Wengine wanasema ana bomu la kupga dunia nzima kwa sekunde[emoji3][emoji3][emoji3]! Yaani mtu yuko Sengerema au Kilosa ajue silaha za Urusi kuliko Biden anaepokea briefing za CIA na NSA kila siku. Kuna mission zinafanywa na intelligence community usiku na mchana halafu sisi tunabaki kupga domu tu humu. Mfano kama Siri za operation ya kumuuwa Osama kule Abottabad( Pakstan) zingevuja akazipata Urusi angetibua ule mpango ili tu kumkwamisha hasimu wake Marekani na haya ndo yamekuwa maisha ya kila siku yakutibuliana kati ya hizi nchi mbili.