Putin atamka kumlinda Raisi wa Burkina Faso " Ibrahim Traore" dhidi ya mataifa yanayotaka kumkamata

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202
VLADIMIR PUTIN
"Hakuna kitu kitakachompata Ibrahim Traoré ilimradi mimi bado niko hai. Marekani au Ufaransa hawana haki ya kumkamata Rais wa taifa huru la Afrika." __ Rais wa Urusi, Vladimir Putin.

"Nataka kufanya mambo kuwa wazi kabisa. Rais Ibrahim Traoré alinifata baada ya yeye mwenyewe kutathmini na kuchagua njia ya hatima kwa nchi yake. Mimi nilijiunga naye tu kama mshirika wa kibiashara na rafiki ili kumsaidia kutimiza ndoto zake.

Urusi haimnyonyi wala kuiba chochote kutoka Burkina Faso, yote ni Biashara ya Haki. Biashara kati ya Urusi na Burkina Faso ni rahisi: tunasubiri nchini kwetu, na Burkina Faso wanachimba madini yao, kuyachakata na kuyaagiza kwetu kwa masharti yao wenyewe. Kama tungekuwa tunawanyonya, tungekuwa na shughuli za uchimbaji za Warusi kule Burkina Faso, lakini hatuna kwa sababu Urusi inaamini katika Biashara ya Haki.
Nina kila kitu kinachohitajika kusambaza ushawishi wangu kote duniani kama Superpower, lakini Urusi haijawahi kutumia mabavu dhidi ya yeyote.

Marekani na Ufaransa wanampinga Bwana Ibrahim Traoré kwa sababu hawawezi tena kuiba rasilimali za Burkina Faso chini ya uongozi wake. Badala ya kuruhusu Burkina Faso kujichimbia madini yao na kuuza bidhaa

zilizokamilika, wao wanataka kuchimba wenyewe na kuiba kutoka kwa watu wa Burkina Faso. Sasa, kwa sababu hawawezi tena kuiba, wanamchafua kwa kumuita mwizi ili wapate sababu ya kumuondoa, lakini hilo halitatokea.

Hivi ndivyo wanavyofanya kila mara nchi wanazozidhibiti zinapojinasua na kuanza kukua. Mimi namwona Ibrahim Traoré kama ndugu yangu na nitafanya kila liwezekanalo kumlinda. Marekani au taifa lolote jingine halina mamlaka juu yake. Yeye ni rais wa nchi huru ya Afrika na anastahili heshima."~Rais Vladimir Putin

Gu
1745865589434.jpg
 
GuView attachment 3318955
Screenshot_20250428-204147_X.jpg
 
Putin HANA UBAVU wa kumlinda Traore. Na Traore kama anataka kuendelea kuwepo madarakani na kuongoza Burkina Faso kwenye prosperity, basi hana budi kuichagua aidha Marekani au Ufaransa au zote mbili. Urusi kama HAINA UWEZO wa kuleta ustawi wa wananchi ndani ya nchi yake, atawezaje kufanya kwa Burkina Faso!?
 
Source yako ni tomato source au trust me bro?
 
Putin HANA UBAVU wa kumlinda Traore. Na Traore kama anataka kuendelea kuwepo madarakani na kuongoza Burkina Faso kwenye prosperity, basi hana budi kuichagua aidha Marekani au Ufaransa au zote mbili. Urusi kama HAINA UWEZO wa kuleta ustawi wa wananchi ndani ya nchi yake, atawezaje kufanya kwa Burkina Faso!?
Acha kuropoka kitendo cha kuondoa Majeshi ya Ufaransa ni ubavu tosha
 
Huyo naye anafukuzia dili tu hamna lolote lakini kwa nini alishindwa kumlinda dikteta Assad. Huyo Traore anadanganywa tu na Putin atakuja kujuta.
 
Back
Top Bottom