Putin hakujifunza baada ya kilichomkuta Ukraine, ameamsha ugomvi mwingine na Japan

... lile limsafara la Warusi kuelekea Kyiv lilikuwa noma sana; nilidhani dunia ndio inafikia mwisho. Kumbe mikwara mbuzi zaidi ya vitisho vya minyuklia hamna kitu mule. Hasara aliyoingia dikteta Putin hatasahau.
 
Sasa wajapan si wachumba na wanavyoogopa Nuke
 
We sema limekuuma la bei za gari zetu kuwa juu. Hayo mengine ni mazungumzo baada ya habari, lol!
 
We sema limekuuma la bei za gari zetu kuwa juu. Hayo mengine ni mazungumzo baada ya habari, lol!
Mkuu si unajua tena kwa sisi ndio tegemeo letu sasa akipigana na russia vits na IST tutapata wapi? Au singapore na dubai?
 
Japo ni kweli Japan ya sasa sio ya miaka ile ila sio kweli kwamba hawana Jeshi imara. Walikuwa na Jeshi flani dhaifu lakini akina Kim Jong Un ndio waliwashtua jamaa wakaanza kuunda Jeshi forma. Nakumbuka miaka kadhaa nyuma walipeleka mswada wa kuunda Jeshi lanulinzi. Sikumbuki iliishia wapi ila kwa uwezo wao kiuchumi, uhokozi wa anko Kim na ufadhili wa Uncle Sam atakuwa na jeshi sio la kitoto.

Kwa maneno mengine Russia hawezi kulianzisha Japan kwa sababu itakuwa mwanzo wa mwisho wake bila kujali matokeo ya vita.

Na Urusi inapaswa kubakia kwa sababu ina miadi yenye nwisho wake!
 
Mkuu si unajua tena kwa sisi ndio tegemeo letu sasa akipigana na russia vits na IST tutapata wapi? Au singapore na dubai?
Hapo nakuelewa vizuri boss! Ni point ya msingi sana hiyo 😂
 
Hakua amesarenda, baada ya us kupigika sana ndani ya washington ( wkati huo japan ndo mkali wa ndegevita) pakawa na usitishaji vita huku mazungumzo yanaendelea, kumbe ktk kipindi hicho us anamalizia project yake ya nuke.

Mazungumzo yalivokwama ndo akamfanyia kitu mbaya' wajapan walilia sana kuona nchi yao ikisarrender'
 
Na hivyo visiwa wanavyo gombania walivitekaje sasa kutoka japan?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Ni bora zaidi mbakie kushabilia mpira kuliko kuleta ushabiki kwenye maisha ya watu, so kama Urus ana nguvu za kijeshi what is the benefit on you. Kwani haiwatoshi kushabikia mipira mpaka mnashabikia vita
 
Japan inaweza kuwa laboratory ya kutest nyuklia nyingine kwa mara ya pili. Ikumbukwe ni Japan pekee ndio imewahi kupigwa na nyuklia

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Usiseme liliwa, sema liliwa na waingereza na madude mapya yanayoitwa Javelin. Hatujui hiii dunia kuna silaha gani mpya
 
Ukizungumzia majeshi bora duniani, huwezi muondoa mjapan. Mrusi hanusi hapo.
 
Achana na nuke, lazima uweke silaha chini.
 
Putin Yuko hoi bin taabani huko Ukraine.Hana ubavu wa kuanzisha vita nyingine . Nimegundua huyu jamaa ni mropokaji kuliko kiduku.Nimeacha kuchukulia maneno yake seriously [emoji848]
Vijana wa putin humu ndani hawajui kuwa hata sisi zamani tulikuwa tunaikubali mno russia ktk nyanja ya vita kutokana n show off za silaha zake, siku zilivyoenda tukajua russia ni wa kawaida tu, na kupitia vita hii ndo kabisaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…