Rais wa Urusi, Vladimir Putin ametia saini amri ya kupanua mchakato wa kupata uraia wa Urusi kwa raia wote wa Ukraine.
Amri hiyo inaamuru kuwa ‘raia wote wa Ukraine’ wapewe haki ya kuomba kuandikishwa kuwa uraia wa Shirikisho la Urusi kwa njia rahisi zaidi.