Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Yani wewe kutoka bonyokwa unawashinda akili akina Biden nawengine walioufyata mkia!?I always see him as a very weak madman, ndio maana kila wakati anapenda kujitutumua,
Ukitaka kujua kwanini he is a weakman?
1.Anaogopa sana upinzania wa ndani
2.Anawaua sana wapinzani wake
3.Yuko tayari kutumia gharama kubwa kubaki madarakani
4.Anafanya kazi ya kurig elections
5.Anatumia weakness ya jeshi kujibakiza madarakani.
6. Bado ana mawazo ya Russia ya miaka ya 47.
Kwani Biden amefyata mkia au jamaa amezingatia madhara ya vita tena vita vya kupigana na mtu anae kurupuka kama ngurue pori ghafla tu ame alert nuclear...anaweza uwa watu yule mjingaYani wewe kutoka bonyokwa unawashinda akili akina Biden nawengine walioufyata mkia!?
Unaposema hivyo ni kama unamaanisha Putin anachukua maamuzi bila Cabinet yake inayomzunguka, hawezi kupeleka Jeshi lote kule....kule alipeleka vijana wadogo JKT wa hukuSio wametenga wasiwasi wa kucheza na mjinga ni hatari tambua mjinga hana cha kupoteza mkuu Putin ni kama amepatwa wazimu anakurupuka tu sasa amepeleka 70%ya jeshi lote Ukraine wanajeshi wanapiga mabom raiya jamaa saivi alipo anaropoka tu hapo alipo.
Kwamba cabinet ndo ilimwambia mzee weka vikosi vya nuclear tayari tumpige yoyote yule bila kuangalia madhara? dunia ya leo sio ya kupigana vita vya kuuwa watoto tena. tunataka vita ya kibiashara.mUnaposema hivyo ni kama unamaanisha Putin anachukua maamuzi bila Cabinet yake inayomzunguka, hawezi kupeleka Jeshi lote kule....kule alipeleka vijana wadogo JKT wa huku
Hatari Sana.Kama kifaru kinaishiwa Mafuta lazima urusi ashinde.Hapo Ukraine anakung'utwa mpaka ajute kufanya comedy.
Iraq USA na timu yake walitumia siku ngapi kweli? Na Yogoslavia je, NATO walitumia wiki ngapi?Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.
Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Hivi ukiwa na akili timamu unaweza kushindana na MADMAN?Yani wewe kutoka bonyokwa unawashinda akili akina Biden nawengine walioufyata mkia!?
Sio wametenga wasiwasi wa kucheza na mjinga ni hatari tambua mjinga hana cha kupoteza mkuu Putin ni kama amepatwa wazimu anakurupuka tu sasa amepeleka 70%ya jeshi lote Ukraine wanajeshi wanapiga mabom raiya jamaa saivi alipo anaropoka tu hapo alipo.
Sasa mbona wewe Russia amekuteka husemi? alafu sio vituo vyote vinavyo report ni vya America.Media zimewateka sana akili zenu. Mnachokickia mtandaoni mnakurupuka kuyaleta humu. Marekani anajuwa kuwateka akili. [emoji16][emoji16]
Mbona mchana. Umelala mchana hii hadi unaota. LioooPutin atapigwa kichapo cha paka nyau.
Huenda akapigwa hadi Moscow na kupinduliwa kabisa
Yaani afike mwisho wakati hata tsar, Satan 2, flamethrower moja hazijatua Ukraine? Ukraine anashida mbona nchi kama Finland imepakana na Russia mpaka wa zaidi ya 1600km na hatujawahi sikia Russia kaivamia Ukraine unafiki wake acha umponzePunguani putin anakaribia mwisho
Hii vita itaendelea kabisa
Ye Putin kama anajiamini na silaha zake amwache Ukraine ajichagulie rafiki siku akiona hatari anapiga bomu huyo Ukraine na huyo rafiki yake..mbona basi amekuwa mwoga kupindukiaYaani afike mwisho wakati hata tsar, Satan 2, flamethrower moja hazijatua Ukraine? Ukraine anashida mbona nchi kama Finland imepakana na Russia mpaka wa zaidi ya 1600km na hatujawahi sikia Russia kaivamia Ukraine unafiki wake acha umponze
FSB itakuwa imelala PONO?Kwani si angejiunga bila putin kujua jamani angeshtukiza tu ashajiunga Nato au inakuwaje
Siraha zilizotumika ni duni mno. Unadhani warashia wajinga!!??Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.
Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
I always see him as a very weak madman, ndio maana kila wakati anapenda kujitutumua,
Ukitaka kujua kwanini he is a weakman?
1.Anaogopa sana upinzania wa ndani
2.Anawaua sana wapinzani wake
3.Yuko tayari kutumia gharama kubwa kubaki madarakani
4.Anafanya kazi ya kurig elections
5.Anatumia weakness ya jeshi kujibakiza madarakani.
6. Bado ana mawazo ya Russia ya miaka ya 47.
Sasa mbona wewe Russia amekuteka husemi? alafu sio vituo vyote vinavyo report ni vya America.
Duh jamaa unaandika kama unatapika..Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.
Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.