Putin atamka kumlinda Raisi wa Burkina Faso " Ibrahim Traore" dhidi ya mataifa yanayotaka kumkamata

Putin atamka kumlinda Raisi wa Burkina Faso " Ibrahim Traore" dhidi ya mataifa yanayotaka kumkamata

Ila ngozi nyeusi bwana !!!, huyu kijana anayeimbwa sana kafanya nini cha maana?
Tunashabikia military coups tuko tayari kuziishi?
Sheziiii
Mkuu , mwamba Traore Kakuta DENI la Taifa lake kutoka trillions 100 kwenda 0 .

Mkuu ,kuna mwamba aliingia akakuta DENI la Taifa lake NI trillion 57 .Yeye akaongeza mpaka trillion 70 kuna jamaa NI mkuu kati ya mojawapo ya zile dola 3. Yeye alipoona vile akasema wazi kabisa .KUNA SIKU HII NCHI ITAUZWA KWA KUKOPA KLKOPA.

Mkuu ,hivi unajua mpaka SASA DENI letu la Taifa NI sh. Ngapi?

Trillion Mia na change kadhaa.
 
Hapana ndugu yangu hiyo siyo kweli. Pamoja na kuweka usimamizi thabiti wa raslimali, Traole hajalipa deni la taifa kwani pamoja na kufukuza askari wa Ufaransa nchini mwake, bado migodi ya dhahabu haimilikiwi na serikali yake. Soma bajeti ya mwaka huu pamoja na summary ya madeni hapa. Bado Burkina Faso inadaiwa
 
Attachments

Mzee ulipe deni la 100T in two years? Dola billion 40 plus ?
Taifa dhaifu kama lile linatoa wapi 100T in two years?,leta source hapa
Mashabiki wa huyu jamaa mnaokoteza sana news
 
Ila ngozi nyeusi bwana !!!, huyu kijana anayeimbwa sana kafanya nini cha maana?
Tunashabikia military coups tuko tayari kuziishi?
Sheziiii
Wewe unafuatilia siasa za kiafrika nje ya hili taifa lako kweli? Au umejikita kufuatilia siasa za akina Lisu na ccm tu?

Swali lako linaashiria una fikra na akili za kitoto sana.
 
VLADIMIR PUTIN
"Hakuna kitu kitakachompata Ibrahim Traoré ilimradi mimi bado niko hai. Marekani au Ufaransa hawana haki ya kumkamata Rais wa taifa huru la Afrika." __ Rais wa Urusi, Vladimir Putin.

"Nataka kufanya mambo kuwa wazi kabisa. Rais Ibrahim Traoré alinifata baada ya yeye mwenyewe kutathmini na kuchagua njia ya hatima kwa nchi yake. Mimi nilijiunga naye tu kama mshirika wa kibiashara na rafiki ili kumsaidia kutimiza ndoto zake.

Urusi haimnyonyi wala kuiba chochote kutoka Burkina Faso, yote ni Biashara ya Haki. Biashara kati ya Urusi na Burkina Faso ni rahisi: tunasubiri nchini kwetu, na Burkina Faso wanachimba madini yao, kuyachakata na kuyaagiza kwetu kwa masharti yao wenyewe. Kama tungekuwa tunawanyonya, tungekuwa na shughuli za uchimbaji za Warusi kule Burkina Faso, lakini hatuna kwa sababu Urusi inaamini katika Biashara ya Haki.
Nina kila kitu kinachohitajika kusambaza ushawishi wangu kote duniani kama Superpower, lakini Urusi haijawahi kutumia mabavu dhidi ya yeyote.

Marekani na Ufaransa wanampinga Bwana Ibrahim Traoré kwa sababu hawawezi tena kuiba rasilimali za Burkina Faso chini ya uongozi wake. Badala ya kuruhusu Burkina Faso kujichimbia madini yao na kuuza bidhaa

zilizokamilika, wao wanataka kuchimba wenyewe na kuiba kutoka kwa watu wa Burkina Faso. Sasa, kwa sababu hawawezi tena kuiba, wanamchafua kwa kumuita mwizi ili wapate sababu ya kumuondoa, lakini hilo halitatokea.

Hivi ndivyo wanavyofanya kila mara nchi wanazozidhibiti zinapojinasua na kuanza kukua. Mimi namwona Ibrahim Traoré kama ndugu yangu na nitafanya kila liwezekanalo kumlinda. Marekani au taifa lolote jingine halina mamlaka juu yake. Yeye ni rais wa nchi huru ya Afrika na anastahili heshima."~Rais Vladimir Putin

GuView attachment 3318955
Hivi kuna taifa limesema linataka kumkamata?
 
Russia, China, Korea kaskazini na Cuba wamepeleka vikosi vya kumlinda Rais Traore , drones za Iran njiani pia kwa kazi hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom