Putin atangaza Vita ya 3 ya Dunia baada ya meli yake kuzamishwa

Kiev imeshindikana, ubabe wa kuua raia na watoto sio dili, angeiteka kabisa Kiev, sasa kageuzwa wanajeshi wake wameuawa kama makondoo....
Russia hauwi raia usiwe unameza propaganda bila kuchenjua
 
Mpumbavu sana huyu nyau. Amejitegesha tegesha na hayo ma-nuclear yake. Anataka awe anapiga asirudishiwe ni kama mtoto tu. Anatamani sana aandikwe kwenye historia kwa kuonyesha uwezo wa nuclear tu,vita vya kawaida vimemshinda
Alisikika mpuuzi mmoja wa manzese akisema
 
Vita vya dunia vya awamu hii watapigana wenyewe.
Sisi sio watumwa wao
Wanapigana wao uku sisi Africa tunakufa na njaaa kwa kukosa dawa na chakula. Mfano USA na Wazungu wenzake wakiacha kutoa Chanjo na madawa apa Africa itakua zaidi ya vita ya dunia
 
Putin kachanganyikiwa anunuliwe simu dunia ya Sasa hanasimu yamkononi pengine tungempa taarifa Mana anadanganywa
Putin kajinyea Haishi na mke na family kwa kuogopa kuuwawa. Kwa ana msongo wa mawazo sana
 
Kuzamishwa kwa hile meli inawezekana ukawa mpango maalum uliofanywa ili kumfanya Putin awe aingie vitan kiujumla na hili nazani ndo hili ndilo litalomtoa comedian madarakan very soon
Jidanganye tu vita haina macho kwani Osama alipigaje ndani Marekani yale majengo ya WTc ni mbinu tu
 
Ndio mavitu gani tujuze
 
Tuanze kujitegemea Sasa
Tuache dhana bila wao hatuwezi
Wanapigana wao uku sisi Africa tunakufa na njaaa kwa kukosa dawa na chakula. Mfano USA na Wazungu wenzake wakiacha kutoa Chanjo na madawa apa Africa itakua zaidi ya vita ya dunia
 
maisha yenyewe ya tanzania hayana tofauti na vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…