Putin anatakiwa kukutana na nchi kama Finland ambayo sasa naona ameanza kuichokonoa, atashangaa NATO ipo Moscow

Kuhusu israil kitu labda hujui kwann israil inashindwa kuingia mojakwamoja kuiunga ukrain ni kuwa " "mwaka 1945- hitra aliwaua sana waisrail hadi pale hitra alipojaribu kuingia Russia ndipo alipokipata cha moto, hivo Russia ndo alowakomboa wayahudi ndipo ulaya na america nao wakapata nguvu ya kusaidia kuwakomboa
 
findland sio target yeyote ya russia. wala usiingize kwenye mjadala huu.
 
Sasa Finland kama ni wababe kama unavyotaka kutuaminisha kuna haja gani ya kujiunga NATO si asimame yeye kama yeye au.
Dogo ndomana tulivozaliwa wanaume mungu na yesu wakashituka kwamba nilazima apatikane m-badala shetani wakike (Eva)........hii yote kwasababu GLOBALIZATioN mnasoma Kama current issues nadhani iingizwe kwenye mitaala ogopa Sana kitu kinaitwa kukua kwa habari na teknolojia nilazima utamuhtaji mwezako mwenye maana sio mwezako Kama urusi
 
Nashukuru kwa maelezo na ufafanuzi wako mdogo..

Naomba kuuliza kwa nini umeniita Dogo.?
 
Putin nimemdharau sana, shetani wa kirussia
 
Usipende kutumia past events kujipatia reliability of what will happen in present time ..nadhan umenielewa it's like football leo unashinda kesho unafungwa in the likes of Real Madrid na Bayern na Manchester City
Onhoo
 
wapi urusi walitangaza kuichukua ukrein ndani ya saa 72..?
 
Eneo la Karelia na Murmansk lilikiwa mali ya Usovieti kama makubaliano ya Winter war baada ya kuona ufini maji yamemfikia shingoni.

9% ardhi ya ufini ni utawala wa Usovieti, suala la Finland kushinda Vita. Hapana
 
Unafahamu huyo Finland aliachia eneo lake kiasi Gani (asilimia ngapi za eneo lake ) Ili kumalizia vita na Urusi !!?? Halafu mnadanganywa Urusi alipigwa !!?? Aliyepigwa(Urusi) ampe masharti (unayeshinda-Finland) ya kuachia 9% ya eneo lako ardhi na mto ndio akubali kwamba kapigwa na wewe unayeshinda utoe hilo eneo Ili ueonekane umeshindwa!!?? Unajishushia heshima wewe propaganda zingine za kiboya.
 
Usipende kutumia past events kujipatia reliability of what will happen in present time ..nadhan umenielewa it's like football leo unashinda kesho unafungwa in the likes of Real Madrid na Bayern na Manchester City
Hata hiyo past ya vita vya Urusi na Finland haijui..... Na hajui hata vita viliishaje ...
 
Hayo Masaa 72 aliwatangazia akiwa anawapiga mkuyenge .... Maana naona Kila MNATO amekaza shingo masaa72 ..alisema mkiwa faragha mnaliwa tuzi eti....
 
Inaonekana wewe upo brain washed sana na Western media. Na huijui vizuri urusi. Unadhania urusi imezuka tu juzi. Pole sana
 
Acha maneno mengi. Si wajiunge tuone
 
Wakati unakaza fuvu kuleta ndoto za kufikirika Russia anakusanya mapato makubwa ya mafuta na gas toka Nchi za Ulaya hasa Germany. Ungeelekeza nguvu zako kutathimini namna ya kuikomboa familia kutoka kwenye dimbwi la umaskini na kuongeza kipato chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…