Putin atoa onyo kuhusu upelekwaji wa makombora ya masafa marefu Ukraine

Putin atoa onyo kuhusu upelekwaji wa makombora ya masafa marefu Ukraine

Putin hakusema takayesaidia silaha atamshambulia,alisema nvhi itakayopeleka wanajeshi atadeal nayo.
Mkuu Putini sio kwamba alisema tu lakini aliunda kikosi kazi cha kuchunguza iwapo kuna nchi inaipa silaha Ukraine lakin kabla wataalamu wake kujibu Mnyama siku ya pili akampa majibu live kwamba sisi ndio tunaisaidia Ukraine na Biden akapiga msumari kwamba Tulishiriki kikamilifu Kyiv kukutia adabu wewe Putini ambako sasa Putin Kyiv anaiona chungu, amerudizake Donbas
 
Nakukumbusha tu leo asubuhi Putin kadondosha mabomu Kyiv..
Tuwekee clip ya sleepy Joe akisema wanajeshi wa Marekani walikuwa Kyiv
 
Vita ilikuwa kuipqishq pesa yake tu,sasa anaipumulia usd kwa nyuma tu
 
Hebu amgalia Urusi inavyojipigia sehemu mbali mbali na makombora pasipo kujibiwa au kutunguliwa kwa makombora hayo. Nchi 35 zinatoa msaada wa kijeshi, silaha na vifaa vya vingine lakini kila kukicha vinahabiriwa kwa makombora.

Je ukraine ina nguvu za kupambana na kuishinda Urusi? Jeshi lake linaweza kusustain vita muda mrefu? Urusi amepata uzoefu Syria, Ukraine wamepata wapi uzoefu?
 
Toka vita inaanza Putini amekuwa mtu wa maonyo halafu anatulia zake kwa mfano alisema:-
1) Finland na Sweden wakijaribu kujiunga na nato atapiga nuclear kwenye moyo wa nchi za ulaya.
3) Alisema akigundua nchi inaisaidia Ukraine silaha ataishambulia on the spot, na hii Marekani walimjibu live kwamba wanaisaidia ukraine silaha na wataendelea kuisaidia duniani na mbinguni mpaka ukraine ibaki salama na mipaka yake alijibiwa ni Waziri wa Mambo Ulinzi na Usalam wa Marekani.
4). Alionya Ukraine wasijaribu kujiunga na Umoja wa Ulaya, lakini tumeona live Ukraine walijaza form live pale Kyiv na kuzikabidhi kwa Rais wa umoja wa Ulaya yule mwanamama.

Ulaya na Marekani wamejuwa weaknesses za Putini mara elfu 1 zaidi hivyo ni kama vile wanafanyia visa kwa fujo ili wapate kumtibua halafu hana lolote., kwamfano leo Spain wamentangaza kupeleka mitambo Ukraine ya kuzuia zile long range missiles

Putini bora angetulia dunia bado ingekuwa inamuhofia kwamba yeye ni strong kuliko alivyovamia Ukraine na kwa muda mfupi ulimwengu kupata majibu ya madhaifu yake., bongo wanamuita Putini wa Mchongo
Umemaliza mkuu,

Yani wabongo ndio maana rahs Sana kudanganywa hata na viongozi wetu wa siasa au hata akina zumalidi [emoji16]

Watu tunaamini Sana kwenye maneno na sio vitendo, mpaka sasa US ndie mwenye matendo zaidi maana anafanya kile ambacho anasema anaweza kufanya, toka hii Vita ianze anaendelea kutoa msaada.

Huyu mwenye nguvu na yeye afanye kwa vitendo, aipige nchi yoyote ile ya NATO then ndio watajua kipi kinampa jeuri mmarekani.
 
Hawajapeleka long range misiles na sifikirii kama watakuwa na ujasiri wa kupeleka.
Sijaona kama amepeleka wanajeshi kuilinda Ukraine,..kwanini unadhani wanaogopa kupeleka wanajeshi?
Ndugu unataka tukuletee evidence kabisa! Achana na hii ya juzi ya long range.

