Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

Usa alitumia siku mbili afghan pia kawatawala wataliban
 
Marekani mpka jana ameendelea kununua mafuta urusi lita milioni 170, sasa ndio utajua haujui

Russia ina impact kubwa kwenye uchumi wa dunia acheni ushabiki maandazi, kuiwekea vikwazo russia madhara yatakuwa makubwa zaidi kwa uraya magharibi,
 
Yani ulipoandika 'uraya' ndio imenifanya nisiamini taarifa yako
 
kama huna uwezo, ukiwa nao kumpangia mtu ni raha sana
Ukimkubalia hili siku nne mbele atakuambia naingia vitani niletee wanajeshi wako waje kupigania nchi yangu. Maana nzima ya sovereignty inakua haipo.
 
Russia is in clear breach of its international obligations. Its actions are blatantly against the rules and principles on which the United Nations was founded. All members of the United Nations should condemn that conduct unequivocally.
 
tulieni msumari uwaingie vzr ,mercinaries wenu mliowaleta tumewafyeka wote na tunaendeleza kipigo mpk mnye ....ni lazima mkubwa na mdogo ajulikane
 
Putin mwenyewe ataijenga UKRAINE kwa kutumia viongozi watakaowekwa hapo madarakani nchini Ukraine.

Putin ni mzoefu kurekebisha hali ya nchi, aliikuta Russia ikiwa na hali mbaya kiuchumi na mambo mengine mengi na ameweza kurekebisha mambo mengi hadi sasa nchi imesimama, japo hii vita itamrudisha nyuma kidogo
 
Ukimkubalia hili siku nne mbele atakuambia naingia vitani niletee wanajeshi wako waje kupigania nchi yangu. Maana nzima ya sovereignty inakua haipo.
yanafanyika sana hayo
 
Haijalishi sana kuchelewa kujiunga au kukataliwa kabisa lakini lazima ukubali kwamba EU wamepeleka mizigo kule ukraine ya kupambana na adui russia
 
Soma historia .ussr- walichukua Yogoslavia mwaka 1968 chini ya masaa 24 .Putin na jeshi lake wamaonyesha udhaifu mkubwA.
Aisee, yaani mtu afananisha USSR (muungano wa mataifa/nchi 15 ikiwemo Russia) na Russia nchi moja.

Muwe basi mwajifunza kwanza vitu mnavyoongelea kabla ya kutoa hoja.
 
Breaking news
Roman Abramovich to receive bids for Chelsea this week as pressure mounts on owner
Exclusive: Potential buyers believe Russian could be open to selling club for the first time.
 
Mkuu Ukraine unadhani kama Zanzibar Au unaongea kwa nguvu ya togwa?
Putin Pamoja na ubabe atapoteza vita na Ukraine sababu kuu mbili
Ukubwa wa Ukraine pili uzalendo wa raia wa Ukraine.
 
Haijalishi sana kuchelewa kujiunga au kukataliwa kabisa lakini lazima ukubali kwamba EU wamepeleka mizigo kule ukraine ya kupambana na adui russia
Eu wanachekesha sana. Wanajua kabisa Russia tayari yupo ndani ya Ukraine na mwisho wa hii vita Russia ataibuka mshindi. Hizo siraha zote wanazotuma zitaishia mikononi mwa Russia. Eu itakuwa kama vile wamewapa bonus Russia kwa kazi nzuri
 
Ingekuwa hivyo unavyoongea isingefika leo ya 7 russia hajatangaza kuipindua Ukrain, jua kazi inaendelea tena kwa umakini sana kumbuka majigambo ya russia tulijua hardly angechukua siku 2 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…