Putin atangaza Vita ya 3 ya Dunia baada ya meli yake kuzamishwa

Kuzamishwa kwa hile meli inawezekana ukawa mpango maalum uliofanywa ili kumfanya Putin awe aingie vitan kiujumla na hili nazani ndo hili ndilo litalomtoa comedian madarakan very soon
Fikra potofu hizo, japo ni mawazo yako!!yaani li ji meli lile alizamishe eti kuhararisha kitu, kwani mangapi ameyafanya bila kuangalia matokeo yake?
 
Kwasababu alishasema atazivamia nchi jirani wanachama wa NATO na leo ametangaza WWIII basi athubutu kuzivamia Poland, Finland, Estonia au Sweden maana hao ndio jirani zake wakuu then tutambue kuwa anamaanisha na alichokitamka rais Putin.
 
Mpumbavu sana huyu nyau. Amejitegesha tegesha na hayo ma-nuclear yake. Anataka awe anapiga asirudishiwe ni kama mtoto tu. Anatamani sana aandikwe kwenye historia kwa kuonyesha uwezo wa nuclear tu,vita vya kawaida vimemshinda
 
Kati ya vita ya kwanza na ya pili moja nasikia ugomvi ulikuwa mkate
 
Duh..
Putin atakuwa anajuta kulianzisha!
 
Na anga halifungwi anasubiliwa kwenye Kona akatwe mkia na kichwa tuone kiwiliwili chake kazi kitafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…