bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 631
- 1,268
Uko sahihi mkuu,Sio kweli., baada ya kumkabili osama bin laden hawakuwa tena na issue ya kufanya zaidi ya kuikalia ile nchi kijeshi lakini lengo lake likiwa limetimia kitamboo ndio mana biden kaona bora warudishe majeshi yao Afghan wajitawale wenyewe kwenye nchi yao tofauti na malengo ya russia Ukraine
waswahili ni wajinga sana na story za vijiweni zitatuua, us aliwatoa hao Taliban within a few weeks baada ya op.. na objectives zake alitimiza ndani ya miezi km miwili tu