Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
ataharakisha vita irnde haraka halafu aje apambane na waliomiwekea vikwazoKwa vikwazo vinavyoendelea... Putin lazima akae!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ataharakisha vita irnde haraka halafu aje apambane na waliomiwekea vikwazoKwa vikwazo vinavyoendelea... Putin lazima akae!
kama huna uwezo, ukiwa nao kumpangia mtu ni raha sanaHuwezi pangia nchi huru nani ijiunge naye na nani imuache
Usa alitumia siku mbili afghan pia kawatawala watalibanSasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.
Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Kishaminywa kende mwenzako, kumtia umaskini ndio njia muafaka kabisa ya kummaliza adui yako, shambulia mifuko yake kwanza na ndicho anachofanyiwa Putin sasa, hii vita hatoboi soon ataomba poo, mnyamwezi akihisi una criminal au misheni zisizoeleweka anaanza kuvamia account zako na income zako and freeze them kabla hata kesi haijaanza, utakata deal tuu hata kama hujafanya kosa
Yani ulipoandika 'uraya' ndio imenifanya nisiamini taarifa yakoMarekani mpka jana ameendelea kununua mafuta urusi lita milioni 170, sasa ndio utajua haujui
Russia ina impact kubwa kwenye uchumi wa dunia acheni ushabiki maandazi, kuiwekea vikwazo russia madhara yatakuwa makubwa zaidi kwa uraya magharibi,
Ukimkubalia hili siku nne mbele atakuambia naingia vitani niletee wanajeshi wako waje kupigania nchi yangu. Maana nzima ya sovereignty inakua haipo.kama huna uwezo, ukiwa nao kumpangia mtu ni raha sana
Russia is in clear breach of its international obligations. Its actions are blatantly against the rules and principles on which the United Nations was founded. All members of the United Nations should condemn that conduct unequivocally.Rais Putin wa Russia kaeleza masharti yake juu ya kuimaliza vita yake inayoendelea na Ukraine wakati alipozungumza kwa simu jana na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. Mazungumzo hayo ya simu yalifanyika baada ya kikao cha mazungumzo ya amani kilichofanyika kati ya wajumbe wa Ukraine na Russia.
Putin kasisitiza kuwa amani nchini Ukraine itarejea tu kama madai ya msingi ya usalama wa Russia yatazingatiwa pasi na masharti yoyote, ikiwemo kutambua jimbo Crimea kama sehemu ya Russia, kuondoa silaha za NATO/US kwenye ardhi ya Ukraine, kuondoa waNazi ktk Ukraine, na kutoa hakikisho kuwa Ukraine haitojiunga na NATO.
======
Russian President, Vladimir Putin has laid out his conditions for stopping the ongoing war with Ukraine.
Russian forces have shelled Ukraine’s second city and Western nations are preparing even more sanctions.
A peace talk was held between Moscow and Kyiv in the Belarusian borders on Monday, being the first meeting since last Thursday when the war broke out.
The meeting ended with both sides merely agreeing to hold a second round of negotiations “soon”.
However, the Russian leader was able to pass the message on the only conditions under which he would consider withdrawing his troops from the neighbouring country during a phone conversation with France President, Emmanuel Macron on Monday.
“Putin stressed that a settlement is possible only if Russia’s legitimate security interests are unconditionally taken into account, including the recognition of Russian sovereignty over Crimea, the demilitarisation and denazification of the Ukrainian State and ensuring its neutral status,” CNN quoted a Russian statement via UK medium, PA News agency after the telephone conversation between the two leaders.
The war started on Thursday when President Putin ordered the invasion of Ukraine over some political reasons.
Even as the dialogue was underway on Monday, at least 11 people were killed by Russian attacks in Ukraine’s second largest city of Kharkiv.
Source: Russian President, Putin gives conditions to end war with Ukraine
tulieni msumari uwaingie vzr ,mercinaries wenu mliowaleta tumewafyeka wote na tunaendeleza kipigo mpk mnye ....ni lazima mkubwa na mdogo ajulikaneSasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.
Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Putin mwenyewe ataijenga UKRAINE kwa kutumia viongozi watakaowekwa hapo madarakani nchini Ukraine.Mimi swali ninalojiuloiza kuwa akishalishinda jeshi la Ukraine itakuwaje? maana ndio kazi nzito iliyopo hapo
Itabidi aweke serikali itakayotii matakwa yake na kuijenga UKRAINE? maana hii task ni ngumu sana kuliko kushinda vita, hasa ukiweka vikwazo na resistance waliyompa Ukraine
yanafanyika sana hayoUkimkubalia hili siku nne mbele atakuambia naingia vitani niletee wanajeshi wako waje kupigania nchi yangu. Maana nzima ya sovereignty inakua haipo.
Haijalishi sana kuchelewa kujiunga au kukataliwa kabisa lakini lazima ukubali kwamba EU wamepeleka mizigo kule ukraine ya kupambana na adui russiaTofautisha EU na NATO ni vitu tofauti kabisa unaeza ukajiunga EU ila usiruhusiwe kajiunga NATO. muulize uturuki anamiaka mingapi hadi Leo amekataliwa kujiunga EU ndo itakua huyo Ukraine.
Kwanza France and German wameshakataa Ukraine isijuinge EU. Wamesema itamchukua at least 7 years za reform ndo afikiriwe kujiunga EU
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
mrusi wa buza ukiwa gahwanisi mliwapa wenyewe silaha yunawapelekea moto huko huko walipo jificha
Masaa 24 unaenda kukomboa mateka sehemu au unaenda kuvamia nchi?.acha kuwa na akili ndogo
Soma historia .ussr- walichukua Yogoslavia mwaka 1968 chini ya masaa 24 .Putin na jeshi lake wamaonyesha udhaifu mkubwA.Masaa 24 unaenda kukomboa mateka sehemu au unaenda kuvamia nchi?.acha kuwa na akili ndogo
Aisee, yaani mtu afananisha USSR (muungano wa mataifa/nchi 15 ikiwemo Russia) na Russia nchi moja.Soma historia .ussr- walichukua Yogoslavia mwaka 1968 chini ya masaa 24 .Putin na jeshi lake wamaonyesha udhaifu mkubwA.
Mkuu Ukraine unadhani kama Zanzibar Au unaongea kwa nguvu ya togwa?Soma historia .ussr- walichukua Yogoslavia mwaka 1968 chini ya masaa 24 .Putin na jeshi lake wamaonyesha udhaifu mkubwA.
Putin Pamoja na ubabe atapoteza vita na Ukraine sababu kuu mbiliMkuu Ukraine unadhani kama Zanzibar Au unaongea kwa nguvu ya togwa?
Eu wanachekesha sana. Wanajua kabisa Russia tayari yupo ndani ya Ukraine na mwisho wa hii vita Russia ataibuka mshindi. Hizo siraha zote wanazotuma zitaishia mikononi mwa Russia. Eu itakuwa kama vile wamewapa bonus Russia kwa kazi nzuriHaijalishi sana kuchelewa kujiunga au kukataliwa kabisa lakini lazima ukubali kwamba EU wamepeleka mizigo kule ukraine ya kupambana na adui russia
Ingekuwa hivyo unavyoongea isingefika leo ya 7 russia hajatangaza kuipindua Ukrain, jua kazi inaendelea tena kwa umakini sana kumbuka majigambo ya russia tulijua hardly angechukua siku 2 tuEu wanachekesha sana. Wanajua kabisa Russia tayari yupo ndani ya Ukraine na mwisho wa hii vita Russia ataibuka mshindi. Hizo siraha zote wanazotuma zitaishia mikononi mwa Russia. Eu itakuwa kama vile wamewapa bonus Russia kwa kazi nzuri
Ginehe mami? Na wewe unasapoti ushoga?mrusi wa buza ukiwa gahwani