Putin asaini amri inayowapa urahisi wananchi wote wa Ukraine kuomba uraia wa Urusi

Putin asaini amri inayowapa urahisi wananchi wote wa Ukraine kuomba uraia wa Urusi

Nimeipenda iyo Ila ni vyema angesema yeyote anaitaji kwenda kuishi Russia ni ruhusa nahisi kesho ningekata tiketi kwenda uko maana huku madrama Kama yote
 
Yaani Urusi pamoja na kutangaza kugawa uraia kwa Waukraine bado hakuna mwitikio wowote.

Sasa Marekani atangaze fursa kama hiyo kwa dunia hata hao Warusi watakimbilia huko USA.

Hayo majimbo anayokalia Urusi ya Lugansk na Donetsk mbona ni majimbo ya muda mrefu sana walikuwa wanapigana ili kujitenga hata kabla ya vita hivi.

Urusi hana jimbo jipya ambalo amelichukua tangu kuanza kwa vita hii isipokuwa ni hayo Lugansk na Donetsk ambayo miaka yote yalikuwa yanaegemea Urusi.
 
Mtu anavamia nyumba yako, anawatandika, anaharibu vitu halafu anatoa nafasi kwa mke, watoto, ndugu na wafanyakazi kubadili jina lao la ukoo na kutumia la kwake. Okey ngoja tushuhudie.......
Itabidi mzoee[emoji16][emoji23][emoji16]
 
Huo ndio ukweli
Hiki Ni kichekesho kingine.

Marekani ikitangaza hivi kwamba Raia yeyote wa Urusi anaruhusiwa kujipatia Uraia wa Marekani ndani ya masaa 6 TU,Nakwambia huko Urusi,Putin atabaki peke Yake.
 
Kwa Hilo Afande kafeli.
Kwa mtazamo wangu ni mwanzo wa kupandikiza watu watakao kuja kufanya visasi baadaye,
 
Hii inaashiria siku za mbele hakutokuwa na taifa linaloitwa Ukraine tena... Safi sana mwamba wa dunia
Kuna mtu amesema vita vimemshindq na.mimi nasema vinemshindq kweli mpaka anaomba waukraine wawe raia wa urusi tena duu dunia simama nishukie sirilankq aisee
 
Hiki Ni kichekesho kingine.

Marekani ikitangaza hivi kwamba Raia yeyote wa Urusi anaruhusiwa kujipatia Uraia wa Marekani ndani ya masaa 6 TU,Nakwambia huko Urusi,Putin atabaki peke Yake.
Haitatokea hii . Na ikitokea Kati ya watu million 1 was mwanzo laki tano watakuwa mashushushu

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Masahabiki wa Urusi mnapenda Sana kujiliwaza .Hivi kweli Kwa akili ya kawaida tu bila ushabiki urusi anawezeje kushinda hii vita? Nendeni kwa facts,Urusi alivoivamia Ukurein aliteka mikoa 14 na waukurein kwa usaidizi wa mataifa ya Ulaya kapambana hadi kaikomboa mikoa 12 na Bado miwili ambayo ni inaitwa Donabos manake Luhansk na Donetsk.Na ndiko vita inaendelea ili waikomboe kabla hawajahamia kuikomboa Crimea.
Pia tukumbuke kwa hali halisi hii vita Urusi atashindwa kwa Sababu Ukurein anasaidiwa na mataifa yenye nguvu yakiongozwa na USA na haya mataifa ndiyo nayaongoza Dunia kiuchumi na kiteknolojia .
Ukishawekewa vikwazo vikubwa vya kiuchumi kama alivofanyiwa Rusia lazima uanguke tu.

Nakubli kwamba Ukurein kama nchi imehalibiwa miundombinu yake na Wananchi wake wengi wamekufa lakini hatimae Urusi atashindwa kwa Sababu Ukurein anapata usaidizi kutoka westerners na huenda huu ndiyo ukawa mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia.
Anaebisha asubili muda utupe majibu.
Ndo unaamka mzee baba.. unajadili matukio ya mwezi April
 
Lwiva kikwetu ni makalio yaliyoiva mpaka yakatepeta … Russia kuna magay mpaka wengine wanajirusha ghorofani kisa wivu wa kimapenzi…mpo kila mahali sio USA tu, mpaka huko kwenu tandale..
Kwani na hao magay wa russia wamefura kama wewe [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom