3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
huna akiliGinehe mami? Na wewe unasapoti ushoga?
ukiwa na misimamo tofauti na rusia basi unasapoti ushoga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huna akiliGinehe mami? Na wewe unasapoti ushoga?
huna akili
ukiwa na misimamo tofauti na rusia basi unasapoti ushoga?
imeichukua miaka 50s toka hio vita mpaka hii ya leoSoma historia .ussr- walichukua Yogoslavia mwaka 1968 chini ya masaa 24 .Putin na jeshi lake wamaonyesha udhaifu mkubwA.
kama walivyochukua NATO kule IRAQ?Ingekuwa hivyo unavyoongea isingefika leo ya 7 russia hajatangaza kuipindua Ukrain, jua kazi inaendelea tena kwa umakini sana kumbuka majigambo ya russia tulijua hardly angechukua siku 2 tu
Wakati Marekani anavamia Iraq tayari Iraq alikuwa amewekewa vikwazo kwa zaidi ya miaka 10. Walikuwa hoi.Tofautisha umbali wa Iraq mpaka Marekani, ukizingatia Iraq ilikua taifa kubwa lenye zana za kila aina. Urusi hapo jirani katafa kadogo kanamtoza kamasi kwenye all-out war.....aibu sana hii.
huo utoto wako tafuta pakufanyiaSawa,, na hapa je?
Israel na Palestina yupi unamsapoti??
huo utoto wako tafuta pakufanyia
huna akiliNakuweka sawa,,,kumsapoti anaehalalisha ushoga/kuuwa civilians ni ujinga haswaa. Jitathmini upya!
vita ya iraq marekani alitumia siku ngapi kufika mji mkuu na washirika wake?Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.
Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Urusi imetia aibu kubwa sana, kwa jeshi hili ni vizuri vile Putin hataki NATO wamsogelee zaidi kwani siku wakimwamkia ndani ya wiki wanakamata nchi yote. Anapigana bega kwa bega na Belarus ila output kubwa mpaka sasa ni kuvunja majengo. Zaidi ya nuclear warheads alizonazo hana maajabu yoyote.Sasa special operation alisema ya masaa 24 ndio hiyo imelamba wiki, kwenye huu ugomvi Urusi imedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kainchi jirani yake kamemsumbua licha ya yeye kutoka na all-out-war, Marekani hufanya deployment za nchi za mbali na anapiga huko hadi kunakalika.
Naona Urusi atapoteza sana soko la silaha maana wanunuzi wanafuatiilia kwa mbali uwezo wake.
Tayari kashaweka ukomo wa kutoa pesa bank na ukomo wa kiasi cha kusaforisha pesa nje ya Urusi, ni wazi vikwazo vinakaba pumzi.Putin kishaminywa makende anatafuta pa kutokea na inaonekana hakujiandaa kiuchumi, ukiona central bank wameanza kuhaha ujue kinachofuata ni vita ya ndani, nasikia wamepandisha interest rate to 20% kutoka 9% na international bank zote sasa ni useless kutokana na sanctions alizopigwa, subiri warusi waanze kubeba pesa kwenye matoroli kwenda kununua mikate ndio utajua tumbo halina uzalendo
vita ya iraq marekani alitumia siku ngapi kufika mji mkuu na washirika wake?
Aisee mkuu yawezekana wewe ukawa na intelijensia na ufahamu mkubwa zaidi juu ya jeshi la Russia kuliko hata Defense Secretary wa Marekani General Lloyd Austin anayesema kuwa Russia bado wana uwezo na nguvu kubwa mno ya kuishambulia Ukraine ambayo bado hawajaamua kuitumia.Urusi imetia aibu kubwa sana, kwa jeshi hili ni vizuri vile Putin hataki NATO wamsogelee zaidi kwani siku wakimwamkia ndani ya wiki wanakamata nchi yote. Anapigana bega kwa bega na Belarus ila output kubwa mpaka sasa ni kuvunja majengo. Zaidi ya nuclear warheads alizonazo hana maajabu yoyote.
Kuna alisema ugali hudumaza akili, aliyechangia kasema Urusi ilisema inafanya operation ya masaa 24 itakuwa imemaliza kazi yake. Sasa wewe unakuja na mifano ya Somalia sijui na Afghanistan, hoja ya kumpinga ilikuwa ni wewe kuonesha kwamba Russia haikuwahi kutoa tamko la vile au kutaka aweke chanzo cha habari yake.Duh jamaa unaandika kama unatapika..
Muwe mnafanya research kabla ya kuandika.
Umeambiwa ile ni evacuation mission?
Soma historia iliwachukua muda gani US ku conquer Iraq, Afghanistan.
Au unafikiri ile ni game pale?
Ile ni vita ya ardhini kwa asilimia kubwa. Sio rahisi kama unavyowaza. Huyo US aliona cha moto alipoingia Somalia kipindi hicho 1990's au ulikua hujazaliwa? Vita ya ardhini ni ngumu.
Punguza munkari, uongozi wa NATO ni rotational na sasa uongozi upo kwa Ufaransa, ndio maana unaona Macron anafanya mawasiliano kwa niaba ya NATO.Masharti ya kumaliza vita au kumaliza uvamizi??.... ok!km haitoshi! Ka Rais ka -Ufaransa kale !!! yeye naongea na Rais Putin km nani??....yeye ndo Mwakilishi wa NATO??......Mbona kwa sasa hao wasjhirika wa NATo hatuwasikii tena huko
Al Jazeera BBC, CNN km vile mwanzo tulivo wasikia kwa mbwembwe!! nacho ona na kusikia ni Russia kusonga mbele tu kivita! NATO wamepata kigugumizi cha wapi? haya majamaa hayana kitu zaidi ya mwembwe tu!! lkn pia jamani km siyo uchokozi wa wazi tuu!!
nchi km USA mbaali kule unataka nini huku?? yaani ningekuwa mie ndo Putini wangejua kuwa hawajui!......na wasingerudia huo mchezo!! wa kunijaribu hovyo!
Mwenyewe nimeshangaa mtu ameanza kuishambulia Kenya badala ya kujibu hoja husika.Bongo mnakuwaga mafala sana, hiyo inauhusiano gani na maoni ya MK254
Na huko urusi je, unafahamu masharti waliyopewa vyombo vya habari?!!jana mama mmoja anaishi urusi anahojiwa kwanini urusi inashambulia majengo na wananchi, alikataa kabisa akasema yeye anachokiona kwenye tv, magazeti ya urusi ni kuwa wamekwenda kulinda amani hawawezi kuwaua ndugu zao wa ukraine!!hicho unachosema ni propaganda za ulaya magharibi!!Western media propaganda zinashindwa to capture global attention. Kila nikipitia websites zao naona bado habari ni zile zile za a 'dying horse'