Putin asaini amri inayowapa urahisi wananchi wote wa Ukraine kuomba uraia wa Urusi

Rais wa Urusi, Vladimir Putin ametia saini amri ya kupanua mchakato wa kupata uraia wa Urusi kwa raia wote wa Ukraine.

Amri hiyo inaamuru kuwa ‘raia wote wa Ukraine’ wapewe haki ya kuomba kuandikishwa kuwa uraia wa Shirikisho la Urusi kwa njia rahisi zaidi.

Awali utaratibu kama huo ulikuwa ukitumika kwa wakazi wa maeneo Donetsk na Luhansk yaliyopo Mashariki mwa Ukraine ambao ni washirika wa karibu na Urusi.

===

Putin signs decree giving all Ukrainians path to Russian citizenship
Russian President Vladimir Putin has signed a decree extending a simplified Russian naturalisation process to all citizens of Ukraine, a document published on the Kremlin’s website shows.

The decree orders that “all citizens of Ukraine” be given “the right to apply for admission to the citizenship of the Russian Federation in a simplified manner”.

Previously, a simplified procedure for acquiring Russian citizenship applied only to residents of the self-proclaimed breakaway territories of the Donetsk People’s Republic (DPR) and Luhansk People’s Republic (LPR) in eastern Ukraine, Russia’s TASS news agency reported.

Source: Aljazeera
Hiki Ni kichekesho kingine.

Marekani ikitangaza hivi kwamba Raia yeyote wa Urusi anaruhusiwa kujipatia Uraia wa Marekani ndani ya masaa 6 TU,Nakwambia huko Urusi,Putin atabaki peke Yake.
 
Masahabiki wa Urusi mnapenda Sana kujiliwaza .Hivi kweli Kwa akili ya kawaida tu bila ushabiki urusi anawezeje kushinda hii vita? Nendeni kwa facts,Urusi alivoivamia Ukurein aliteka mikoa 14 na waukurein kwa usaidizi wa mataifa ya Ulaya kapambana hadi kaikomboa mikoa 12 na Bado miwili ambayo ni inaitwa Donabos manake Luhansk na Donetsk.Na ndiko vita inaendelea ili waikomboe kabla hawajahamia kuikomboa Crimea.
Pia tukumbuke kwa hali halisi hii vita Urusi atashindwa kwa Sababu Ukurein anasaidiwa na mataifa yenye nguvu yakiongozwa na USA na haya mataifa ndiyo nayaongoza Dunia kiuchumi na kiteknolojia .
Ukishawekewa vikwazo vikubwa vya kiuchumi kama alivofanyiwa Rusia lazima uanguke tu.

Nakubli kwamba Ukurein kama nchi imehalibiwa miundombinu yake na Wananchi wake wengi wamekufa lakini hatimae Urusi atashindwa kwa Sababu Ukurein anapata usaidizi kutoka westerners na huenda huu ndiyo ukawa mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia.
Anaebisha asubili muda utupe majibu.
 
Nakubli kwamba Ukurein kama nchi imehalibiwa miundbinu yake na Wananchi wake wengi wamekufa lakini hatimae Urusi atashindwa kwa Sababu Ukurein anapata usaidizi kutoka westerners na huenda huu ndiyo ukawa mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia.
Anaebisha asubili muda utupe majibu.
Ukurein tena ....lahaula 🙆
 
Mtu anavamia nyumba yako, anawatandika, anaharibu vitu halafu anatoa nafasi kwa mke, watoto, ndugu na wafanyakazi kubadili jina lao la ukoo na kutumia la kwake. Okey ngoja tushuhudie.......
 
Masahabiki wa Urusi mnapenda Sana kujiliwaza .Hivi kweli Kwa akili ya kawaida tu bila ushabiki urusi anawezeje kushinda hii vita? Nendeni kwa facts,Urusi alivoivamia Ukurein aliteka mikoa 14 na waukurein kwa usaidizi wa mataifa ya Ulaya kapambana hadi kaikomboa mikoa 12 na Bado miwili ambayo ni inaitwa Donabos manake Luhansk na Donetsk.Na ndiko vita inaendelea ili waikomboe kabla hawajahamia kuikomboa Crimea.
Pia tukumbuke kwa hali halisi hii vita Urusi atashindwa kwa Sababu Ukurein anasaidiwa na mataifa yenye nguvu yakiongozwa na USA na haya mataifa ndiyo nayaongoza Dunia kiuchumi na kiteknolojia .
Ukishawekewa vikwazo vikubwa vya kiuchumi kama alivofanyiwa Rusia lazima uanguke tu.

Nakubli kwamba Ukurein kama nchi imehalibiwa miundombinu yake na Wananchi wake wengi wamekufa lakini hatimae Urusi atashindwa kwa Sababu Ukurein anapata usaidizi kutoka westerners na huenda huu ndiyo ukawa mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia.
Anaebisha asubili muda utupe majibu.
Una ndoto mbaya sana kama zombie.
 
Naona gay umefura hatari[emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lwiva kikwetu ni makalio yaliyoiva mpaka yakatepeta … Russia kuna magay mpaka wengine wanajirusha ghorofani kisa wivu wa kimapenzi…mpo kila mahali sio USA tu, mpaka huko kwenu tandale..
 
Back
Top Bottom