Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Masaa 24 unaenda kukomboa mateka sehemu au unaenda kuvamia nchi?.acha kuwa na akili ndogo

Naongea kuhusu matamko ya huyo Putin, mwenyewe alianza kwa kusema ni special operation ya masaa 24, leo imeshindikana, hawezi kugeuza na pia kuingia ndani imekua mtihani.
Kadiri anavyo onyesha kulemewa ndivyo watu wa Ukrane wanapata mzuka.
 
Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.

Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Wenzako wanachezea kichapo huko ww unaleta porojo hapa [emoji16][emoji23]
 
Marekani hapo alikua anapigana vita vya mbali, deployment ya mbali sana ambayo hugharimu sana kijeshi.
Vita ya mbali gani na wakati Marekani ana base kibao Middle East na pia washirika wake lukuki walioingia nae vitani wapo karibu na Iraq. Au kwa akili zako wadhani umbali wa kuruka kwa ndege toka UK/France ni sawa na umbali toka Kenya hadi Iraq?

Kama ni gharama sana nani alimtuma? Kwanza wewe nani hadi uzungumzie kuwa ni gharama sana? Ulichangia hata thumni kwenye kupeleka hao wanajeshi?
 
Impact ya Hii vita ni hatujui. Lakini hata wewe ukiona Tanzania utaona uchumi utakavyokiwa.Hitler alianza hivihivi akaenda nchi ya kwanza wakamwachia alipoenda ya 2 wakamwachia walipoamka too late .Putin is very isolated now and very dangerous ana nuclear akifusha hiyo USA wana uwezo wa ku hi protect . protect wewe Tanzania utafanyaje msimfurahie
Mi kama msoma comment nimeshindw kkuelewa kabisa, nimeridia 3times.
 
Marekani hapo alikua anapigana vita vya mbali, deployment ya mbali sana ambayo hugharimu sana kijeshi, huyu Mrusi wenu kajirani kake hapo anafanya deployment ya all out na mpaka sasa ni ngonjera tu, Warusi wengi wanapata aibu maana walijua wako sawa kijeshi na walitembea kifua mbele siku zote, ila Putin kawatia aibu sana.
Mimi swali ninalojiuloiza kuwa akishalishinda jeshi la Ukraine itakuwaje? maana ndio kazi nzito iliyopo hapo
Itabidi aweke serikali itakayotii matakwa yake na kuijenga UKRAINE? maana hii task ni ngumu sana kuliko kushinda vita, hasa ukiweka vikwazo na resistance waliyompa Ukraine
 
He is a serial narcissistic controlling
Sadist .Century Hii anawaza ukoloni vita .Narcisstics tend to destroy themselves .Putin 8 days a go nilikuwa name ona very strong leader very colorful resume patriotic Kumbe he is a thug na a serial
Killer using his own people to do what he wants .Putin ameniacha hoi na anatishia nuclear very dangerous men
Kwani wewe nani hata maneno yako yamsumbue Putin?!

BTW, Putin hahitajii chochote kwako.
 
Mimi swali ninalojiuloiza kuwa akishalishinda jeshi la Ukraine itakuwaje? maana ndio kazi nzito iliyopo hapo
Itabidi aweke serikali itakayotii matakwa yake na kuijenga UKRAINE? maana hii task ni ngumu sana kuliko kushinda vita, hasa ukiweka vikwazo na resistance waliyompa Ukraine
Mkuu embu acha kwanza tuoneshane makali, jeshi dhaifu lifahamike.

Hiyo habari ya kinachofuata, ikifika muda wake Putin atatuonesha kwa vitendo.

Hii sio mishen ya kwanza kutekelezwa na Putin. Kaweza kumtuliza madarakani Bashar Asad wa Syria (mbali na Russia) aliyetaka kuondolewa na Marekani ndio itakuwa hapo mlangoni kwake (Ukraine)
 
Rais Putin wa Russia kaeleza masharti yake juu ya kuimaliza vita yake inayoendelea na Ukraine wakati alipozungumza kwa simu jana na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. Mazungumzo hayo ya simu yalifanyika baada ya kikao cha mazungumzo ya amani kilichofanyika kati ya wajumbe wa Ukraine na Russia.

Putin kasisitiza kuwa amani nchini Ukraine itarejea tu kama madai ya msingi ya usalama wa Russia yatazingatiwa pasi na masharti yoyote, ikiwemo
Nimemuona Zelensky jana na fomu ya kuomba uanachama wa EU na kaweka sahihi zake zote., ni wazi Putini hasikilizwi kwa chochote Ukraine ni nchi huru kujiunga ama kutokujiunga na NATO ni matwaka ya Ukraine wenyewe ataisoma namba soon vikwazo viendelee
 
Japo msimamo wangu ni kila nchi iwe huru kujiamulia mambo yake na Urusi hana haki ya kuamua maslahi ya Ukraine lakini sioni ulazima wa Ukraine kujiunga NATO kwa gharama ya kuhatarisha amani ya dunia, na pia sioni umuhimu wa USA/NATO kuweka silaha zake Ukraine kwa gharama hiyo hiyo ya kuhatarisha amani ya dunia.
 
Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.

Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Mkuu vita sio kitu rahisi kama unavyo dhani.
Hizo silaha za Urusi unazo ziita dhaifu ndizo zimeifanya Syria kuwa shinda waasi waliokuwa wanatumia silaha za kimagharibi ,silaha za Urusi ndizo zilimfanya Marekani aikimbie Vietnam.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu embu acha kwanza tuoneshane makali, jeshi dhaifu lifahamike.

Hiyo habari ya kinachofuata, ikifika muda wake Putin atatuonesha kwa vitendo.

Hii sio mishen ya kwanza kutekelezwa na Putin. Kaweza kumtuliza madarakani Bashar Asad wa Syria (mbali na Russia) aliyetaka kuondolewa na Marekani ndio itakuwa hapo mlangoni kwake (Ukraine)
Syria sio Ukraine, wala Ulaya hawakuwa na interest nayo sana kama Ukraine, kama unafananisha hii na Ukraine basi upo wrong
Hapa ana kazi nzito sana mbeleni baada ya vita kuisha hata kama atashinda
 
Japo msimamo wangu ni kila nchi iwe huru kujiamulia mambo yake na Urusi hana haki ya kuamua maslahi ya Ukraine lakini sioni ulazima wa Ukraine kujiunga NATO kwa gharama ya kuhatarisha amani ya dunia, na pia sioni ulazima wa USA/NATO kuweka silaha zake Ukraine kwa gharama hiyo hiyo ya kuhatarisha amani ya dunia.
 
Sawa, ngoja kwanza tukamilishe ushindi wa mechi hii.
 
Rais Putin wa Russia kaeleza masharti yake juu ya kuimaliza vita yake inayoendelea na Ukraine wakati alipozungumza kwa simu jana na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. Mazungumzo hayo ya simu yalifanyika baada ya kikao cha mazungumzo ya amani kilichofanyika kati ya wajumbe wa Ukraine na Russia.
Masharti magumu sana hayo,ila kama Zelensky anataka kuendelea kukaa pale Ikulu akifurahia maisha,choice ni yake...
 
Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.

Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Mmarekani kutoka kibera
 
Japo msimamo wangu ni kila nchi iwe huru kujiamulia mambo yake na Urusi hana haki ya kuamua maslahi ya Ukraine lakini sioni ulazima wa Ukraine kujiunga NATO kwa gharama ya kuhatarisha amani ya dunia, na pia sioni ulazima wa USA/NATO kuweka silaha zake Ukraine kwa gharama hiyo hiyo ya kuhatarisha amani ya dunia.
Uko sahihi Mkuu.

Angalia hapa viongozi wenye akili wa Cuba na USSR walivyosovu kwa amani changamoto kama hiyo ya Ukraine (kuweka mizinga ya USSR nchini Cuba mwaka ya 1962) pasi na kusubiria vita kulipuka baina ya Marekani na Cuba/USSR.

=====

SmartSelect_20220301-131236_Chrome.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Vita ya mbali gani na wakati Marekani ana base kibao Middle East na pia washirika wake lukuki walioingia nae vitani wapo karibu na Iraq. Au kwa akili zako wadhani umbali wa kuruka kwa ndege toka UK/France ni sawa na umbali toka Kenya hadi Iraq?

Kama ni gharama sana nani alimtuma? Kwanza wewe nani hadi uzungumzie kuwa ni gharama sana? Ulichangia hata thumni kwenye kupeleka hao wanajeshi?

Hizo base ku-maintain sio mchezo, yaani hadi ziwe na uwezo wa kupiga taifa kubwa na kulisambaratisha, huo ni ubabe wa kipekee, na usisahau hupigana vita kadhaa kwa wakati mmoja tena mbali sana ya nchi yake.
 
Mimi swali ninalojiuloiza kuwa akishalishinda jeshi la Ukraine itakuwaje? maana ndio kazi nzito iliyopo hapo
Itabidi aweke serikali itakayotii matakwa yake na kuijenga UKRAINE? maana hii task ni ngumu sana kuliko kushinda vita, hasa ukiweka vikwazo na resistance waliyompa Ukraine

Hivi vita ni complicated, maana ataishia kupigana na Wa-Ukraine, sio jeshi tu, kadiri anavyozidi kushindwa kuiteka Kiev ndio raia wanazidi kuamini kumbe alikua nguvu ya soda na kupata ujasiri wa kujichimbia.
Hamna kitu kigumu kama kupigana na wananchi kwenye yao....
 
Vita ya mbali gani na wakati Marekani ana base kibao Middle East na pia washirika wake lukuki walioingia nae vitani wapo karibu na Iraq. Au kwa akili zako wadhani umbali wa kuruka kwa ndege toka UK/France ni sawa na umbali toka Kenya hadi Iraq?

Kama ni gharama sana nani alimtuma? Kwanza wewe nani hadi uzungumzie kuwa ni gharama sana? Ulichangia hata thumni kwenye kupeleka hao wanajeshi?
hahaha una hasira sana ndugu shevchekhal putinkal kremlin..
 
Back
Top Bottom