Putin atoa onyo kuhusu upelekwaji wa makombora ya masafa marefu Ukraine

Hebu amgalia Urusi inavyojipigia sehemu mbali mbali na makombora pasipo kujibiwa au kutunguliwa kwa makombora hayo. Nchi 35 zinatoa msaada wa kijeshi, silaha na vifaa vya vingine lakini kila kukicha vinahabiriwa kwa makombora.

Je ukraine ina nguvu za kupambana na kuishinda Urusi? Jeshi lake linaweza kusustain vita muda mrefu? Urusi amepata uzoefu Syria, Ukraine wamepata wapi uzoefu?
Ukraine wanatumika mamluki wenye uzoefu, pia ukumbuke Urusi ni Taifa lenye nguvu za kijeshi na Kuna siraha anafanyia mazoezi Kama islander.
 
Toka vita inaanza Putini amekuwa mtu wa maonyo halafu anatulia zake kwa mfano alisema:-
1) Finland na Sweden wakijaribu kujiunga na nato atapiga nuclear kwenye moyo wa nchi za ulaya.
3) Alisema akigundua nchi inaisaidia Ukraine silaha ataishambulia on the spot, na hii Marekani walimjibu live kwamba wanaisaidia ukraine silaha na wataendelea kuisaidia duniani na mbinguni mpaka ukraine ibaki salama na mipaka yake alijibiwa ni Waziri wa Mambo Ulinzi na Usalam wa Marekani.
4). Alionya Ukraine wasijaribu kujiunga na Umoja wa Ulaya, lakini tumeona live Ukraine walijaza form live pale Kyiv na kuzikabidhi kwa Rais wa umoja wa Ulaya yule mwanamama.
5) Putini aliwaonya Jeshi la Ukraine wasalimu amri mara mbili na akawapa na masaa Ukraine wakakataa na sasa hatukuona chochote badala yake, wanaume wako kazini

Ulaya na Marekani wamejuwa weaknesses za Putini mara elfu 1 zaidi hivyo ni kama vile wanafanyia visa kwa fujo ili wapate kumtibua halafu hana lolote., kwamfano leo Spain wamentangaza kupeleka mitambo Ukraine ya kuzuia zile long range missiles

Putini bora angetulia dunia bado ingekuwa inamuhofia kwamba yeye ni strong kuliko alivyovamia Ukraine na kwa muda mfupi ulimwengu kupata majibu ya madhaifu yake., bongo wanamuita Putini wa Mchongo
Hhhhh huyu putin wa mchongo- nikama jibwa zee linabweka lakini haliumi.
 
[emoji1][emoji1] wavaa MAKUBAZI sio wa mchezo mchezo.View attachment 2251427
Hawa jamaa huwa wanadai kuwa “nyie mna saa, sie tuna muda”! You have the watches; we have the time! Wakati nyinyi mmepanga muda wa kukamilisha misheni mrudi nyumbani, sisi hii ndiyo kazi yetu; ndiyo ajira; ndiyo career yetu!

Halafu wanasubiri kwa hamu fursa ya kwenda peponi. Huwezi kuwashinda kwa vita. Utawaua kwa mamilioni lakini utakutana hadi na wajukuu: moto ule ule.
 
Amejuaje wenzake hawana, upuuzi wa kuonyesha gwaride la siraha upo Russia na China, nchi Kama US, Kuna baadhi ya siraha jamaa anazificha hazi-expose
Unawajua kgb !? Kamuulize baba Yako Biden analijua vizuri Hilo shirika .. kama watu waliweza kuhack uchaguzi mkuu wa USA na kumuweka Trump madarakani Hawa wezi kupata Siri za kijeshi linalo husu taifa pinzani
 
Toka vita inaanza Putini amekuwa mtu wa maonyo halafu anatulia zake kwa mfano alisema:-
1) Finland na Sweden wakijaribu kujiunga na nato atapiga nuclear kwenye moyo wa nchi za ulaya.
3) Alisema akigundua nchi inaisaidia Ukraine silaha ataishambulia on the spot, na hii Marekani walimjibu live kwamba wanaisaidia ukraine silaha na wataendelea kuisaidia duniani na mbinguni mpaka ukraine ibaki salama na mipaka yake alijibiwa ni Waziri wa Mambo Ulinzi na Usalam wa Marekani.
4). Alionya Ukraine wasijaribu kujiunga na Umoja wa Ulaya, lakini tumeona live Ukraine walijaza form live pale Kyiv na kuzikabidhi kwa Rais wa umoja wa Ulaya yule mwanamama.
5) Putini aliwaonya Jeshi la Ukraine wasalimu amri mara mbili na akawapa na masaa Ukraine wakakataa na sasa hatukuona chochote badala yake, wanaume wako kazini

Ulaya na Marekani wamejuwa weaknesses za Putini mara elfu 1 zaidi hivyo ni kama vile wanafanyia visa kwa fujo ili wapate kumtibua halafu hana lolote., kwamfano leo Spain wamentangaza kupeleka mitambo Ukraine ya kuzuia zile long range missiles

Putini bora angetulia dunia bado ingekuwa inamuhofia kwamba yeye ni strong kuliko alivyovamia Ukraine na kwa muda mfupi ulimwengu kupata majibu ya madhaifu yake., bongo wanamuita Putini wa Mchongo
Enhee endelea kujijaza upepo [emoji16][emoji16]
Screenshot_20220605-200851.jpg
 
Back
Top Bottom