mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,018
- 591
Unachojua nini wewe mpk ujue idadi ya majeshi ya RussiaHao Askari Putin atawatoa wapi wakati hata yeye ana upungufu wa Askari huko ukraine mpaka anakodisha wa North Korea?🤔
Unachojua nini wewe mpk ujue idadi ya majeshi ya RussiaHao Askari Putin atawatoa wapi wakati hata yeye ana upungufu wa Askari huko ukraine mpaka anakodisha wa North Korea?🤔
Acha kupinga tu toa sababu kwa nini?Unachojua nini wewe mpk ujue idadi ya majeshi ya Russia
Hebu kazime moto kwanza..Acha kupinga tu toa sababu kwa nini?
Jana usiku Mungu alileta mvua kubwa ikauzima moto uliowashwa na magaidi wa mazingira!!Hebu kazime moto kwanza..
Kwa nini tena huyo mungu hakuwazuia huko huko magaidi...Jana usiku Mungu alileta mvua kubwa ikauzima moto uliowashwa na magaidi wa mazingira!!
Daima Mungu wetu hupenda kujionyesha nguvu zake aliwaruhusu wakafanya uhalifu wao harafu yeye kafunga kazi!!Kwa nini tena huyo mungu hakuwazuia huko huko magaidi...
Sasa wagalatia mnajua na siri za jeshi la Russia tutaona mengi kam yale ya miaka ya 90 mkatuaminisha mwaka wa 2000 ndo mwsh wa dunia...Acha kupinga tu toa sababu kwa nini?
"Kwenye Pesa Hakuna Adui "ni WIN-WIN SITUATIONGharama za kumlinda zitakuwa bure?
Na gharama pia mnataka kujua...aysee?Gharama za kumlinda zitakuwa bure?