Putin atoa onyo kuhusu upelekwaji wa makombora ya masafa marefu Ukraine

Putin atoa onyo kuhusu upelekwaji wa makombora ya masafa marefu Ukraine

Hizo bilogical weapons ni hatari Sana Bora waendelee kupigwa tu na Iskander

Hivi unajua Kuna wakimbizi wangapi waliondoka Ukraine au unabwabwaja tu
Wanateseka sana jamaa[emoji22][emoji22][emoji22]
4c0t3484b8f38822ve0_800C450.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Russia wanasema wataichapa Ukraine na USA na NATO wakawa wanasema Russia akiipiga Ukraine wataingilia mlikuwa mnasema hivyo hivyo kuwa Russia Hawezi kuivamia Ukraine Sasa hivi hamuamini macho yenu Kwa kile kinachotokea na USA na hao NATO wamefyata mikia wamekuwa mbwa Koko , kama ni wanaume kweli wasiishie kufund vijisilaha uchwara Kwa Ukraine wapeleke majeshi kabisa kama ilivyo fanya Russia Kule Syria baada ya USA NA NATO kuivamia Russia.. wanacho ogopa kufanya hivyo ni kipi !? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hail to Putin
Maelezo mazuri sana haya.
Pro Russia kitu kinachowabeba ni facts na maelezo yaliyonyooka.
Pia mna kumbukumbu Kali sana.
Nimeipenda hii
 
Wengi wao wanafuatilia tamthilia za CNN BBC ALJAZEERA uhalisia wa hii vita hawaujui ni hatari sana kwa ukraine... nguvu za Russia hakuna wa kulinganishwa nae
Kwa hiyo Urusi inaweza kuzichakaza vibaya nchi zote za NATO? Na yenyewe ikabaki imesimama imara na Putin akuwa anaendelea kuwa Rais wa Urusi?
 
Acha ujinga [emoji16][emoji16][emoji16] walishindwa Nini !? Kumtoa bashar alsaad Kule Syria kama kweli Wana nguvu hiyo dhidi ya Russia!? Kinyume chake baada ya Russia kuingia battlefield na kumsaidis bashar tukaona hao USA na washirika wenzake Nato wakitoka mbio na mpango wao ukatibuka ,,

Pia walipo jaribu kutaka kufanya mapinduzi Venezuela dhidi ya Maduro pia wameshindwa baada ya Russia kutia maguu,

Hivi Huwa mnatumika Nini kufikiri mnashindwa kushurutisha bongo zenu na kung'amua hata hizi logic ndogo ndogo au sio weledi wazuri wa kufuatilia mambo , Russia ndiye baba Duniani Kwa Sasa Kwa sababu sio mara 1 amefanikiwa kutibua mipango ya hao USA na NATO na Wana kosa means nakubali kulia Lia tu [emoji28][emoji28][emoji28]
👏👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍
 
Elewa kwamba wakati vita haijaanza Marekani walihamisha balozi yao pale Ukraine kwa kuhofia lakini juzi wamerejesha balozi yao kwa mbwembwe zote na kikosi maalum Biden amepeleka kulinda ule ubalozi Kyiv sasa kama Putin ana ubavu mwambie arushe japo kijiwe kidoogo tu kikapige ule ubalozi wa US pale Kyiv.
Hii imenichekesha kwamba Putin arushe hata kajiwe!
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Si mchezo hawa wehu. Miaka ya 1980s Mrusi alipambana na wahenga (mababa) wao (mujahideen) akaishia kutoka nduki.

Mwaka 2001 Mmarekani na washirika wake akaingia kupambana na watoto wao (Taliban). Mwaka 2021 Marekani na wapambe wakajikuta wanatawanyika kwa njia saba bila mawasiliano na kuacha wajukuu wakiteka nchi na kuwasili Kabul kwa spidi ya 5G!
 
Mkuu Putini sio kwamba alisema tu lakini aliunda kikosi kazi cha kuchunguza iwapo kuna nchi inaipa silaha Ukraine lakin kabla wataalamu wake kujibu Mnyama siku ya pili akampa majibu live kwamba sisi ndio tunaisaidia Ukraine na Biden akapiga msumari kwamba Tulishiriki kikamilifu Kyiv kukutia adabu wewe Putini ambako sasa Putin Kyiv anaiona chungu, amerudizake Donbas
Jana makombora yalimiminika kyiv toka Russia hali tete Sana kyiv kwa Sasa hivi wataibomoa sana
 
Wewe huna pesa alafu unasema nina siraha za kuitishia dunia. 😁😁

Ukraine apewe siraha nzitonzito nayeye akaue raia wa urusi na kuharibu makazi yao na shughuli zao kama raia wake wanavyouliwa kwenye nchi yao.
 
Wengi wao wanafuatilia tamthilia za CNN BBC ALJAZEERA uhalisia wa hii vita hawaujui ni hatari sana kwa ukraine... nguvu za Russia hakuna wa kulinganishwa nae
Hapo umesema vema mkuu, maana western tokea watangaze misimamo yao ya kum protect Zelensky na nchi yake leo hii wote wapo pamoja nasi kuwa wapenzi watazamaji, its like wamemtumia Ukraine kuipima nguvu ya Russia.
Pamoja na vikwazo vyote lakin bado Ukrain wanachapwa tu had western wenyewe wameanza kutoa taarifa kila mtu na zake. Mmoja atakwambia uchumi wa Russia ni mufilisi, huyohuyo tena anakuja na taarifa Russia inajiandaa na vita vya muda mrefu mala Russia inataka kuivamia Sweden na Finland. Hivi nchi yenye uchumi mufilisi inaweza kupanga yote hayo?
 
#Kadyrov, Operesheni Maalum ya Kweli nchini #Ukraine kuanza katika siku zijazo

Tunatoa Nafasi ya Mwisho kwa #Zelensky Kujisalimisha

#Severodonetsk #Kherson #Sumy #Kiev #UkraineWar #Poland #Donbass #UkraineRussiaWar
#Bilderberg https://t.co/McwWwOU7i5
 
Putin hakusema takayesaidia silaha atamshambulia,alisema nvhi itakayopeleka wanajeshi atadeal nayo.

Unammezesha Putin wa mchongo Maneno yako?
Hiv vita ndo vimemuacha Russia uchi anadhalilika na ukraine yenye jeshi dhaifu kila siku amekuwa mtu wa mikwala hatimaye watu wamemzoea wacha mvua inyeshe tuone wap panavuja fu*ck Putin
 
Eneo la Ukraine lilishikiliwa na Russia hadi muda huu inathibitisha kabisa Ukraine mashambulizi yameulemea licha ya kua anapewa msaada inaonekana hata huo msaada wenyewe anaopewa hawezi kuutumia kujikomboa hii vita imemuelemea anyooshe mikono juu au aendlee kuwa mkaidi asubiri nchi yote iwe chini ya Russia
 
Back
Top Bottom