Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
Kwahiyo ndo walifanya Republican ishinde senete mwaka 2016, na ndo walifanya Trump apate nomination 2016[emoji2]Unawajua kgb !? Kamuulize baba Yako Biden analijua vizuri Hilo shirika .. kama watu waliweza kuhack uchaguzi mkuu wa USA na kumuweka Trump madarakani Hawa wezi kupata Siri za kijeshi linalo husu taifa pinzani
Wengine wanasema ana bomu la kupga dunia nzima kwa sekunde😀😀😀! Yaani mtu yuko Sengerema au Kilosa ajue silaha za Urusi kuliko Biden anaepokea briefing za CIA na NSA kila siku. Kuna mission zinafanywa na intelligence community usiku na mchana halafu sisi tunabaki kupga domu tu humu. Mfano kama Siri za operation ya kumuuwa Osama kule Abottabad( Pakstan) zingevuja akazipata Urusi angetibua ule mpango ili tu kumkwamisha hasimu wake Marekani na haya ndo yamekuwa maisha ya kila siku yakutibuliana kati ya hizi nchi mbili.Hawa vijana na story zao za vijiweni.. Hawa ndio wale wanasemaga Russia ana bomu likipiga marekan ardhi inajifunika[emoji16]
Wataonyesha nn wakati hawana? Wangekuwa nazo wangefanya nao kama zile parade za Urusi na China na Korea kaskazini. OverTuambie ambazo hawazionyeshi[emoji2]
Ndiyo tena bila shaka yoyote urusi kwenye siraha za maangamizi hskuna mfano wake tena nchi yake ni kubwa sana na jiografia yake ni ngumu sana kuipiga kuimalizaKwa hiyo Urusi inaweza kuzichakaza vibaya nchi zote za NATO? Na yenyewe ikabaki imesimama imara na Putin akuwa anaendelea kuwa Rais wa Urusi?
mkwara mbuzi, juzi alisema atalipua kituo cha kijeshi cha US kilichopo Ujerumani - kimyaa. ajaribu aone kama hatanyofolewa yeye kama yeye ndani ya wiki tu.1. Atoa onyo kwamba watayateketeza
2.Nchi yoyote itakayojiingiza moja kwa moja na kutishia usalama wa Russia itapewa majibu ya haraka na mazito
3.Asema wana silaha ambazo hakuna nchi yoyote duniani wanazo kwa sasa na watazitumia
Hili dubwasha na lenyewe linakwenda kupotezwa maboya kame zile silaha za dola bilioni 40. Nasikia Russian akishapiga lile lisilaha la kielectronic. Nasikia silaha za NATO badala ya kusoma ramani, zinaanza kuonyesha pony moviesNgoja aendele kulia lia sisi wala hatuna habari nae mzigo mwingine uo apo soon moscow itaanzA kusalimiwaView attachment 2251894
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Du,! Watu wana hasira sana na Putin maana huo utapiamlo alioupeleka huko Europe sio wa karne hiiMsaada mwingine huuView attachment 2251889
Hahaha we enderea kusikiaHili dubwasha na lenyewe linakwenda kupotezwa maboya kame zile silaha za dola bilioni 40. Nasikia Russian akishapiga lile lisilaha la kielectronic. Nasikia silaha za NATO badala ya kusoma ramani, zinaanza kuonyesha pony movies
Kule kwenye uzi, wako wajuaji utafikiri wanajua zaidi ya US, ogopa nchi ambayo kila sehemu ana mkono wake.Wengine wanasema ana bomu la kupga dunia nzima kwa sekunde[emoji3][emoji3][emoji3]! Yaani mtu yuko Sengerema au Kilosa ajue silaha za Urusi kuliko Biden anaepokea briefing za CIA na NSA kila siku. Kuna mission zinafanywa na intelligence community usiku na mchana halafu sisi tunabaki kupga domu tu humu. Mfano kama Siri za operation ya kumuuwa Osama kule Abottabad( Pakstan) zingevuja akazipata Urusi angetibua ule mpango ili tu kumkwamisha hasimu wake Marekani na haya ndo yamekuwa maisha ya kila siku yakutibuliana kati ya hizi nchi mbili.
Leo Uingeleza nae ameidhinisha kupeleka makombora ya masafa marefu Ukraine. Na wanajeshi wa Ukraine wameshaanza kwenda kwenye mafunzo Uingeleza ya jinsi ya ku operate hizo silahaKule kwenye uzi, wako wajuaji utafikiri wanajua zaidi ya US, ogopa nchi ambayo kila sehemu ana mkono wake.
We Kuna taarifa nilisoma Kuna hackers na trainers from US walienda Ukraine kabla hata hawa warusi wa jf hawajajiunga jf [emoji16]
Hakuna kipya Cha kushangaza i'la kina vipya vya kutisha ..Amejuaje wenzake hawana, upuuzi wa kuonyesha gwaride la siraha upo Russia na China, nchi Kama US, Kuna baadhi ya siraha jamaa anazificha hazi-expose