Putin asema nchi za Magharibi zikiondoa vikwazo Urusi itauza nje chakula na mbolea

Putin asema nchi za Magharibi zikiondoa vikwazo Urusi itauza nje chakula na mbolea

Anaongelea vikwazo kwa ujumla ila chakula hakija wekewa vikwazo labda ivyo vikwazo vingine kuna namna vina adhiri usambazaji wa chakula ila hakuna kikwazo cha moja kwa moja kwenye chakula
EU wali-ban import kwa ngano ya Urusi, ngano sio chakula?
 
Sasa kwanini aanze kulia kuondolewa vikwazo,si atulie ili hao 'wanaoumia na vikwazo' wateseke.Yani huumizwi na vikwazo na hapo hapo unataka vitolewe,vikwazo viko pale pale
Ni huruma tu nakutokuwa na roho mbaya maana anaona ni ubinafsi kula na kusaza na kukimwaga chakula wakati wasio na hatia wanateseka! Nadhani wanaona ni dhambi pia!
 
Warusi wa JF wanasema vikwazo havimtishi Putin, sasa kama ni hivyo kwa nini analia lia wamuondolee? Akae na chakula chake ikiwezekana alishe hadi kunguni wa nyumbani kwake,vikwazo viko pale pale.
Sio kwamba analia bali anawaonea huruma mabeberu jinsi wanavyoganga kupata huduma muhimu ikiwemo chakula. God bless Russia, God bless Putin 😎
 
Putin kwa mikwara mbuzi hajambo- mara ataangamiza dunia kwa nuklia, oh nitawalaza njaa msipoondoa vikwazo.
 
Warusi wa JF wanasema vikwazo havimtishi Putin, sasa kama ni hivyo kwa nini analia lia wamuondolee? Akae na chakula chake ikiwezekana alishe hadi kunguni wa nyumbani kwake,vikwazo viko pale pale.
Uwe unauliza kama hujaelewa.
Ni hivi hao waweka vikwazo ndio walimpiga Putin si, u wajiomba aachie misosi; nayeye akasema ataachia misosi watakapoondoa vikwazo.

Hakuna Baunsa mbele ya njaa.
 
Unahakika mbona malalamiko mabeberu Kwa mrusi🚶
Mrusi ana taka aondolewe vikwazo vingine ambavyo labda kweli vina husiana na usambazaji na malipo ya chakula ila hakuna kikwazo cha moja kwa moja kwenye chakula.
 
Kumbe Russia inanguvu kiasi hiki!! kaishika dunia pabaya aise!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivyo jua vikwazo vimemshika pabaya mrusi

Marekani wakulima wamekubali kulima mara nne zaidi kuzalisha ziada ya chakula kuuza Ulaya na viwanda vya mbele vya nchi za Magharibi vimeongeza uzalishaji mbele


Tanzania tutumie hiyo fursa soko la chakula Ulaya kubwa mno hasa ngano kwa sasa
 
Back
Top Bottom