hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Wakati Russia wanasema wataichapa Ukraine na USA na NATO wakawa wanasema Russia akiipiga Ukraine wataingilia mlikuwa mnasema hivyo hivyo kuwa Russia Hawezi kuivamia Ukraine Sasa hivi hamuamini macho yenu Kwa kile kinachotokea na USA na hao NATO wamefyata mikia wamekuwa mbwa Koko , kama ni wanaume kweli wasiishie kufund vijisilaha uchwara Kwa Ukraine wapeleke majeshi kabisa kama ilivyo fanya Russia Kule Syria baada ya USA NA NATO kuivamia Russia.. wanacho ogopa kufanya hivyo ni kipi !? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Maneno meeeengi sisi tuna taka vitendo Rusha kombora kwenye base yoyote ya Us majibu mtayapata
Hail to Putin