George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Eeeh bwana eeh!!!Uwapokee mara mbili. Wapo warusi wa kutosha wameingia hapa bongo nyie endeleeni kushangilia simba n yanga. Time haiko upande wetu aisee. Tujiandae. Wewe unaona mwarabu anajitanua Africa sisi bado tumelala. Mchina kajitanua Africa bado tumelala.
Hizo ni kelele za Chura hawezi tikisa kiberitiBREAKING NEWS
Putin amesema NATO inafanya makosa makubwa kushambulia ndani ya Russia, Jibu la Russia itakua na sehemu mbili kuanzisha Vita vya tatu vya Dunia na kuiangamiza NATO au kuwatwanga Nyuklia.
NATO is making big mistake to strike inside Russia, we will destroy NATO either by fighting world war III or by nuclear weapons.
View attachment 3040010View attachment 3040011
Putin ana akili kuliko wewe na babake mm achana na mm kabisa ,kuwa third world country sio kigezo cha kukosa akili ,labda useme mpaka leo amefanikiwa nini tangu aivamie Ukraine zaidi ya kujaza makaburi na sasa anaomba mamluki wa DPRK na iran hata juzi Naredra modi amemcha kuwa hawezi kufanikiwa hadi anakimbilia kwa kina Tulia Acksoni ,yule ni mjinga kama wewe tuYaani wewe mtu wakawaida amabae hata kutengeneza kijiko nchi yako imeshindwa ,then ujifanye una akili kushinda Puting?? Kama wewe ulie ulimwengu wa tatu huku umeweza kuwaza hayo vipi kuhusu putini? tena jasusi mstaafu aliekuwa anawahenyesha wazungu pale ujerumani??
Watanzia tupunguze ujuaji wakijinga
Unaishi wapi wewe juzi walijibu lile shambulio la hospitali ya watoto kwa kupiga ndani ya ardhi ya urusi na kuuwa watu sitaUmejuaje kwamba ni mikwara!?
Kwani NATO wameshaanza kushambulia ndani ya ARDHI ya Russia?
Kweli ila haiwezekani kabisa kabisa. Rasilimali na maliasili ndio tatizo. Toka enzi na enzi. Nchi kuvamiana ndio hulka ya binadamu tupore, tunyang'anye ardhi, tubake, tunyanyase na ukatili wa kila aina na usiokuwa na mfano!Binadamu wajinga sana kila siku kutaka kupigana , kila mtu abaki kweny nchi yake ndio kupunguza matatizo
Weeeeh!Unaishi wapi wewe juzi walijibu lile shambulio la hospitali ya watoto kwa kupiga ndani ya ardhi ya urusi na kuuwa watu sita
Ukiona NATO inaruhusu muda huu na zamani walikataa jua mambo ni 🔥
USSR
Mzungu anaweza kuja TZ kama mkimbizi na bado akakutawala.Safari hii wazungu wakija Africa tuwafanye vibarua wetu.
Nafikiri ujinga wako umeonekana kuptia hii coment yako ..!!Putin ana akili kuliko wewe na babake mm achana na mm kabisa ,kuwa third world country sio kigezo cha kukosa akili ,labda useme mpaka leo amefanikiwa nini tangu aivamie Ukraine zaidi ya kujaza makaburi na sasa anaomba mamluki wa DPRK na iran hata juzi Naredra modi amemcha kuwa hawezi kufanikiwa hadi anakimbilia kwa kina Tulia Acksoni ,yule ni mjinga kama wewe tu
USSR
Advancing sio kizembe kama kukaanga chips acha ujinga nimekuambia juzi wameshambulia ndani ya urusi wewe unasema maeneo kumbe majadili na kiazi sasaWeeeeh!
Kumbe mambo ni 🔥
Kwahiyo ameshaanza kurudisha maeneo yake au?
