mtetea mauaji ya raia wema eti kisa lipo taifa limewai kuua pia , bichwa maji kbsWatumishi wa NGOs za kuhamasisha ush... Wanaofadhiliwa na wamagharibi mna tabu kweli. Msipotetea upuuzi na wapuuzi mnanyimwa ufadhili
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
mshaanza kukataa tena wazee wa bado km 11 kuingia kyivHivi masaa 72 alitangaza Nani?
tokA lini general akaingia vitani?
ww ni kipengelee , kaandika masaa 72 ila ww umeandika masaa 3, ttzo lilianzia hapoTuwekee hapa source inayoonyesha Putin alisema watachuikua Ukraine kwa masaa 3.
Ukishindwa kuweka source then toka hapo nje ya nyumba kisha angalia juu na useme kwa sauti Mara 3 huku ukijipiga piga kifua ukisema 'hakika Mimi nilipewa fuvu kwa ajili ya kushikilia meno tu'.
Haya yote kayataka Russia mwenyewe kachokoza ugomvi na mtoto mdogo(Ukraine)matokeo yake mtoto kamtoa nundu🤣....Kila mtu ameona udhaifu wa mkubwa kwenye ugomvi na haya ndo matokeo yake Kila mtu anaomba sparing🥊🥊na yeye atest bahati yake🤣🤣Finland anapigwa mimba na Urusi asubuhi na inaingia yote, Finland si nchi hata kidogo ya kuwa na ubavu kwa Russia.
Thread sijui ya 10 hii.Umelipwa shilingi ngapi kueneza propaganda?
Russia anatakiwa kukutana na wendawazimu kama Finland, hao ndiyo hata yeye Russia anawagwaya.
Mwaka 1939 aliivamia Finland ili kuitanua himaya yake ya Soviet, pamoja na uhodari wa Jeshi lake na vifaa vyake vya kivita Russia aliishia kupata hasara kubwa sana kwenye ile winter war, zaidi akaishia kufukuzwa uanachama kutoka The League of Nations kabla haijabadilika na kuwa UN.
Baada ya vita kuu ya pili ya dunia akaendelea kuzitisha na kuzimavamia nchi za Ulaya ili kuziunganisha ma Soviet na kwa kuwa alikua ni giant, hivyo hakukua na wa kumzuia. Ndipo mwaka 1949 Ulipoanzishwa Umoja wa kujihami wa nchi za Ulaya (NATO), NATO ilianzishwa ili kujihami na Russia and nobody else. Finland hakutaka kujiunga, maana alishaamua hamuogopi na akimleta zake watamalizana.
Hivi majuzi Russia alipowaonya majirani zake kuwa yeyote atakayetaka kujiunga na NATO lazima amshikishe adabu na kweli Ukraine akaanza kusumbuliwa waswahili wanasema akakiona cha moto, ndipo Finland akatangaza kujiunga na NATO, yaani ni kama vile kumwambia “wapangie hao hao mambwiga, mimi huna la kunifanya" na akaenda mbali zaida kwa kuagiza Israeli SPYDER air defense system, mfumo ambao Ukraine aliuomba vita ilipoanza ili kulinda anga lake, lakini Russia alipoona hivyo akaanza kulalamika na kuitisha Israel kuwa Russia haitahusika na Ulinzi wa assets za Israel mchini Syria, kitu ambacho haki make sense, kwani Israel hama anachomtegemea Russia huko Syria maana hata ule mfumo wa Russia wa S-300 hundred si lolote kwa Israel kutimiza mission zake.
Pamoja na hayo Israel aliamua ku back off na kutompatia Ukraine mfumo ule sababu aliona si busara kuupeleka mfumo ule wakati huu vita na yeye ana maslahi na ukaribu na nchi zote mbili, na ndiyo iliyopelekea hata Moscow ikubali Israel kuwa mediator kwenye vita hii.
Lakini Finland ameshaagiza mzigo wake na anaenda kufungiwa,
Leo waziri wake wa Ulinzi amemkumbusha Urusi kwamba ntakulisha biscuit kwenye Vita ya kwenye baridi kama hapo awali cheza uone” hii imakuja baada ya Urusi kusema kwamba Endapo Finland itajiunga atapata Tabu sana”
Wataalamu wa Masuala ya Saikolojia wamemzunguka Putin kumshauri kila mara baada ya kuona kila mission yake haitimii
Mfano Kumrejesha Kibaraka wake UKRAINE na kuiangusha Dola ya Zelensky kaishia kupata hasara yeye
Britanicca
Hiyo jeuri hana Mkuu,atabaki kubwata bwata tu tayari walishamuona ni Chui wa makaratasi baada ya kutolewa jasbo na bwana mdogo Ukraine[emoji3]Putin sasa anakwenda kupandwa kichwani na hao madogo angefanya fanya akaripua nchi moja ya Ulaya kwa nyuklia
Nikategemea uonyeshe utofauti wa 'uelewa' wako vs unayemkosoa.Kumbe unaishia kuleta maneno matupu.Kwa jinsi tu ulivyoandika hapo..jerumani..hajiimalishe! Yatosha kutambua kwamba huna uelewa wowote katika chochote! Urudi tu porini ukaokote matunda kama wenzio kule hifadhi ya gombe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nasikia Putin akiamua kutoa kikosi chake cha makomando wanaweza kuiteka mpaka Ujerumani[emoji205]
Na huu ndiyo ukweli,Pro Russia hawaamini kilichotokea Ukraineibaki tu wazi Russia katandikwa Shinda diplomasia kwa influence lakini sio intimidating jirani zako kisa una Nukes
Amepigwa imeisha hiyo
Bado unabisha hawakufa? Hata baada ya RT kuonyesha mazishi ya mmoja wao? Ama kweli Pro Russia mmevurugwaHivi masaa 72 alitangaza Nani?
tokA lini general akaingia vitani?