Alianza kusema kitambo kuanzia Finland kujiunga nato, plus us kuendelea kutoa misaada so acha ubishi.
View attachment 2251348
 
Nakukumbusha tu leo asubuhi Putin kadondosha mabomu Kyiv..
Tuwekee clip ya sleepy Joe akisema wanajeshi wa Marekani walikuwa Kyiv
Elewa kwamba wakati vita haijaanza Marekani walihamisha balozi yao pale Ukraine kwa kuhofia lakini juzi wamerejesha balozi yao kwa mbwembwe zote na kikosi maalum Biden amepeleka kulinda ule ubalozi Kyiv sasa kama Putin ana ubavu mwambie arushe japo kijiwe kidoogo tu kikapige ule ubalozi wa US pale Kyiv.
 
Putin hana shida na ubalozi wa marekani
Yajue malengo ya hii vita kwa Russia
 
Toka vita inaanza Putini amekuwa mtu wa maonyo halafu anatulia zake kwa mfano alisema:-
1) Finland na Sweden wakijaribu kujiunga na nato atapiga nuclear kwenye moyo wa nchi za ulaya.
3) Alisema akigundua nchi inaisaidia Ukraine silaha ataishambulia on the spot, na hii Marekani walimjibu live kwamba wanaisaidia ukraine silaha na wataendelea kuisaidia duniani na mbinguni mpaka ukraine ibaki salama na mipaka yake alijibiwa ni Waziri wa Mambo Ulinzi na Usalam wa Marekani.
4). Alionya Ukraine wasijaribu kujiunga na Umoja wa Ulaya, lakini tumeona live Ukraine walijaza form live pale Kyiv na kuzikabidhi kwa Rais wa umoja wa Ulaya yule mwanamama.
5) Putini aliwaonya Jeshi la Ukraine wasalimu amri mara mbili na akawapa na masaa Ukraine wakakataa na sasa hatukuona chochote badala yake, wanaume wako kazini

Ulaya na Marekani wamejuwa weaknesses za Putini mara elfu 1 zaidi hivyo ni kama vile wanafanyia visa kwa fujo ili wapate kumtibua halafu hana lolote., kwamfano leo Spain wamentangaza kupeleka mitambo Ukraine ya kuzuia zile long range missiles

Putini bora angetulia dunia bado ingekuwa inamuhofia kwamba yeye ni strong kuliko alivyovamia Ukraine na kwa muda mfupi ulimwengu kupata majibu ya madhaifu yake., bongo wanamuita Putini wa Mchongo
Putin hapendi vita ila amechokozwa sana ikawa hakuna namna! Na style ya mapigano anayotumia ni ya kihuruma sana maana ni ya vita ya pili ya dunia kilichobadilika ni mavazi ya jeshi tu! Ila ukweli nikwamba the rest wanamuogopa na wanachofanya nikumchokoza waone silaha zake mitindo yake mipya yakupigana na silaha zake!
Muhimu tuombe isitokee vita ya tatu ya dunia!
 
Msome Putin katikati ya mstari na ukimuelewa utajiona mwenye bahati Sana kuwa miongoni mwa watu wachache wenye bahati.
Jamaa hasomeki, hata marekani wenyewe walishakiri hakuna ajuaye mawazo yake. Nchi za magharibi zipo njia panda kwa sasa, tayari ufaransa katoa ya moyoni, wakati marekani anaenda mbele na kurudi nyuma ila mwisho wa siku x
 
1. Atoa onyo kwamba watayateketeza
2.Nchi yoyote itakayojiingiza moja kwa moja na kutishia usalama wa Russia itapewa majibu ya haraka na mazito
3.Asema wana silaha ambazo hakuna nchi yoyote duniani wanazo kwa sasa na watazitumia

Biden alishamjibu muda saana kwamba wako tayari kwa chochote
 
Back
Top Bottom