Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Lengo ni kupanua wigo wa kodi au?Rais wa Urusi, Vladimir Putin ametia saini amri ya kupanua mchakato wa kupata uraia wa Urusi kwa raia wote wa Ukraine.
Amri hiyo inaamuru kuwa ‘raia wote wa Ukraine’ wapewe haki ya kuomba kuandikishwa kuwa uraia wa Shirikisho la Urusi kwa njia rahisi zaidi.
Aruhusu hata wa huku maana Burundi siyo poa kabisa