Putin atangaza Vita ya 3 ya Dunia baada ya meli yake kuzamishwa

Tatizo Ni original au vya mchongo?
 
Mpuuwzi fulani putin!! Atachapika vilivyo!!
 
Tujiandae kupokea wakimbizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... kwa statement hiyo ya Putin; nilitegemea hadi muda huu wakuu wa AU wawe njiani kuelekea Addis kwenye kikao cha dharura ikiwa ni pamoja na Samia kukatisha ziara yake Marekani kuelekea Addis kujadili na wakuu wenzake. Hili jambo ni zito sana!
Afrika hawana time na lolote wao wanasubiri wapelekeshwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haaaa haaa Ila naweza amini sio kwa show mbovu ya Ukraine
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ et show mbovu , kama namuona vile babu Putin akishindwa mechi kwa mtoto mzuri .....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…