Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

President wa ukraine ni mfano wa kuigwa hajakimbia nchi na ukraine wana fight back .Putin alifikiri itakuwa kama Crimea .Putin will be a man with no country.Watu wana cell phone image zinatisha Putin this is not 1945 hitlers time
Sasa si bora ku surrender kuliko kukomaa huku watu wanakufa bila hatia mpaka sasa hajarusha hata jiwe 1 kuelekea kremlin sasa si ni kushindwa huko Mkuu.
 
President wa ukraine ni mfano wa kuigwa hajakimbia nchi na ukraine wana fight back .Putin alifikiri itakuwa kama Crimea .Putin will be a man with no country.Watu wana cell phone image zinatisha Putin this is not 1945 hitlers time

Wewe ni mpuuzi kweli. Ndani ya siku mbili mjinga amezingirwq anaomba poo wewe unasema Putin ameomba majadiliano.

Hivi unajielewa kweli? Ukraine wamegundua Ulaya na Marekani wameaacha na mziki kinyume na alivyodhani. Ikabidi aombe poo maana asipofanya hivyo watamla kichwa.
 
Mtu siku mbili tuu Russia washaingia mji mkuu unamwita kidume. Analia lia Viongozi wa Ulaya hawapokei cm zake...
Halafu kikao ni Minsk kwa Belarus [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka Sasa mji mkuu umeshazungukwa usiku huu unachukuliwa.

Air superiority wametawala Russia na hawatumii advance weapons zao

Yaani Soviet equipment zinawatosha

Sasa ataenda kufuata matwakwa ya Urusi Bora angekubali mwanzoni ingekuwa ni win win situation.
Hivi mnafikifi USA na ku hawana plan na Putin .Nyie subirini Mother of all lira mtarget Putin mwemyewe probably
 
Halafu kikao ni Minsk kwa Belarus [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka Sasa mji mkuu umeshazungukwa usiku huu unachukuliwa.

Air superiority wametawala Russia na hawatumii advance weapons zao

Yaani Soviet equipment zinawatosha

Sasa ataenda kufuata matwakwa ya Urusi Bora angekubali mwanzoni ingekuwa ni win win situation.
Hata Mrusi keshaumizwa. Atleast 1000 soldiers killed in Ukraine and still counting.

Senseless and stupid war.
 
Wewe ni mpuuzi kweli. Ndani ya siku mbili mjinga amezingirwq anaomba poo wewe unasema Putin ameomba majadiliano.

Hivi unajielewa kweli? Ukraine wamegundua Ulaya na Marekani wameaacha na mziki kinyume na alivyodhani. Ikabidi aombe poo maana asipofanya hivyo watamla kichwa.
Mjinga mwenyewe ..Ukraine president yupo ukraine Putin Alitakiwa kuchukua nchi jana na yeye kuchukua nchi lazima rais wa ukraine a sigh papers peace treat .He won’t sigh he is ready to die for his country .You invade a country kama raisi hakimbii nchi na hasigh paper Putin hawezi kuipata ukraine .Soviet Union ilivyo collapse ukraine ikawa nchi na Russia walisigh papers kuwa ukraine sio Russia .He wants Soviet Union back Hii ni new generation hawatokubali .Putin amejiharibia sana sana kama Trump
Alivyokihadibia january 6 .Narcisstic tend to destroy themselves. HII ni kama ghafla Mexico unataka state of Texas .Texas was Mexico
 
My friend from Dutwa am your neighbour from Nyakabindula its too late to catch the bus, if such triumphatic statements were to be stated before Russian invasion it would be helpful but not now.

Russia has no compromise and cant hasitate to punish any one crossing the red line of its ďefence bounderies my lets continue consuming Michembe while waiting the donated mosquito nets from USA
Putin should invade Poland and smell his ass. NATO troops are already stationed there. and Ukraine is massacred because she isn't a part of NATO .
 
