Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amejuaje wenzake hawana, upuuzi wa kuonyesha gwaride la siraha upo Russia na China, nchi Kama US, Kuna baadhi ya siraha jamaa anazificha hazi-expose1. Atoa onyo kwamba watayateketeza
2.Nchi yoyote itakayojiingiza moja kwa moja na kutishia usalama wa Russia itapewa majibu ya haraka na mazito
3.Asema wana silaha ambazo hakuna nchi yoyote duniani wanazo kwa sasa na watazitumia
Msome Putin katikati ya mstari na ukimuelewa utajiona mwenye bahati Sana kuwa miongoni mwa watu wachache wenye bahati.Amejuaje wenzake hawana, upuuzi wa kuonyesha gwaride la siraha upo Russia na China, nchi Kama US, Kuna baadhi ya siraha jamaa anazificha hazi-expose
Wajapan walikua hivi hivi waliambiwa waachane na vita wakakataa, vilipo dondoshwa vitu hawakuaminiAmejuaje wenzake hawana, upuuzi wa kuonyesha gwaride la siraha upo Russia na China, nchi Kama US, Kuna baadhi ya siraha jamaa anazificha hazi-expose
Na ukiona US hasikii hiyo mikwala ujue anajua na yeye anazo za uwezo gani.Ukiona Putin kasema vile ujue intelijensia yao wanaiamini
Toka vita inaanza Putini amekuwa mtu wa maonyo halafu anatulia zake kwa mfano alisema:-1. Atoa onyo kwamba watayateketeza
2.Nchi yoyote itakayojiingiza moja kwa moja na kutishia usalama wa Russia itapewa majibu ya haraka na mazito
3.Asema wana silaha ambazo hakuna nchi yoyote duniani wanazo kwa sasa na watazitumia
Hawajapeleka long range misiles na sifikirii kama watakuwa na ujasiri wa kupeleka.Na ukiona US hasikii hiyo mikwala ujue anajua na yeye anazo za uwezo gani.
Huwezi kuwa jeuri Kama huna nguvu, we jiulize kwanini wana endelea kutoa misaada toka vita ianze!
Putin hakusema takayesaidia silaha atamshambulia,alisema nvhi itakayopeleka wanajeshi atadeal nayo.Toka vita inaanza Putini amekuwa mtu wa maonyo halafu anatulia zake kwa mfano alisema:-
1) Finland na Sweden wakijaribu kujiunga na nato atapiga nuclear kwenye moyo wa nchi za ulaya.
3) Alisema akigundua nchi inaisaidia Ukraine silaha ataishambulia on the spot, na hii Marekani walimjibu live kwamba wanaisaidia ukraine silaha na wataendelea kuisaidia duniani na mbinguni mpaka ukraine ibaki salama na mipaka yake alijibiwa ni Waziri wa Mambo Ulinzi na Usalam wa Marekani.
4). Alionya Ukraine wasijaribu kujiunga na Umoja wa Ulaya, lakini tumeona live Ukraine walijaza form live pale Kyiv na kuzikabidhi kwa Rais wa umoja wa Ulaya yule mwanamama.
Ulaya na Marekani wamejuwa weaknesses za Putini mara elfu 1 zaidi hivyo ni kama vile wanafanyia visa kwa fujo ili wapate kumtibua halafu hana lolote., kwamfano leo Spain wamentangaza kupeleka mitambo Ukraine ya kuzuia zile long range missiles
Putini bora angetulia dunia bado ingekuwa inamuhofia kwamba yeye ni strong kuliko alivyovamia Ukraine na kwa muda mfupi ulimwengu kupata majibu ya madhaifu yake., bongo wanamuita Putini wa Mchongo
Tumechoka haya maneno matupu1. Atoa onyo kwamba watayateketeza
2.Nchi yoyote itakayojiingiza moja kwa moja na kutishia usalama wa Russia itapewa majibu ya haraka na mazito
3.Asema wana silaha ambazo hakuna nchi yoyote duniani wanazo kwa sasa na watazitumia
Enheee ni zipi hizo? 🤔Watu wanaona Kama masihara hivi lakini Kuna silaha ukiachana na nuclear Russia anazo
Uliziona wapi?Watu wanaona Kama masihara hivi lakini Kuna silaha ukiachana na nuclear Russia anazo
Anaogopa wataanza kupiga St Petersburg? Au anaogopa nini ndugu mrusi?Hawajapeleka long range misiles na sifikirii kama watakuwa na ujasiri wa kupeleka.
Sijaona kama amepeleka wanajeshi kuilinda Ukraine,..kwanini unadhani wanaogopa kupeleka wanajeshi?
Nasubiri nione majibuUliziona wapi?