Putin asaini amri inayowapa urahisi wananchi wote wa Ukraine kuomba uraia wa Urusi

Rais wa Urusi, Vladimir Putin ametia saini amri ya kupanua mchakato wa kupata uraia wa Urusi kwa raia wote wa Ukraine.

Amri hiyo inaamuru kuwa ‘raia wote wa Ukraine’ wapewe haki ya kuomba kuandikishwa kuwa uraia wa Shirikisho la Urusi kwa njia rahisi zaidi.

Awali utaratibu kama huo ulikuwa ukitumika kwa wakazi wa maeneo Donetsk na Luhansk yaliyopo Mashariki mwa Ukraine ambao ni washirika wa karibu na Urusi.

===

Putin signs decree giving all Ukrainians path to Russian citizenship
Russian President Vladimir Putin has signed a decree extending a simplified Russian naturalisation process to all citizens of Ukraine, a document published on the Kremlin’s website shows.

The decree orders that “all citizens of Ukraine” be given “the right to apply for admission to the citizenship of the Russian Federation in a simplified manner”.

Previously, a simplified procedure for acquiring Russian citizenship applied only to residents of the self-proclaimed breakaway territories of the Donetsk People’s Republic (DPR) and Luhansk People’s Republic (LPR) in eastern Ukraine, Russia’s TASS news agency reported.

Source: Aljazeera
Huyu jamaa si tu jasusi, ila pia genious, yaani kila siku anakuja na mpya yakuwachanganya westerners.🙌🙌🙌
 
Nani ana shida na uraia wa Russia, watu wanakufa wakisafiri kwenda kuzamia Ulaya magharibi na Marekani halafu huyo akishalewa vodka anasema watu wachukue uraia wa Russia.

Nchi za magharibi hadi wale wenye kuabudu allah wanakimbia nchi zao kwendapo na wala hatujawasikia wakienda huko sijui Russia na warussia wenyewe zaidi ya milioni 5 wako Marekani tena wana kinachoitwa "Russian Community in America", kitu ambacho naona Mujahedeen wengi humu hawaelewi kabisa.
 
Kwamba vita imemshinda?
Taarifa za kuaminika ni kuwa Urusi ina control 1/5 ya Ukraine.
Ukraine ni cruel project. Ukiachana na media propaganda za pande zote mbili, ukweli ni kuwa Ukraine wanafekwa sana. Na kwa sababu Ukraine sio size ya Russia. US et al wamewaingiza wa Ukraine kwenye matatizo tu.

Huu ndio uhalisia. vita mbaya sana!
 
Ni kweli lazima Ukraine aumie maana urusi ni mkubwa sana kwake na vita inafanyika kwenye ardhi yake. Russia amepata hasara ya vifaa na maumivu ya vikwazo ambayo in the long run ataumia sana.
 
Imagine Donbas yote kaikamata, Mariupol na sasa anapambana kukamata sehemu zilizobaki strategic kiuchumi. Amelegeza masharti ya uraia kwa watu wa Ukraine. Ni suala la muda tu kabla hayo maeneo hayajawa sehemu ya Russia, directly au indirectly. So in long run Russia hataumia kama wengi wanavyoangalia.

Ataumia kwenye maumivu ya vita hii. Vikwazo vimefeli na sasa vinaumiza wakwazaji. Ukraine ilikubali kutumika na wazee wa magharibi kwa extent mbayo ikawa tishio kwa Urusi. Naona this time wameamua once and for all ku deal na hii issue.

Unfortunately, wanaoumia ni raia na watoto wao wanopelekwa mstari wa mbele. Wakuu wao wako maofisini huko!
Mungu awasaidie wananchi wa Ukraine kupita kwenye hii kitu. Isikie tu kwa mbali...!
 
Mtu anavamia nyumba yako, anawatandika, anaharibu vitu halafu anatoa nafasi kwa mke, watoto, ndugu na wafanyakazi kubadili jina lao la ukoo na kutumia la kwake. Okey ngoja tushuhudie.......
Putin mwehu
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kwani na hao magay wa russia wamefura kama wewe [emoji1787][emoji1787]
Tabia za kujichokonoa na vidole kisha kunusa na kujichekesha chekesha inafahamika ni za jamii gani, acha niendelee kufura kama Putin.
 
Rais wa Urusi, Vladimir Putin ametia saini amri ya kupanua mchakato wa kupata uraia wa Urusi kwa raia wote wa Ukraine.

Amri hiyo inaamuru kuwa ‘raia wote wa Ukraine’ wapewe haki ya kuomba kuandikishwa kuwa uraia wa Shirikisho la Urusi kwa njia rahisi zaidi.

Awali utaratibu kama huo ulikuwa ukitumika kwa wakazi wa maeneo Donetsk na Luhansk yaliyopo Mashariki mwa Ukraine ambao ni washirika wa karibu na Urusi.

===

Putin signs decree giving all Ukrainians path to Russian citizenship
Russian President Vladimir Putin has signed a decree extending a simplified Russian naturalisation process to all citizens of Ukraine, a document published on the Kremlin’s website shows.

The decree orders that “all citizens of Ukraine” be given “the right to apply for admission to the citizenship of the Russian Federation in a simplified manner”.

Previously, a simplified procedure for acquiring Russian citizenship applied only to residents of the self-proclaimed breakaway territories of the Donetsk People’s Republic (DPR) and Luhansk People’s Republic (LPR) in eastern Ukraine, Russia’s TASS news agency reported.

Source: Aljazeera
 
Rais wa Urusi, Vladimir Putin ametia saini amri ya kupanua mchakato wa kupata uraia wa Urusi kwa raia wote wa Ukraine.

Amri hiyo inaamuru kuwa ‘raia wote wa Ukraine’ wapewe haki ya kuomba kuandikishwa kuwa uraia wa Shirikisho la Urusi kwa njia rahisi zaidi.

Awali utaratibu kama huo ulikuwa ukitumika kwa wakazi wa maeneo Donetsk na Luhansk yaliyopo Mashariki mwa Ukraine ambao ni washirika wa karibu na Urusi.

===

Putin signs decree giving all Ukrainians path to Russian citizenship
Russian President Vladimir Putin has signed a decree extending a simplified Russian naturalisation process to all citizens of Ukraine, a document published on the Kremlin’s website shows.

The decree orders that “all citizens of Ukraine” be given “the right to apply for admission to the citizenship of the Russian Federation in a simplified manner”.

Previously, a simplified procedure for acquiring Russian citizenship applied only to residents of the self-proclaimed breakaway territories of the Donetsk People’s Republic (DPR) and Luhansk People’s Republic (LPR) in eastern Ukraine, Russia’s TASS news agency reported.

Source: Aljazeera
 
Urusi ina tatizo la idadi ndogo ya watu kufananisha na rasilimali zilizokuwepo, kuna uwezekano mkubwa Putin anatumia njia hii kuongeza watu Urusi.

Wewe una-akili. Achana na hawa wenye vichwa kama vya samaki, na akili kisoda. Wanaongozwa na magoobalist kila siku kuomba-omba na viongozi ambao wapo tu; kida nao wao wamietwa viongozi. Cant do nothing for country Tanzania.
 
Back
Top Bottom