President wa ukraine ni mfano wa kuigwa hajakimbia nchi na ukraine wana fight back .Putin alifikiri itakuwa kama Crimea .Putin will be a man with no country.Watu wana cell phone image zinatisha Putin this is not 1945 hitlers time

Mkuu tulia uandike vizuri yaani putin kaomba au jamaa wa Ukrain
 
Hivi unafuatilia au una hadithiwa, maana mpaka leo mchana majeshi ya urusi yalikuwa yameuzingira mji mkuu wa kyiv. Taarifa iliyotoka muda si mrefu ni kuwa put putin anataka wanajeshi wa Ukraine wamuondoe raisi wao wenyewe na ndio maana Raisi wa Ukraine anasema target kubwa ni yeye pamoja na familia yake
 
Bro uko informed, naona wachanguaji wengi wana take side hivyo kuleta hoja za mehemko. Vita ni mbaya sana inapaswa kukemewa kwa kila mtu mwenye moyo na akili timamu. Marekani na washirika wake wako in denial hawaelewi wafanye nini wanahofia ukichaa wa russia inaweza kuchochea vita kubwa itakayogharimu maisha ya watu
Ni kweli Urusi ina Nguvu kubwa Sana za Kijeshi Tena Sana. Lakini hawezi hata siku moja kuthubutu kutumia kombola la Nyuklia kwenye Vita. Kombola la Nyuklia ni kwa ajili ya Duterrence(Kutishia). Kinachosababisha mpaka Sasa NATO washindwe Kuingia vitani kuisaidia Ukraine ni kwasababu Russia ana Nyuklia Waepons ambazo zikitumika Basi NO WINNER,All are LOSSERS.

Urusi ina Makombora 7500 ya Nyuklia kwa takwimu za NIT. Makombora 2500 yako tayari kufyatuliwa kuelekea Endeo lolote Lile Duniani litakapotumwa. Marekani ina Miji mikubwa 358 na Majimbo 54. Kombora Moja linaugeuza mji kuwa Majivu kabisa. Kama Mrusi akituma Makombora yote 2500 kuelekea Marekani,Basi ndani ya dakika 30 hakutakuwa na USA Duniani.

Kwa Upande Mwingine,Marekani ina Makombora ya Nyuklia 6800. Kati ya hayo, 3500 yako tayari kufyatuliwa ndani ya Dakika 5 wakipokea Order na Direction ya kuyafurumusha. Urusi ina Miji mikubwa 43. Endapo USA akiona Russia kashatuma Makombora Yake kuelekea Marekani na hakuna jinsi Basi ndani ya Dakika 5, Makombora 3500 ya Marekani yatakuwa njiani kuelekea Urusi kuteketeza Miji 43,Ndani ya Nusu saa hakutakuwa na Urusi Tena. Hiyo inaitwa MUTUAL ASSURED DESTRUCTION(MAD).

Haya Sasa,Tuseme wewe ni Raisi wa Russia,utarusha hayo Makombora kuelekea Marekani au utafanya juhudi za majadiliano?

Mwishoni mwa Vita baridi kabisa (1988) Nchi za Marekani na Urusi Zilikuwa na Akiba ya Makombora 127,000 (Laki moja na elfu ishirini na Saba). Kati ya hayo, 58,000 ya Urusi na 69,000 ya USA. Embu fikilia. Kombora Moja linafuta mji mmoja wa Dar. Je,Dunia ina Miji 127,000? Jibu ni Hapana.

Kwahiyo ndugu yangu usiwe na tempa unapokuwa unachangia hizi maada,tumia Logic utaelewa tu.

Urusi na Marekani wanajuana,wakikutana Anga Furani Kila mmoja anaangalia Nani anamaslahi makubwa na anamwachia ili kuepusha Vita.

Georgia Mwaka 2008 Marekani hakuingiza mguu kusaidia Nchi hiyo dhidi ya Uvamizi wa Russia kwasababu Marekani anajua hapo Russia ana maslahi Makubwa.

Iraq mwaka 2001 Russia hakutia Mguu kwasababu Marekani alikuwa na Maslahi Makubwa.

Libya mwaka 2011 Russia hakutia Mguu kwasababu USA alikuwa na Maslahi Makubwa.

