akaanza kusumbuliwa waswahili wanasema akakiona cha moto, ndipo Finland akatangaza kujiunga na NATO, yaani ni kama vile kumwambia “wapangie hao hao mambwiga, mimi huna la kunifanya" na akaenda mbali zaida kwa kuagiza Israeli SPYDER air defense system, mfumo ambao Ukraine aliuomba vita ilipoanza ili kulinda anga lake, lakini Russia alipoona hivyo akaanza kulalamika na kuitisha Israel kuwa Russia haitahusika na Ulinzi wa assets za Israel mchini Syria, kitu ambacho haki make sense, kwani Israel hama anachomtegemea Russia huko Syria maana hata ule mfumo wa Russia wa S-300 hundred si lolote kwa Israel kutimiza mission zake.
Pamoja na hayo Israel aliamua ku back off na kutompatia Ukraine mfumo ule sababu aliona si busara kuupeleka mfumo ule wakati huu vita na yeye ana maslahi na ukaribu na nchi zote mbili, na ndiyo iliyopelekea hata Moscow ikubali Israel kuwa mediator kwenye vita hii.
Lakini Finland ameshaagiza mzigo wake na anaenda kufungiwa,
Leo waziri wake wa Ulinzi amemkumbusha Urusi kwamba ntakulisha biscuit kwenye Vita ya kwenye baridi kama hapo awali cheza uone” hii imakuja baada ya Urusi kusema kwamba Endapo Finland itajiunga atapata Tabu sana”
Wataalamu wa Masuala ya Saikolojia wamemzunguka Putin kumshauri kila mara baada ya kuona kila mission yake haitimii
Mfano Kumrejesha Kibaraka wake UKRAINE na kuiangusha Dola ya Zelensky kaishia kupata hasara yeye
Britanicca
Taifa kubwa kama Urusi kutangaza masaa 72 kuichukua Ukraine ikashindwa na kashindwa iondoa serikali ya Kyiv kama alivyojitapaAmepigwa na bado yupo Ukraine na sio Urusi?.hii kweli kali
Mpaka leo! Miaka 75+Hakuna anayetoka salama kwa Warusi.Finland nae ardhi yake ilimegwa na warusi baada ya kukubali yaishe
Hivi masaa 72 alitangaza Nani?Taifa kubwa kama Urusi kutangaza masaa 72 kuichukua Ukraine ikashindwa na kashindwa iondoa serikali ya Kyiv kama alivyojitapa
Imepoteza Mageneral 7 katika kipindi Cha mwezi mmoja tu
Sasa hivi kakubali mazungumzo ya amani wakati mwanzoni alikua anakwepa
Kifupi KAPIGWA. mbona Marekani alikaa Vietnam na Bado alikuwa kapigwa mpaka mwishoni wakaona vita inaleta hasara akabeba virago akasepa
Ndio kimempata Urusi
taifa kubwa kama US halikuweza kufanya hivyo kwa LIBYA nchi dhaifuTaifa kubwa kama Urusi kutangaza masaa 72 kuichukua Ukraine ikashindwa na kashindwa iondoa serikali ya Kyiv kama alivyojitapa
Imepoteza Mageneral 7 katika kipindi Cha mwezi mmoja tu
Sasa hivi kakubali mazungumzo ya amani wakati mwanzoni alikua anakwepa
Kifupi KAPIGWA. mbona Marekani alikaa Vietnam na Bado alikuwa kapigwa mpaka mwishoni wakaona vita inaleta hasara akabeba virago akasepa
Ndio kimempata Urusi
Na Vietnam ilimtwanga Mmarekani, Afghanistan imempiga Mmarekani etcHata Ethiopia alimtandika Italy.....hakuna jipya
[emoji16][emoji16] yaani mtu aliyepigwa na bado ameimega ardhi ya Ukraine kwa 40% yaani hio ardhi ilishakua Ni Mali ya warussi forever.ibaki tu wazi Russia katandikwa Shinda diplomasia kwa influence lakini sio intimidating jirani zako kisa una Nukes
Amepigwa imeisha hiyo
Tuwekee hapa source inayoonyesha Putin alisema watachuikua Ukraine kwa masaa 3.Taifa kubwa kama Urusi kutangaza masaa 72 kuichukua Ukraine ikashindwa na kashindwa iondoa serikali ya Kyiv kama alivyojitapa
Imepoteza Mageneral 7 katika kipindi Cha mwezi mmoja tu
Sasa hivi kakubali mazungumzo ya amani wakati mwanzoni alikua anakwepa
Kifupi KAPIGWA. mbona Marekani alikaa Vietnam na Bado alikuwa kapigwa mpaka mwishoni wakaona vita inaleta hasara akabeba virago akasepa
Ndio kimempata Urusi
mbona Urus hakuvamiwa NATO aliyosaini nayo mikataba ya kutojitanua ila kaenda kuvamia UkraineSasa Finland kama ni wababe kama unavyotaka kutuaminisha kuna haja gani ya kujiunga NATO si asimame yeye kama yeye au.
kipind hicho makomando wa ujerumani wanaokota maembe boliboNasikia Putin akiamua kutoa kikosi chake cha makomando wanaweza kuiteka mpaka Ujerumani[emoji205]