Huwa namjinga mjinga kulingana na alivyoulizaNafikiri ujinga wako umeonekana kuptia hii coment yako ..!!
https://www.reuters.com/world/europ...radar-record-distance-kyiv-source-2024-05-27/Advancing sio kizembe kama kukaanga chips acha ujinga nimekuambia juzi wameshambulia ndani ya urusi wewe unasema maeneo kumbe majadili na kiazi sasa
USSR.
Washambulie ili iweje sasa?,Umejuaje kwamba ni mikwara!?
Kwani NATO wameshaanza kushambulia ndani ya ARDHI ya Russia?
Rubbish for trashcan 🖕Scott Ritter: Ukraine an 'Open Target for Russia to Take Apart'
No matter how many and what kind of air defense systems NATO plans to donate to the Kiev regime, Russia will continue to pursue its military objectives while grinding through those weapons, underscored Scott Ritter. Fueling the ongoing proxy war in Ukraine will leave the West facing depleted stocks of its own air defense systems.
Russia is able to wipe out the military equipment provided to the Kiev regime, especially air defense, at a rate "far greater than the West can even replenish its own stocks," former US marine intelligence officer Scott Ritter told Sputnik.
“This is a losing equation. And without air defense, Ukraine is literally an open target for Russia to take apart as it best sees fit,” said Ritter.
On the opening day of the recent NATO summit in Washington, US President Joe Biden pledged to provide Ukraine with five new strategic air defense systems and dozens of smaller, strategic anti-air batteries over the coming year. In remarks delivered at the opening of the summit, Biden said that to donate the Patriot systems, the US would join forces with Germany, Romania, Italy, and the Netherlands.
The announcement came two days after a missile strike hit a children's hospital in Kiev, with the Zelensky-led neo-Nazi regime and its Western allies groundlessly accusing Russia of targeting the building.
Photographs and videos taken in Kiev confirm that a building on the grounds of the Okhmatdet hospital was hit by a surface-to-air missile fired from the Western-made NASAMS air defense system during a Russian attack on military targets in Kiev, according to the Russian Ministry of Defense. The ministry linked the Kiev regime's accusations to the then-upcoming NATO summit set to discuss Ukraine's potential membership among other issues, and new arms deliveries to Kiev.
Focus kwenye mada sasa. Russia/Ukraine.Eeeh, ndo ilivyo!
Kwani Marekani alivyoivamia Iraq alikuwa anataka Iraq apige ardhi ya Marekani?
Sawa, wewe kubaini hivyo itasababisha Russia aishi vizuri na majirani zake?"Aseyeweza kukaa vizuri na majirani zake".hii kauli umekua ukiirudiarudia sana,mie nikidhani unaweza kugundua kosa lako na usiitaje Tena lkn wapi,nasikitika kukuambia uko mtupu kabisa kichwani
Aisee inaonesha jinsi ulivyo mweupe kichwani Bro.
Nakuambia kabisa uko mweupe sana kichwani,haijaliahi una Phd,Masters, Bachelor, Diploma au certificate.
Sijakutukana lkn ila nimeiona ulivyo mtupu kabisa.
Taratibu basi mkongwe!Advancing sio kizembe kama kukaanga chips acha ujinga nimekuambia juzi wameshambulia ndani ya urusi wewe unasema maeneo kumbe majadili na kiazi sasa
USSR
Wewe bila kuingiza topic za mabwana zako wa kiarabu husikii raha kabisa?!Hio Nuclear imeisha kuwa nyimbo Russia kuwatisha Nato n Israel kuwatisha Hamasi, Hezbullah na Iran.
Mimi nimependa kitu kimoja Yahya Sinwar kasema hatishiki na Vifaru. Ndege za vita na hata Nuclear sababu anamini kufa ni amri ya Mungu tu sio Nuclear au maboom n.k
Russia anazingua kudhania kuwa yeye anaweza kuishambulia Ukraine bila Ukraine kujibu mapigo. Anachotakiwa kufanya Russia ni kukubaliana na matokeo ya alichokianzisha, vita.Focus kwenye mada sasa. Russia/Ukraine.