Venezuera Marekani aliogopa Msululu wa wakimbizi kumiminika nchini Marekani hata Kama angeliamua Vita Urusi angelipisha Coz pale ni Maslahi Makubwa ya kiusalama kwa USA.

Syria pale Wote Urusi na USA wanamaslahi na ndio maana mpaka Sasa wameigawana kijanja. Urusi inamhitaji Assad kwasababu Anamdai pesa ndefu. Marekani anahitaji Mafuta ndio maana mpaka leo Majeshi ya Marekani yapo Syria kulinda Visima vya Mafuta.

Kuhusu Ukraine,hata Marekani anajua kabisa Maslahi ya Urusi ni Makubwa kwahiyo lazima akae pembeni. Atashiriki tu kijanja lakini sio moja kwa moja.

MTz 255Dar.
 
And you believe attacks zote zimeua raia tu?

Na hakuna damage kwenye military attire za Ukraine sio?
Wamekufa wanajeshi 143 wa Ukraine mpaka Sasa. Vifaru 130 vya Urusi vimeharibiwa Sana na Mizinga ya STINGER ambayo Marekani alitoa msaada kwa Ukraine. Ndege 30 za Kivita za Urusi zimetunguliwa na Stinger Missile ambazo USA alitoa Kama msaada kwa Ukraine. Wanajeshi 50 wa Urusi washakufa. Majeruhi ni Unknown pande zote.

Mpaka Sasa Jeshi la Ukraine lilishawapa Siraha na Mabomu Raia Laki tatu na Nusu (350,000) ambao wamekwenda kufia Front line.

Mpaka Sasa,Jeshi la Ukraine halina Tena Air force( Jeshi la Anga) make limetekwa na Russia. Pia Jeshi la Maji la Ukraine Limetekwa. Miji 28 ya Ukraine imeshatekwa na viwanja 10 vya ndege vimeshatekwa.

HITIMISHO.

1.Hakuna uwezekano wa Ukraine kushinda Vita hivi kwasababu Majeshi ya Urusi yaliyoingia na Vifaru ndani ya Ukraine Jana TU yalikuwa Elfu 80. Leo Urusi imeongeza Wanajeshi Laki mbili na Nusu ndani ya Ukraine. Urusi ataibuka kidedea tu.

2. Lakini Ukraine ina Jeshi la ziada la Wanajeshi Milioni moja na wote wameanza kuchukua Siraha na kwenda Front line. Ushindi wa Urusi utakuja baada ya kuua watu zaidi ya Laki tano (500,000) ndani ya Ukraine.

Ndio maana Raisi Putin anajaribu kuwashawishi Wanajeshi wa Ukraine waretreat na kurudi majumbani ili kuepusha Vita virefu na vya Umwagaji damu mkubwa barani Ulaya tangu mwaka 1945.

Intelijensia ya Urusi inasema Marekani inatarget kumuua Rais wa Ukraine ili asifanye Negotiations za Urusi. Endapo hili litatokea Basi tutegemee Vita ambavyo havitakuwa na mwisho make Wanajeshi wa Ukraine watapigana tu bila kuwa na Directions. Pia kutatokea vikundi vingi ambavyo vitapigana mle ndani.

Ukraine ni Nchi kubwa kieneo,ni Kilometa za Mraba zaidi ya Laki sita. Hiyo ni zaidi ya ukubwa wa Kenya.
 
Vifaa vya Urussi vikiwa vime haribiwa
Screenshot_2022-02-25-19-42-03-073_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2022-02-25-19-43-02-545_com.instagram.android.jpg
 
Putin lazima apigwe
Tulia wewe. Hao Marekani walivyokua wanafanya ya kufanya Syria, Libya, Iraq na Afghanistan jumuiya za kimataifa zilikuwa wapi. Ya Ukraine ni chokochoko za mabwana wamarekani kuvunja treaties walizowekeana juu ya Ukraine kuwa kitovu cha usalama wa Russia kutokana na foreign invention.
 
Back
Top Bottom