Putin atamka kumlinda Raisi wa Burkina Faso " Ibrahim Traore" dhidi ya mataifa yanayotaka kumkamata

Putin atamka kumlinda Raisi wa Burkina Faso " Ibrahim Traore" dhidi ya mataifa yanayotaka kumkamata

VLADIMIR PUTIN
"Hakuna kitu kitakachompata Ibrahim Traoré ilimradi mimi bado niko hai. Marekani au Ufaransa hawana haki ya kumkamata Rais wa taifa huru la Afrika." __ Rais wa Urusi, Vladimir Putin.

"Nataka kufanya mambo kuwa wazi kabisa. Rais Ibrahim Traoré alinifata baada ya yeye mwenyewe kutathmini na kuchagua njia ya hatima kwa nchi yake. Mimi nilijiunga naye tu kama mshirika wa kibiashara na rafiki ili kumsaidia kutimiza ndoto zake.

Urusi haimnyonyi wala kuiba chochote kutoka Burkina Faso, yote ni Biashara ya Haki. Biashara kati ya Urusi na Burkina Faso ni rahisi: tunasubiri nchini kwetu, na Burkina Faso wanachimba madini yao, kuyachakata na kuyaagiza kwetu kwa masharti yao wenyewe. Kama tungekuwa tunawanyonya, tungekuwa na shughuli za uchimbaji za Warusi kule Burkina Faso, lakini hatuna kwa sababu Urusi inaamini katika Biashara ya Haki.
Nina kila kitu kinachohitajika kusambaza ushawishi wangu kote duniani kama Superpower, lakini Urusi haijawahi kutumia mabavu dhidi ya yeyote.

Marekani na Ufaransa wanampinga Bwana Ibrahim Traoré kwa sababu hawawezi tena kuiba rasilimali za Burkina Faso chini ya uongozi wake. Badala ya kuruhusu Burkina Faso kujichimbia madini yao na kuuza bidhaa

zilizokamilika, wao wanataka kuchimba wenyewe na kuiba kutoka kwa watu wa Burkina Faso. Sasa, kwa sababu hawawezi tena kuiba, wanamchafua kwa kumuita mwizi ili wapate sababu ya kumuondoa, lakini hilo halitatokea.

Hivi ndivyo wanavyofanya kila mara nchi wanazozidhibiti zinapojinasua na kuanza kukua. Mimi namwona Ibrahim Traoré kama ndugu yangu na nitafanya kila liwezekanalo kumlinda. Marekani au taifa lolote jingine halina mamlaka juu yake. Yeye ni rais wa nchi huru ya Afrika na anastahili heshima."~Rais Vladimir Putin

GuView attachment 3318955
Baba hebu njoo na huku kwetu utuondolee hawa mafisi yanayouza kila rasilimali zetu kwa matapeli ya dunia.
 
Waafrika tuamke viongozi wenye uzalendo wanahitajika ni lazima tupige vita ukoloni mamboleo uliovishwa koti la ufadhilii tujisimamie wenyewe kwani Marekani ana mamlaka gani yakutaka kukamata viongozi wa mataifa mengine hivi huu sio ukoloni kwanini waafrika tusirudi vita kupigania uhuru wa kweli tutatawaliwa mpaka lini hivi hawa watu weupe wanauchukulia vp i namaana tumeshindwa kabisa kujitetea mtu huyu anahitaji sapoti kubwa kutoka kwa waafrika tunapaswa kupiga vita mpaka dini zote zinatoka magharibi ikiwemo ukristo ndiyo chanzo cha kupumbaza waafrika wengi jamani jamani waafrika tusipoamka tutakwisha.tuamke mapema kabla mizimu yetu na asili yetu haijatoweka!!!!!!!!!
 
Situamke tuwapige vita pamoja na dini zao inalalamika ukoloni huku umang'ang'ania dini za kikoloni
Mabeberu tunawajua bila Afrika wasingefika hapo walipo kwa hiyo wanafanya Kila njia kutulaghahi huku wakitunyonya Waafrika

NASHANGAA TANZANIA UCHUMI WA GOLD NI ZAIDI YA MAFUTA
 
Huna unachojua endelea kuimba mitano tena kwamama
Hata sipo huko mimi,lakini PR inakua kubwa sana
Wale waasi na magaidi wanarudi kwa kasi sana kwenye maeneo yaliyokua yamekombolewa pale awali,hili mbona hamsemi?
Utasikia ooh magaidi wanafadhiliwa na wazungu!!
 
Ila ngozi nyeusi bwana !!!, huyu kijana anayeimbwa sana kafanya nini cha maana?
Tunashabikia military coups tuko tayari kuziishi?
Sheziiii
Usichukue mazingira ya Tanzania halafu ukalinganisha na ya Bukinafaso, vitu 2 tofauti sana. Tafuta kujua, nini akifanyacho Ufaransa kwa nchi alizo zitawala kwanza then linganisha na anacho kifanya Traore sasa, utaelewa why France hamtaki Traore. Kwa ufupi, ukiona rais yeyote wa Africa anasifiwa sana na mataifa makubwa ya huko duniani then tambua tu, mmeuzwa, hampo huru tena. Jiulize, Ufaransa ana interest gani na nchi fukara kama Bukinafaso hata aing'ang'anie hivo? Lakini why wananchi wake wana mpenda hivo?
 
Putin amewahi kumsaidia Rais gani asipinduliwe?

Amewahi kumsaidia Rais gani kuingia madarakani?
Assad kakimbizwa na yeye alikua anamlinda Leo yupo Moscow kamficha. Putin na hao wazungu wengine wote itikadi yao moja tu.
 
Mkuu , mwamba Traore Kakuta DENI la Taifa lake kutoka trillions 100 kwenda 0 .

Mkuu ,kuna mwamba aliingia akakuta DENI la Taifa lake NI trillion 57 .Yeye akaongeza mpaka trillion 70 kuna jamaa NI mkuu kati ya mojawapo ya zile dola 3. Yeye alipoona vile akasema wazi kabisa .KUNA SIKU HII NCHI ITAUZWA KWA KUKOPA KLKOPA.

Mkuu ,hivi unajua mpaka SASA DENI letu la Taifa NI sh. Ngapi?

Trillion Mia na change kadhaa.
Na baada ya kusema ukweli kuhusu kukopa wakamtoa kwa fitina zao. Awataki kuambiwa ukweli
 
Kwa kuwa tuu huyo Traore si mgalatia..?
Si hivyo tu hata Hezbollah Oct 08,2023 walianza kuishambulia Israel wakiamini kuwa watapata ushindi kwa sababu kipindi hicho Israel ilikuwa inashambuli pande saba. Lakini sisi tulisema hivyo hivyo Acha inyeshe tuone panapovuja na haikupita muda nasi tukaona panapovuja na sasa Hezbollah wanachechemea hawana hamu tena na Israel!!
 
Hao Askari Putin atawatoa wapi wakati hata yeye ana upungufu wa Askari huko ukraine mpaka anakodisha wa North Korea?🤔
 
Back
Top Bottom