Huo ndiyo ushindi mnaojivunia,vifusi.Lakini Putin lengo lake kuu limefail vibaya sanataifa kubwa kama US halikuweza kufanya hivyo kwa LIBYA nchi dhaifu
UKRAINE imebakia vifusi endeleeni kushinda kwenye MEDIA
Maneno matupu,mtu mzima kalambishwa mchanga na Zelensky,mengine ruksa kujifariji hasa hapa JF[emoji16][emoji16] yaani mtu aliyepigwa na bado ameimega ardhi ya Ukraine kwa 40% yaani hio ardhi ilishakua Ni Mali ya warussi forever.
Hakika Ukraine inashinda Vita.
Ukitaka kwenda haraka nenda pekeyako lakini ukitaka kwenda mbali nenda na mwenzioSasa Finland kama ni wababe kama unavyotaka kutuaminisha kuna haja gani ya kujiunga NATO si asimame yeye kama yeye au.
NATO wanajiongeza kutoukuza mgogoroMambo mengine utadhani anaandiks mtoto wa darasa la 4,hivi kwa akili ya kawaida kabisa ukiacha ushabiki.
Nchi za NATO zote zinaiogopa Urusi,halafu anakuja MTU anakwambia Nchi Fulani tu Finland ndio Urusi anaiogopa.Yani Urusi asiohope USA aje aigope Finland hizi ni akili au matope???
Russia anatakiwa kukutana na wendawazimu kama Finland, hao ndiyo hata yeye Russia anawagwaya.
Mwaka 1939 aliivamia Finland ili kuitanua himaya yake ya Soviet, pamoja na uhodari wa Jeshi lake na vifaa vyake vya kivita Russia aliishia kupata hasara kubwa sana kwenye ile winter war, zaidi akaishia kufukuzwa uanachama kutoka The League of Nations kabla haijabadilika na kuwa UN.
Baada ya vita kuu ya pili ya dunia akaendelea kuzitisha na kuzimavamia nchi za Ulaya ili kuziunganisha ma Soviet na kwa kuwa alikua ni giant, hivyo hakukua na wa kumzuia. Ndipo mwaka 1949 Ulipoanzishwa Umoja wa kujihami wa nchi za Ulaya (NATO), NATO ilianzishwa ili kujihami na Russia and nobody else. Finland hakutaka kujiunga, maana alishaamua hamuogopi na akimleta zake watamalizana.
Hivi majuzi Russia alipowaonya majirani zake kuwa yeyote atakayetaka kujiunga na NATO lazima amshikishe adabu na kweli Ukraine akaanza kusumbuliwa waswahili wanasema akakiona cha moto, ndipo Finland akatangaza kujiunga na NATO, yaani ni kama vile kumwambia “wapangie hao hao mambwiga, mimi huna la kunifanya" na akaenda mbali zaida kwa kuagiza Israeli SPYDER air defense system, mfumo ambao Ukraine aliuomba vita ilipoanza ili kulinda anga lake, lakini Russia alipoona hivyo akaanza kulalamika na kuitisha Israel kuwa Russia haitahusika na Ulinzi wa assets za Israel mchini Syria, kitu ambacho haki make sense, kwani Israel hama anachomtegemea Russia huko Syria maana hata ule mfumo wa Russia wa S-300 hundred si lolote kwa Israel kutimiza mission zake.
Pamoja na hayo Israel aliamua ku back off na kutompatia Ukraine mfumo ule sababu aliona si busara kuupeleka mfumo ule wakati huu vita na yeye ana maslahi na ukaribu na nchi zote mbili, na ndiyo iliyopelekea hata Moscow ikubali Israel kuwa mediator kwenye vita hii.
Lakini Finland ameshaagiza mzigo wake na anaenda kufungiwa,
Leo waziri wake wa Ulinzi amemkumbusha Urusi kwamba ntakulisha biscuit kwenye Vita ya kwenye baridi kama hapo awali cheza uone” hii imakuja baada ya Urusi kusema kwamba Endapo Finland itajiunga atapata Tabu sana”
Wataalamu wa Masuala ya Saikolojia wamemzunguka Putin kumshauri kila mara baada ya kuona kila mission yake haitimii
Mfano Kumrejesha Kibaraka wake UKRAINE na kuiangusha Dola ya Zelensky kaishia kupata hasara yeye
Britanicca
hata US hakupata ushindi pale SYRIA maana ASSAD bado yupo mpaka kesho yaaniHuo ndiyo ushindi mnaojivunia,vifusi.Lakini Putin lengo lake kuu limefail vibaya sana