Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Rais Putin wa Russia kaeleza masharti yake juu ya kuimaliza vita yake inayoendelea na Ukraine wakati alipozungumza kwa simu jana na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. Mazungumzo hayo ya simu yalifanyika baada ya kikao cha mazungumzo ya amani kilichofanyika kati ya wajumbe wa Ukraine na Russia.

Putin kasisitiza kuwa amani nchini Ukraine itarejea tu kama madai ya msingi ya usalama wa Russia yatazingatiwa pasi na masharti yoyote, ikiwemo kutambua jimbo Crimea kama sehemu ya Russia, kuondoa silaha za NATO/US kwenye ardhi ya Ukraine, kuondoa waNazi ktk Ukraine, na kutoa hakikisho kuwa Ukraine haitojiunga na NATO.

======

Russian President, Vladimir Putin has laid out his conditions for stopping the ongoing war with Ukraine.

Russian forces have shelled Ukraine’s second city and Western nations are preparing even more sanctions.

A peace talk was held between Moscow and Kyiv in the Belarusian borders on Monday, being the first meeting since last Thursday when the war broke out.

The meeting ended with both sides merely agreeing to hold a second round of negotiations “soon”.

However, the Russian leader was able to pass the message on the only conditions under which he would consider withdrawing his troops from the neighbouring country during a phone conversation with France President, Emmanuel Macron on Monday.

“Putin stressed that a settlement is possible only if Russia’s legitimate security interests are unconditionally taken into account, including the recognition of Russian sovereignty over Crimea, the demilitarisation and denazification of the Ukrainian State and ensuring its neutral status,” CNN quoted a Russian statement via UK medium, PA News agency after the telephone conversation between the two leaders.

The war started on Thursday when President Putin ordered the invasion of Ukraine over some political reasons.

Even as the dialogue was underway on Monday, at least 11 people were killed by Russian attacks in Ukraine’s second largest city of Kharkiv.

Source: Russian President, Putin gives conditions to end war with Ukraine
 
Western media propaganda zinashindwa to capture global attention. Kila nikipitia websites zao naona bado habari ni zile zile za a 'dying horse'
BBC, CNN and the like, wameshindwa kabisa kushawishi dunia. Sanctions childish propaganda zao zimezimwa. Russia is very Serious wenyewe wanaleta mbwembwe. Ni wakati wa kujua sasa mbabe ni nani.
 
Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.

Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
 
Mzee nenda kawasaidie ndugu zako maji ya kunywa
Screenshot_20211111-122411.png
Screenshot_20211111-122602.png
 
Putin kishaminywa makende anatafuta pa kutokea na inaonekana hakujiandaa kiuchumi, ukiona central bank wameanza kuhaha ujue kinachofuata ni vita ya ndani, nasikia wamepandisha interest rate to 20% kutoka 9% na international bank zote sasa ni useless kutokana na sanctions alizopigwa, subiri warusi waanze kubeba pesa kwenye matoroli kwenda kununua mikate ndio utajua tumbo halina uzalendo
 
Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.

Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.

Acha kutudanganya, Marekani jumlisha washirika wake (nchi kibao) iliwachukua siku 7 kuiangusha Baghdad, na walitumia zaidi ya mwezi 1 kuiangusha Iraq yote.

Sasa Russia ndani ya siku chache kachukua kishajitwalia majimbo mawili ya Ukraine na amezingira miji mingine kadhaa ikiwemo Kyiv

SmartSelect_20220301-115151_Chrome.jpg
SmartSelect_20220301-115208_Chrome.jpg
 
Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.

Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Masaa 24 unaenda kukomboa mateka sehemu au unaenda kuvamia nchi?.acha kuwa na akili ndogo
 
Rais Putin wa Russia kaeleza masharti yake juu ya kuimaliza vita yake inayoendelea na Ukraine wakati alipozungumza kwa simu jana na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. Mazungumzo hayo ya simu yalifanyika baada ya kikao cha mazungumzo ya amani kilichofanyika kati ya wajumbe wa Ukraine na Russia.
He is a serial narcissistic controlling
Sadist .Century Hii anawaza ukoloni vita .Narcisstics tend to destroy themselves .Putin 8 days a go nilikuwa name ona very strong leader very colorful resume patriotic Kumbe he is a thug na a serial
Killer using his own people to do what he wants .Putin ameniacha hoi na anatishia nuclear very dangerous men
 
Putin atapigwa kichapo cha paka nyau.

Huenda akapigwa hadi Moscow na kupinduliwa kabisa
 
Hapo Ukraine anakung'utwa mpaka ajute kufanya comedy.
Impact ya Hii vita ni hatujui. Lakini hata wewe ukiona Tanzania utaona uchumi utakavyokiwa.Hitler alianza hivihivi akaenda nchi ya kwanza wakamwachia alipoenda ya 2 wakamwachia walipoamka too late .Putin is very isolated now and very dangerous ana nuclear akifusha hiyo USA wana uwezo wa ku hi protect . protect wewe Tanzania utafanyaje msimfurahie
 
Acha kutudanganya, Marekani jumlisha washirika wake (nchi kibao) iliwachukua siku 7 kuiangusha Baghdad, na walitumia zaidi ya mwezi 1 kuiangusha Iraq yote.

Sasa Russia ndani ya siku chache kachukua kishajitwalia majimbo mawili ya Ukraine na amezingira miji mingine kadhaa ikiwemo Kyiv

View attachment 2134966View attachment 2134967

Marekani hapo alikua anapigana vita vya mbali, deployment ya mbali sana ambayo hugharimu sana kijeshi, huyu Mrusi wenu kajirani kake hapo anafanya deployment ya all out na mpaka sasa ni ngonjera tu, Warusi wengi wanapata aibu maana walijua wako sawa kijeshi na walitembea kifua mbele siku zote, ila Putin kawatia aibu sana.
 
Back
Top Bottom